Bengazuu
JF-Expert Member
- Mar 28, 2013
- 1,029
- 1,238
Nawaza nafasi ya Lukaku sipati jibu. Rashford anaitendea haki namba 9Nafurahi sana rashford anafunga na ku assist safi sana
Nawaza nafasi ya Lukaku sipati jibu. Rashford anaitendea haki namba 9Nafurahi sana rashford anafunga na ku assist safi sana
Mi mwenyewe namhurumia sana maana sanchez lazima acheze hapo sijui itakuwaje ajitume tu hamna namnaNawaza nafasi ya Lukaku sipati jibu. Rashford anaitendea haki namba 9
Ubize wa hapa na pale ulinibana kidogoMm mzima sijakuona mda sana
Atakonda fasta sana HahahahMi mwenyewe namhurumia sana maana sanchez lazima acheze hapo sijui itakuwaje ajitume tu hamna namna
Huyu ndio pogba sasa mkuu unaiona kweli hii paund90m sio yule wa mou nilikuwa nashindwa kumtofautisha na john bocco akivaa uzi mwekunduAtack atack atack atack
Mimi nasubiri field Martial atupie tuNafurahi sana rashford anafunga na ku assist safi sana

