Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
Wakati anasema hayo maneno alikuwa ameshaondoka United (2013) na alikuwa hata hana ndoto kama kuna siku atarudi United kama kochaUlitaka aseme siipendi Man United? 😀😀
Hivi hujui kama ukocha Ni Kazi?
He kuna asiyeipenda kazi yake?
Hata Mark Hughes ni Legend Wa Man United amabaye alikuwa Mchezaji tegemeo Wa Sir Alix Ferguson, Lakini alipokuwa Kocha Wa Man City alisema anaipenda Man City na akaipiga Man United Nje Ndani.