Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
Chance nyingi sana tumekosa na katikati wamepwaya sana na hii chance tutaitumia tu
Inabidi Park au Ando waingie ili tumalize kabisa.

Nani siku hapigi kabisaa
Sijui amekuwaje huyo, kuna wakati anakera sana!
Hatupaswi kupoteza hata nusu pointi hapa leo.
Sijui amekuwaje huyo, kuna wakati anakera sana!
Sasa ni wakati wa kufanya substitution. Giggsy kachoka sana.