Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wana bahati sana hawa vibonde,tulipaswa kuwafunga hata goli7.Huyu Nani anatakiwa apigwe benchi kwanza,uzuri tumepata pointi 3.Tugange yajayo
 
Danny-Welbeck-goal-Arsenal-vs-Manchester-Unit_2706234.jpg
 
Defoe angefunga ile nafasi aliyopata mwishoni sasa tungekuwa tunazungumzia mambo mengine.

Well done Champions
 
Ilikuwaje Rafael aliingia kum-replace Jones.........halafu akatolewa?
 
ila tatizo moja wachezaji wengi wameumia leo Jones, Nani, nimeona Rooney mwishoni alikuwa anachechemea
 
Kwa hiyo ni kweli alikuwa anapelekeshwa na Chamberlain.....duuhh
Hajakimbizwa huyo Chamberlain ndio alikuwa afadhali kwa timu ya Arsenal,Game ilikuwa ya kushinda goli 6 uzembe wa Luis Nani,Rooney na Welbeck
 
Hongereni wakuu kwa kubebwa, naona mnaona moto wa vijana wetu ingawa refa wenu kawabeba kwenye penalty aliyoshika Evra na red card anbayo angeonyeshwa Nani .... .... .
 
mpole sana wacha1..
 
Hongereni wakuu kwa kubebwa, naona mnaona moto wa vijana wetu ingawa refa wenu kawabeba kwenye penalty aliyoshika Evra na red card anbayo angeonyeshwa Nani .... .... .

Mkuu kulalama mpaka lini?!? Siku zote weye ni muzee ya kulalama..oh bahasha, oh red card, oh Man U wanabebwa!!

Cool off muzee.
 
Hongereni wakuu kwa kubebwa, naona mnaona moto wa vijana wetu ingawa refa wenu kawabeba kwenye penalty aliyoshika Evra na red card anbayo angeonyeshwa Nani .... .... .
Karibu Wacha aka Arshavin (nasikia leo Wewe na Mr Bean) mlikabidhiwa bahasha
 
Back
Top Bottom