Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bongo kwa mbwembwe bn, sasa hapo umejiona umeenda shuule kwa kutoshindwa kutaja "kifaa cha kutunza takataka" hadi utaje dust bin?
Wewe kama nani uoneshwe? Kwanza najiharibia na kujivunjia heshima yangu weee sio level yangu

Huku na huko chelsea kuna wakubwa zako wanajua nijadala ya kimichezo kwa wewe nakutupia kwenye dust bin
 
Yote kwa yote, hongereni sana Man U kwa kushinda mechi ya leo.

Karibuni tena kushinda mechi zijazo kwani timu ni timu tu wala haina mwenyewe, kwani Mourinho ni nani bn nakati alikuwepo mzee Fergy mwenye mafanikio tele kuliko makocha wengine wote waliowahi kuifundisha Man U lakini bado tu aliiacha timu?

Kila la heri katika mechi zijazo ili mtupe chachu Chelsea kutojisahau.
 
Swali la kizushi: Wadau Hii vice versa ya Man U sijui ilikuwaje. Ole alikuwa mwanafunzi Wa Ferguson na Phelani sasa hivi wamempa Ole jukumu la kuwa Mwalimu Mkuu na msaidizi wake ni phelan. Kwa nini Phelan asingepewa nafasi ya Ole halafu nafasi ya Phelan akapewa Ole?
 
Captain anatakiwa kuwa de gea au smalling au valencia tuwatendee heshima vitu kama hivi vimemfelisha mourinho
Smalling akiwa Mkuu na de gea msaidizi siyo mbaya. Shida ya De gea na Valencia naona siyo waongeaji ni wapole sana
 
Swali la kizushi: Wadau Hii vice versa ya Man U sijui ilikuwaje. Ole alikuwa mwanafunzi Wa Ferguson na Phelani sasa hivi wamempa Ole jukumu la kuwa Mwalimu Mkuu na msaidizi wake ni phelan. Kwa nini Phelan asingepewa nafasi ya Ole halafu nafasi ya Phelan akapewa Ole?
Nadhan uzoefu wa kazi ukiwa kama kocha mkuu. Changamoto za kocha mkuu ni tofauti na msaidizi.
 
1. Tumevaa jezi nzuri, Red + White.
2. Pogba ameanza.
3. Tumeshinda goli 5.
4. hatujapaki basi, tumeshambulia mpaka mwisho.
5. And most important, tumecheza mpira..to me thats more than enough.


6. City na Chelsea wamepoteza.
Wazee nawatakia krismas njema. Tukutane boxing day.
 
kuna baadhi ya mashabiki wa timu pinzani hawajui hata wanaongea nini
utasikia mtu anasema, "mbona mechi ya man city hamkucheza hivyo?" Hizi ni akili za hospitali ya vichaa huko dodoma,


GGMU

IKUMBUKWE KWAMBA MARA YA MWISHO MAN U TUMESHIÑDA GOLI TANO TUKIWA NA SIR. ALEX.

MANCHESTER UNITED 5:5 WEST BROM.
 
Back
Top Bottom