Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Namwona Matic akichoka sana leo na defence kuwa exposed. Herera ni muhimu kuimarisha kiungo.
Fred pia anaweza kufanya majukumu ya Herrera japo hata mimi ninamuamini zaidi Herrera

Kipindi hiki kuna mechi nyingi, kwa hiyo watu kama Ander lazima wapumzishwe kwenye mechi kama hii, huwezi kumpumzisha mechi ya Spurs kwa mfano
 
Jamani huwa tuna bahati mbaya sana kwenye game za boxing day,tuombe Leo hili gundu litoke
 
Back
Top Bottom