Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jamaa wanadai haijawahi tokea toka mwaka 90 man u kupigwa gape ya point 19 na anaeongoza ligi
History made
Hizo pointi ndizo alizokuwa ametuzidi ManCity msimu uliopita. Leo hii, hata ligi haijafika nusu, tunapitwa pointi hizo kweli?
Jana Gary Neville alidai, MANUTD walifanya makosa ile Januari kuingia mkataba mpya na huyo Mourinho!
 
*Interesting from one Utd fan*

You arrive at a club u win Europa & league cup in frst season, 2nd season u ar #2, then 3rd season when you should backed in the transfer market to b #1 u get only Fred & Dalot,,,,hw abt tht!
he z coaching a club wth no ambition, a commercial club nt a ftball club anymo....imagine Juve were #1 last season then went on to buy 4 very good players
 

Nadhani Spurs hawajasajili mtu msimu huu lakini wanafanya vizuri
 
Jamaa wanadai haijawahi tokea toka mwaka 90 man u kupigwa gape ya point 19 na anaeongoza ligi
History made
Kikosi cha jana bado nakishangaa sana wachezaj wa nne wapo bench wa maana unamtupa lingard apambane na keita,fabinho na wijndam ilikuwa kazi nyepesi sana kwa liverpool

Tunategemea lingard apige pasi za mwisho kwa rashford na lukaku hata sikumbuki ni lini aliwahi ku assist
 
Ukiacha Pogba,Fred na Mata hakuna kiungo mwingine anayeweza kulink timu kutoka katikati kwenda mbele..

Players with quality wanawekwa nyuma na wale wabutuaji ndo wanapewa nafasi..

Atleast unafaham kuna wachezaji wabutuaji na si kama wengi wanavyosema wachezaji wote wana viwango bora tatizo ni kocha.

Lakini pia ukumbuke ni mara ngapi hao uliowataja wakiingia wanafurunda na tunamlaumu tena kocha kamuacha flan na flan kawaingiza hao??

Bila ushabiki, angalia mechi tulizopoteza. 70% utaona makosa yalianzia kwa nani na kwa uzembe wa waziwazi kabisa.
 
Ryan Giggs: We used to have centre-forwards like Cantona who would turn bad balls into good balls. Now we have centre-forwards like Lukaku who turn good balls into bad balls

Sidhani kama Mtu Kama Giggs anaweza kusema maneno hayo..

Ni propaganda tu hizo.
 
Mou haifai ile timu. Tangu afike amekuwa akiiweka Man U ktk weak side hasa anapocheza na timu kubwa kwa kuogopa sana ktk upangaji vikosi. Hana first eleven inayojulikana hadi Leo hii,ana visasi kwa wachezaji MF. Valencia,mbinu zake ni zilezile ktk big games haijalishi timu inacheza uwanja gani anaweka timu nyuma zaidi,signings zake ni za hovyo. Naamini hata akija beki gani anayemtaka yeye bado hata i rescue timu kwa mifumo anayoitumia
 
Mourhino ni mpuuzi! Hajui hata kusoma nyakati, hivi unafanyaje sub anaingia Felaini, anabaki Matta, Pobga na Martial nje.?

Huyu jamaa ni mpumbavu sana! Kani boa sana😡😡

Namchukia kuliko hata nichukiavyo Magufuli!!!

I hate Mourinho
Anampangaga felaini kwenye mechi anazoziogopa. Halafu mbaya zaidi hilo chezaji lake halina hadhi ya kuchezea Man U
 
Da jukwaa lenu mnambwembwe balaa mmefurahii balaa hope next round mnatema zile point 3

Mimi maranyingi naishia kwenye Jukwaa letu huwa sipendi kuzungukazunguka kwenye Nyuzi za Watu lakini naona Nyinyi Hamjatuzidi sisi kule kwetu kwa kumlaumu Kocha na Kuwashambulia Wachezaji na kugombana sisi kwa sisi Washabiki.

Unaweza ukashangaa Timu inashinda kila Mechi lakini kwanini Hatuachi Kumshambulia kocha na Wachezaji???

It is your Home Work

Tunayo sababu
 
Jamaa hana ufundi Wa kufundisha mpira ila ana mtaji Wa fitina za maneno so bado atapata timu kubwa,ila na zenyewe zitapata tabu sana
Kwa taarifa zilizopo hawana mpango wa kumfuta kazi bodi itawajibika kumpatia pesa zaidi wataanza mwez wa kwanza na dirisha kubwa
 
Nawasubiri Wale Pro Mourinho waje na utetezi wao wa Pogba ni mbovu , Lukaku ni Mbovu N.K
Asee pogba ni mchezaji mwingine asiyetakiwa pale kwenye timu. Mimi mchezaji anayetaka kuabudiwa na timu halafu hana jipya sipendi sana. Yule mchezaji no miongoni mwa wanaoigharimu sana timu. Hajitumi,hana kasi Wa nini sasa? Lukaku si mshambuliaji mzuri kwa sababu hata kukontro mpira ni shida,pili pasi zake si za uhakika,ni mzito kidogo kwenye kufanya maamuzi,amenenepa zaidi, kwa kifupi yule mchezaji no kama Gaudence Mwaikimba enzi zake. Nishawahi sema Man U haiwezi fanikiwa kwa kumtegemea lukaku kama main striker. Toa Huyo tafuta Mauro Icardi au Beloti,ikishindikana kabisa hata Morata jinga kabisa lile. Mourinho afukuzwe haraka iwezekanavyo
 
Kumbe Leo Pogba hakucheza kwa moyo
Hapana ndugu,yule mchezaji naamini angecheza basi timu ingecheza hovyo zaidi na pengine zisingekuwa 3. Mou na Pogba wote shida tu. Hajitumi kabisa,angalia Sanchez mpira umegoma ila unaona jitihada zake ila huyu gang star rapper ni shida asee. Na shida ni kwamba ukimkumbatia mchezaji Wa aina ya pogba basi tegemea hata akija kocha mwingine siku akiamua atamletea ujinga tu.
 
In Josee i trust, angetimiziwa mahitaji yake ndo ningelaumu.
Acheni hizi altitude za ajabu kocha mzuri utaona tu timu yake. Kama timu ingekuwa inacheza vizuri halafu matokeo hafifu hicho unachosema ingekuwa sahihi. Lakini huyu signings zake tu anashindwa kuzitumia karibia zote zimefeli unataka aletewe kina nani ndo wacheze kama atakavyo?
 
Hilo tatizo la ball control alikuwa nalo kubwa tu ni hivi hivi, ila kule alikuwa haonekani kwa sababu alikuwa timu ndogo kuliko man u na demand ya matokeo kule siyo kubwa kama alipo sasa. Kule hata angekosea vipi bado namba yake ilikuwepo tu. Hata wakati anaenda man u kitu mojawapo alichoongelewa na wachambuzi ni poor first touch. Wakashauri afanyie kazi hyo ila naona imeshindikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…