Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nasisitiza clean sheets ni muhimu sana kwa timu inayocheza ili kupata mafanikio.

Clean sheets ina maanisha ulinzi imara

Ulinzi imara ina maanisha kufungwa kwa nadra

Na kufungwa kwa nadra inamaanisha chance kubwa ya kushinda
Clean sheet hazina maana kijana cha muhimu ni timu kushinda tu. Mfano tu assume zimebaki game kumi liver na man city wanalingana points, in those 10 games liverpool adraw games zote 0-0 then man city ashinde game 4 bila cleen sheet.
Game sita zilizobaki afungwe zote, apo clean sheet za liverpool zitasaidia nini?
 
Mfano wa ku draw na kushinda havina mahusiano. Naongelea wote washinde, mmoja ashinde kwa clean sheet

Vipi Man City akishinda 3-0, halafu

Liver ashinde 5-3 ?
 
5-3 zitamsaidia vipi Liver
 
Mfano wa ku draw na kushinda havina mahusiano. Naongelea wote washinde, mmoja ashinde kwa clean sheet

Vipi Man City akishinda 3-0, halafu

Liver ashinde 5-3 ?
Suala la clean and dirty sheet unaweza kuona direct benefit kwa context husika na kila kimoja kina umuhimu wake kwa wakati fulani na sio kwa wakati wote.
 
Mimi Ni mmoja ambaye Nimeumia Sana Kufukuzwa Mourinho! Musinishangae ila Kumbukeni kuwa "Adui Muombee Njaa"..

Na Njaa kubwa niliyokuwa nikiwaombea nikuwa Mourinho aogezewe Mkataba ili muzidi kupata Maumivu 😀😀😀

Kwa Upande Wa Wa Pili Nimefurahi Sana Kuteuliwa Mshabiki Nguli, Mshabiki lialia, Mshabiki Kindakindaki, Mshabiki Mkereketwa, Mshabiki Halisi Wa LIVERPOOL FC kamanda Ole Gunnar Solskjaer Kuwa Manager Wa Man United.

OGS Ni Boyhood Fan Wa Liverpool
OGS on Liverpool allegiance
Screenshot_2018-12-25-16-20-07.jpg
Screenshot_2018-12-25-16-20-45.jpg
Screenshot_2018-12-25-16-22-39.jpg
 
Sina Cha Kuongeza wala Kupunguza lakini hicho Chanzo Cha hiyo Habari umekiona lakini???

Mbona Kinasomeaka kuwa Ni Manchester Evening News?

Sasa hapo Pana tofauti gani na TBC kumuonesha Magufuli akisema Ndege zetu Zimeshaingiza Faida ya Bilioni 28?

Hebu Google kwenye Vyanzo angalao vinavyotambulika uone kama habari hii utaikutia.

Mkuu kati vyanzo vya uhakika kuhusu United ni Manchester Evening News (Sio la kipropaganda)

By the way hapo wame m quotes mwandishi (ambaye ni Liverpool fan) akisimulia yale yaliyomkuta 2013, wakati OGS akiwa Molde

Na hiyo nyingine ni alipokuwa Cardiff, hawawezi ku fabricate
 
Ngoja nikufahamishe kitu!

Unajua Kwanini Pochetino kila anapokwenda kuzungumza au Kufanya Press Conference anaulizwa Kuhusu kutakiwa na Man United?

Na unajua Kwanini Media zimeacha habari ya Man City kufungwa na Palace badala Yake Wakaipromote habari ya Man United kushinda goli 5?

Sasa kama unafahamu kazi ya Media katika Soccer basi utajua Kwanini Kuwa Hiyo habari imeandikwa Katika huo Mtandao Man Ev Newz.
 
Sina Cha Kuongeza wala Kupunguza lakini hicho Chanzo Cha hiyo Habari umekiona lakini???

Mbona Kinasomeaka kuwa Ni Manchester Evening News?

Sasa hapo Pana tofauti gani na TBC kumuonesha Magufuli akisema Ndege zetu Zimeshaingiza Faida ya Bilioni 28?

Hebu Google kwenye Vyanzo angalao vinavyotambulika uone kama habari hii utaikutia.
Chanzo cha Givemesport
Screenshot_2018-12-25-17-23-46.jpg
Screenshot_2018-12-25-17-24-07.jpg
 
Ngoja nikufahamishe kitu!

Unajua Kwanini Pochetino kila anapokwenda kuzungumza au Kufanya Press Conference anaulizwa Kuhusu kutakiwa na Man United?

Na unajua Kwanini Media zimeacha habari ya Man City kufungwa na Palace badala Yake Wakaipromote habari ya Man United kushinda goli 5?

