Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Big up United. Kocha leo alijaribu gamble. Kucheza Fred, Ppgba na Mata kwa pamoja ilikuwa wazi midfield haitakuwa strong na hivyo kupunguza presha kwenye final third. Nashukuru ameona hiyo challenge mapema na akachukua hatua baada ya break.
 
Big up United. Kocha leo alijaribu gamble. Kucheza Fred, Ppgba na Mata kwa pamoja ilikuwa wazi midfield haitakuwa strong na hivyo kupunguza presha kwenye final third. Nashukuru ameona hiyo challenge mapema na akachukua hatua baada ya break.
Fred bado anastrugle tumpe muda akae sawa kisaikolojia
 
2018-12-26%2020.28.37.jpeg
 
√Fred bado anastruggle,tuendelee kumpa muda,atokee benchi..

√Pogba kama ni kumrate basi leo ningempa 9.5/10.He was perfect

√No Martial,Sanchez,Lukaku,,so far sio mbaya kwa mpira wa leo

√Ni muda sasa wa mabeki kumpa De gea japo clean sheet mbili tatu

GGMU
 
Jirani anaangusha points tu, so far matokeo yanaridhisha Martial sijamuona . Tuendelee kupunguza gap.
  1. kama klabu ingelifanya maamuzi ya kumuondoa jose mourinho kipindi kile tunafungwa ovyo naamini leo hii tungelikuwa mbali sana kwenye msimamo, fikiria ndani ya wiki hii majirani zetu wamepoteza point 6 lakini bado wametuacha kwa alama 12. Tunapaswa tuwasubirie wapoteze tena michezo minne ndipo tuweze kuzungumza nao lugha moja.
  2. tottenham hotspurs wametuacha nyuma kwa alama 13 kama nitakuwa nipo sahihi. unapoizungumzia tottenham kwa haraka haraka unaizungumzia timu ambayo ina mwaka wa 4 inasimama nafasi za juu hivyo basi kuiondoa kunahitajika maombi ya nchi nzima kwa sababu tayari wameshapata uzoefu.
  3. arsenal na chelsea kwa pamoja wametuacha kwa alama 5 mpaka nyakati hizi hawajaingia uwanjani, kwa msimamo ulivyo timu mbili hizi ndio tunaziombea njaa zifanye vibaya kila siku kwa pamoja ndipo tusogee mbele.
jose ameramba hela na nafasi yetu ya 4 mpaka muda huu na wiki tatu zijazo.
imekuwa ni rahisi kumsubiria yesu arudi kuliko kuisubiria manchester united isogee japo nafasi ya tano.
GGMU.
 
Back
Top Bottom