OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Leo na nyie mtapapaswa kama wenzenu wa Arsenal. Hamna timu ya kumfunga Bonamouth..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia tulii unyolewe. muda ndio utaongea saa 19:30 sio mbaliLeo na nyie mtapapaswa kama wenzenu wa Arsenal. Hamna timu ya kumfunga Bonamouth..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha utani..Martial,Sanchez,Lukaku wote wamerudi,,jiandae tu baadae kujipiga ukutaniLeo na nyie mtapapaswa kama wenzenu wa Arsenal. Hamna timu ya kumfunga Bonamouth..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhan itategemea na aina ya kocha. Mou licha ya kuzinguana na wachezaji bodi haikumwamini.Ushindi mfululizo wa mechi mbili usiwape kiburi na kuona kama timu imerejesha makali yake.
Hiyo ni kawaida timu inapopata kocha mpya morali hubadilika. Hata hivyo timu nzima ilionekana kupoteza morali chini ya manager Jose Mourihno na kuishia kucheza tu ili kukamilisha ratiba.
Mumeanza vizuri lakini bado mnahitaji kurecover mapema sana. Benchi lenu la ufundi likifanya vizuri chini ya Michael Carrick mnaweza kutoka na kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahahaha, watasubiri sanawapo wanamalzia kuzika ila wanasubir mpoteze mechi ya kesho waje humu
hivi una habari kuwa tangu Bournemouth apande daraja hajawahi kuifunga Man United.....mzunguko wa kwanza alichapwa pale pale kwake na kikosi kibovu cha Mou pia walikuwa na nguvu ya soda sasa imekata, stay tuned broLeo na nyie mtapapaswa kama wenzenu wa Arsenal. Hamna timu ya kumfunga Bonamouth..
Sent using Jamii Forums mobile app
Naungana nawe, Kwangu Pochetino ni kocha wa kawaida tu Sio Kocha wa Makombe, Kama tunataka Kocha wa Makombe ambaye tayari ameshafanya Makubwa na dunia imeshuhudia nadhani amebaki Zizou ambaye ni rahisi kumpata, wengi wana timu tayari, Gurdiola, Anchelot.Pochetino nae kichaa tu, wala sioni ubora wake, kama Ole atafanya vizuri apewe tu timu, huyu wa spurs nae hamna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app








Mkuu umekosea njia ili sio jukwaa la kufanyia utapeli wako.mikeka ya uhakika nenda ukabet wewe na familia yako muwe matajiri..kwenda usije tena hukuPATA MIKEKA YENYE UHAKIKA MKUBWA WA USHINDI.
WASILIANA NASI KWA WHATSAP 0658642362
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezekani mtu aseme "anauza hela"Mkuu umekosea njia ili sio jukwaa la kufanyia utapeli wako.mikeka ya uhakika nenda ukabet wewe na familia yako muwe matajiri..kwenda usije tena huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli una upendo wa mshumaa, unataka kutugawia pesa bure kabisa wakati ungeweza kushinda mwenyewe na kuwa tajiriPATA MIKEKA YENYE UHAKIKA MKUBWA WA USHINDI.
WASILIANA NASI KWA WHATSAP 0658642362
Sent using Jamii Forums mobile app
Walitucheka sana sisi kupigwa 3 sasa walau kuna utulivu kdg. pt 3 za leo zitawachanganya sanawapo wanamalzia kuzika ila wanasubir mpoteze mechi ya kesho waje humu
Sanchez hatakuwepo mkuuNaungana nawe, Kwangu Pochetino ni kocha wa kawaida tu Sio Kocha wa Makombe, Kama tunataka Kocha wa Makombe ambaye tayari ameshafanya Makubwa na dunia imeshuhudia nadhani amebaki Zizou ambaye ni rahisi kumpata, wengi wana timu tayari, Gurdiola, Anchelot.
Wenger anaweza kuifaa zaidi Barcelona Au Madrid lakini Sio Man United.
Kwangu kwa Sasa naliamini Benchi letu la Ufundi Chini ya Mkongwe Mike Phelan na Michael Carick wakiongozwa na Ole though nilitamani timu angepewa R Gigs.
January tumuongeze Nguvu Ole kwa kusajili wachezaji wawili watatu na Dirisha kubwa la Usajili tumuachie Ole aunde timu ya Ushindi.
Match ya Leo itatupa Nafasi zaidi ya kumjua Kocha wetu baada ya kikosi kuwa Kamili kwa uwepo wa Sanchez na Baadhi ya majeruhi.
Baada ya match na Newcastle tutakuwa Katika Nafasi Sahihi ya kuongelea uwezo wa Ole Kama ni kocha Sahihi anayetufaa kwa Sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo timu zote hazina malengo kama ya United. Brand ya United ni fans based na fans hawanufaiki na chochote kutokana na matumizi madogo au makubwa ya pesa. Wao wapo interested na furaha itokanayo na mataji, wanataka kutamba na kujidai mitaani kwa kunyakua mataji. Aki-loose fans, hawatafanya biashara hiyo kwani sponsors watasepa..Unataka kujua kwanini Ed Woodward anamtaka sana Paul Mitchell kuwa Mkurugenzi wa Michezo wa Manchester United ??
Ukiacha uwezo wake wa kuwa na jicho zuri la kuona wachezaji wenye vipaji wakiwa na umri mdogo na kwa gharama nafuu, anajua jinsi gani ya kutumia fedha.
Paul Mitchell aliwahi kuwa mkurugenzi wa michezo wa Tottenham sambamba na Mauricio Pochettino na sasa yupo katika wadhifa huo ndani ya RB Leipzig.
Net Spend ya vilabu hivyo viwili chini ya utawala wake ( Mauzo na Manunuzi) Jumla yake
Spurs = Euro Milioni 19.54
Leipzig = Euro Milioni 10.25
Timu zote hazijatwaa taji lolote lakini zimeweza kufuzu kucheza UEFA katika Bajeti ndogo sana : Glazer Material.View attachment 981132
Sent using Jamii Forums mobile app
ExactlyHizo timu zote hazina malengo kama ya United. Brand ya United ni fans based na fans hawanufaiki na chochote kutokana na matumizi madogo au makubwa ya pesa. Wao wapo interested na furaha itokanayo na mataji, wanataka kutamba na kujidai mitaani kwa kunyakua mataji. Aki-loose fans, hawatafanya biashara hiyo kwani sponsors watasepa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahhaha, yaani mkuu unasema kirahisi kama kuvunja biscuits vileMpeni Pochettino timu ..atawapa Uefa Mara tatu mfululizo kama Zidane, atawapa EPL na FA paka mchoke..
Pochettino anafaa mpeni timu..
Sent using Jamii Forums mobile app