Sasa kama unafahamu kazi ya Media katika Soccer basi utajua Kwanini Kuwa Hiyo habari imeandikwa Katika huo Mtandao Man Ev Newz.
Kwa hiyo mkuu huamini hata habari ya kweli ili mradi tu imetoka article ya mrengo flani? Isitoshe ime m quote mtu. Halafu wenzetu wapo professional sio kama bongo
 
Sasa kwani akiwa ni livepool fan sisi inatuhusu nini!?? Kinachopaswa atatue matatizo yetu na kuifanya timu iwe nzuri..period..

Mbona morinho hadi ana membership card ya Chelsea lakini tulimpa ukocha!?? Hizi habari hazinisumbui kichwa.
Hiyo sio ishu. Hapa tunajadili tu na kuweka kumbukumbu sawa

Halafu kuhusu Mourinho kuwa na Card Membership ya Chelsea, sina uhakika sana kama Chelsea inaendeshwa kwa mfumo wa Wanachama kama bongo

Halafu Chelsea kwa United sio sawa kama ikivyo Liverpool kwa United
 
Kwa hiyo mkuu huamini hata habari ya kweli ili mradi tu imetoka article ya mrengo flani? Isitoshe ime m quote mtu. Halafu wenzetu wapo professional sio kama bongo

Yani Amini usiamini Kwenye Suala la Soccer bora Media za Bongo Zinaaminika kwasababu Hawana Shule Za uhakika Kuliko Media za Ulaya.

Ondosha Mapenzi pembeni ya Mchezaji Fulani Bali angalia Wachezaji Hawa Wawili.

1) Rinaldo
2) Modric

Anza kuvuta Picha Jinsi Ronaldo Kwa Real Madrid Kwenye CL tokea hatua ya Makundi alivyoibeba mgongoni mwake Kwa Jitihada zake Binafsi hususan Katika Mechi maarufu za PSG, JUVENTUS na BAYERN.
Kisha Vuta Picha Alichokifanya Modric Ni Nini?

Mtazame Ronaldo kwenye Wedi Kap alivyoibeba Ureno akiwa Ni Jeshi la Mtu Mmoja ila tu Timu Yake ya Taifa Ni Kama Taifa Stars haibebeki.

Sasa angalia Kwenye Tunzo kila Tunzo Kapewa Modric!! Hivi Ni Kweli Ronaldo hakustahiki Hata Tunzo moja?

Hivi Ni kweli Modric anavyopaishwa ndiyo ubora wake kwwli?

Sasa hizo ndiyo Media za Ulaya
 
Ulitaka aseme siipendi Man United? 😀😀
Hivi hujui kama ukocha Ni Kazi?
He kuna asiyeipenda kazi yake?

Hata Mark Hughes ni Legend Wa Man United amabaye alikuwa Mchezaji tegemeo Wa Sir Alix Ferguson, Lakini alipokuwa Kocha Wa Man City alisema anaipenda Man City na akaipiga Man United Nje Ndani.
 
Yani Amini usiamini Kwenye Suala la Soccer bora Media za Bongo Zinaaminika kwasababu Hawana Shule Za uhakika Kuliko Media za Ulaya.

Ondosha Mapenzi pembeni ya Mchezaji Fulani Bali angalia Wachezaji Hawa Wawili.

1) Rinaldo
2) Modric

Anza kuvuta Picha Jinsi Ronaldo Kwa Real Madrid Kwenye CL tokea hatua ya Makundi alivyoibeba mgongoni mwake Kwa Jitihada zake Binafsi hususan Katika Mechi maarufu za PSG, JUVENTUS na BAYERN.
Kisha Vuta Picha Alichokifanya Modric Ni Nini?

Mtazame Ronaldo kwenye Wedi Kap alivyoibeba Ureno akiwa Ni Jeshi la Mtu Mmoja ila tu Timu Yake ya Taifa Ni Kama Taifa Stars haibebeki.

Sasa angalia Kwenye Tunzo kila Tunzo Kapewa Modric!! Hivi Ni Kweli Ronaldo hakustahiki Hata Tunzo moja?

Hivi Ni kweli Modric anavyopaishwa ndiyo ubora wake kwwli?

Sasa hizo ndiyo Media za Ulaya
Mkuu kwani hapo tatizo ni media za Ulaya au akina Samata na Amunike

Ma captain si ndio wanaochagua. Hata media sidhani kama zilikuwa zina influence kubwa kwa wapiga kura hao

Kuhusu Luka, mimi nadhani waliamua tu kuanza taratibu kuufuta utawala wa wale jamaa 2
 
Back
Top Bottom