Manchester United (Red Devils) | Special Thread

7738690-6523175-image-a-45_1545501617521.jpg
Leo nimemuona victoe lindelof wa benfica anapanda na kutoa assist
 
Ishara si mbaya hajastrugle kupata matokeo binafsi hata mm nimekubali
Mkuu ndio tulichokuwa tunataka, tunaweza kupoteza mechi ila unaiona timu angalau ilikuwa inacheza sasa chini ya Mou kiukweli kila gemu ni fainali yaani akiongoza tu anatoa washambuliaji anaweka mabeki wake na kuanza kuchek gemu huku mmebana mambupu presha iko juu muda wote. Siwezi kusahau ile gemu na chelsea wanachomoa dakika za majeruhi.

GGMU
 
Nimefurahi sana mkuu hasa 5
 
Back
Top Bottom