Ngumu sana..
Ingekuwa mi ndo napanga kikosi cha man utd luis nani na rooney napiga bench miezi 2
Ngumu sana..
Arsenal bana yani babu Giggs anacheza kama Xavi
Rahisi sana. 1 bila sasa. Na jinsi kiungo cha the Gooners kilivyopwaya,game itakua rahisi zaidi kipindi cha 2.
Halafu Luis Nani anatupunguzia idadi ya magoli,ilitakiwa tuwe na goli 3 au 4 hadi mapumziko