Alexis Sanchez was to be out for 8weeks but when he heard that Mourinho was sacked....he recovered immediately...after 8days only.

Hii weekend ni furaha tupu, yani ni kama mtu aliyepona nguvu za kiume![]()

Sanchez aliumia kwenye mazoezi November 29 na hatacheza tena mpaka mwakani,alitegemewa kuwa fit baada ya wiki 6 So far ameshakaa nje almost mwezi mmoja hizo siku 8 unazihesabu vipi?Alexis Sanchez was to be out for 8weeks but when he heard that Mourinho was sacked....he recovered immediately...after 8days only.
OGS kaajiriwa kama kocha Wa Muda Kwa Ajili ya Kuistabilize team na kurudisha piece kwenye dressing room.
Kuna Washabiki wanalielewa hili, hawa hawatokuwa na shida na matokeo yoyote ya Man U as long as Moral Wa wachezaji unarudi.
Lakini kina vichwa hapa subiri OGS apoteze game utaona mziki wao..
Hawasikii lolote hao! Wanaweza wakadai Kombe la EPL Msimu huuhuu.
Fixture ngumu sio ya spurs tu mkuu ile February ile tunatakiwa kuwa makini sana yanJamaa fixture zao hazitishi sana kwa hii December na early January. Watafanya vizuri, kwa game kadhaa za mwanzo.
Shida iko 13 January wanapokipiga na Tottenham.
Exactly..mimi nachotaka wachezaji morali iwe juu,na kila mmoja apewe nafasi kwa uwezo wake..kama tukifungwa itakuwa ni sehemu ya mchezoOGS kaajiriwa kama kocha Wa Muda Kwa Ajili ya Kuistabilize team na kurudisha peace kwenye dressing room.
Kuna Washabiki wanalielewa hili, hawa hawatokuwa na shida na matokeo yoyote ya Man U as long as Moral Wa wachezaji unarudi.
Lakini kina vichwa hapa subiri OGS apoteze game utaona mziki wao..
Hawasikii lolote hao! Wanaweza wakadai Kombe la EPL Msimu huuhuu.
Mkuu hivi Captain Valencia nini kimemsibu?My predicted X1 Vs Huddersfield
De Gea
Young Bailly Lindelof Shaw
Herrera Matic Pogba
Lingard Rashford Martial
Alexis Sanchez was to be out for 8weeks but when he heard that Mourinho was sacked....he recovered immediately...after 8days only.

.Kikosi chetu leo hiiView attachment 978053
Namwona Matic akichoka sana leo na defence kuwa exposed. Herera ni muhimu kuimarisha kiungo.Kikosi chetu leo hiiView attachment 978053
So far hamna maelezo yaliyotolewaMartial kaumia au??
Hii ni EPL mkuu.Mambo ya Fred hapo kale. Cjui kama Fred wa man U atarud kwenye kiwango hikiiView attachment 977517