Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa inabidi tuanze kuweka mpira mguuni na huku tunaangalia goli lingine maana hapa anythin inaweza kutokea
 
bado tumewakandamiza hawa arse-nal? Hebu nipeni habari nikakamate mshiko kutoka kwa muuza vitunguu hapa.....fasta, wana-bet na wanaume..
 
bado tumewakandamiza hawa arse-nal? Hebu nipeni habari nikakamate mshiko kutoka kwa muuza vitunguu hapa.....fasta, wana-bet na wanaume..

Mkuu habari ni kwamba mechi mbili goli 10 kutoka kwao tu alafu walikuwa wanasema kwamba hii game wata win maana huwa tuna bebwa United
 
Game over kama kawaida wazee wa kazi tunaendeleza kipondo tu
 
Well done utd but me still crying with nani and rooney kwa truely they show poor perfomance
 
Yaani Aresenal wanacheza rafu namna hii kisa wanataka kurudisha kipigo........sasa naona imewa-cost
 
Hongera Man United. Tuna game tatu za makelele zilizosalia baada ya kuwachapa Arsenane!

Tuendelee kuishangilia Timu yetu!
 
Well done utd but me still crying with nani and rooney kwa truely they show poor perfomance

Kwani ilikuwaje maana mimi nimeona dakika kumi za mwisho......na nikaona Arsenala wanacheza rafu tu.......
 
Phil-Jones-injury-Arsenal-vs-Manchester-Unite_2706114.jpg

ni nani huyo aliondolewa na machela?
 
Well done utd but me still crying with nani and rooney kwa truely they show poor perfomance

Kweli wamekua wakicheza hovyo sana. Hivi Young na Cleverly wanarudi lini? Afu SAF inabidi awechezeshe Chico na Berba au na Wellbeck. Rooney apumzike kidogo.
 
Back
Top Bottom