capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,267
Sell Pogba to Chinese for some 300 MN odd and give Mourinho to them for free. Pay 50 MN to Everton and ask them to take back Lukaku and that Christmas tree (Fellaini).
Mkuu sijakuelewa hapo juu, unamaanisha Mimi namkubali Mou?uchochezi
Daud1990 anakusalimia bwana radika anasema jose hana makosa.
baada ya real madrid kufungwa magoli 5 na barcelona walifanya maamuzi ya kumtimua kocha wao, nakumbuka kuna mdau mmoja aliandika humu ndani ya kwamba real madrid wamefanya maamuzi ya maana sana kumfukuza kocha wao na muda si mrefu watakuwa bora kuliko manchester united hii ya mourinho.
huwezi amini ukitoa mechi ya leo real madrid amezidiwa point 2 na barcelona, wakati wanamtimua kocha wao walikuwa na point 14 na jana wamefikisha point 29 japokuwa performance yao hairidhishi sana na hii inachangiwa zaidi na kuondoka gwiji wa mpira cristiano ronaldo, ina maana real madrid wamekusanya point 15 kwenye mechi takribani 7.
upande wetu tokea madrid wamtimue kocha wao sisi manchester united tumekusanya pointi 9 kwenye mechi 7, siku hiyo hiyo aliyofungwa real madrid magoli 5 upande wetu tunamfunga everton na kufikisha point 17 tukiwa nafasi ya 8 kwenye mechi 10.
View attachment 969945
TUNADHALILISHWA
Nawasubiri Wale Pro Mourinho waje na utetezi wao wa Pogba ni mbovu , Lukaku ni Mbovu N.K
Duh we una moyo huyu co kocha hatufaiiiiiii au unataka mpka tushuke darajaPogba hachezi kwa moyo mkuu, hapa Mou mnamuonea tu. Na Lukaku nae anahitaji kiungo kama Pogba na Pogba mwenyewe ndivyo kama unavyomuona
Kumbe Leo Pogba hakucheza kwa moyoPogba hachezi kwa moyo mkuu, hapa Mou mnamuonea tu. Na Lukaku nae anahitaji kiungo kama Pogba na Pogba mwenyewe ndivyo kama unavyomuona
Pogba hachezi kwa moyo mkuu, hapa Mou mnamuonea tu. Na Lukaku nae anahitaji kiungo kama Pogba na Pogba mwenyewe ndivyo kama unavyomuona
Nani anaecheza kwa moyo??Pogba hachezi kwa moyo mkuu, hapa Mou mnamuonea tu. Na Lukaku nae anahitaji kiungo kama Pogba na Pogba mwenyewe ndivyo kama unavyomuona
mkuu naufahamu msimamo wako tokea miaka 3 iliopita, hahahahaaaaa umeninukuu vibaya.Mkuu sijakuelewa hapo juu, unamaanisha Mimi namkubali Mou?
Kama ni hivyo umenikosea mnooooooo. Sijawahi na haitakuja either duniani au mbinguni nikamkubali kocha yoyote Mwenye mbinu za kiuchezaji kama Mou.
Mimi ni moja ya mashabiki tangu mwanzo tumekuwa na misimamo iliyo wazi kabisa kuwa Mourinho haiwezi kuipeleka hii team kule tunapopataka. Na sasa imekuwa.
Hahahaha barua imeshaandikwa mkuu , alieshika funguo za kabati lenye barua bado anagwaya gwayamkuu naufahamu msimamo wako tokea miaka 3 iliopita, hahahahaaaaa umeninukuu vibaya.
hivi barua ya kuachishwa kazi yule mreno haijaandaliwa na karani wetu mpaka muda huu?
mechi 7 tunapata point 9.
aibu ya karne.
Nam-fowardia Mourinho haya maoni yako!OK wakuu nimesoma comments zote,ngoja nilale sasa...
Mourinho k*mamaeeeeeeeeeeeeeeeeeee
hahahahahahahaaaaa kama ed woodward anadanganya financial statement basi atwambie, haiwezekani klabu mpaka muda huu inaendelea kufanya kazi na special one.Hahahaha barua imeshaandikwa mkuu , alieshika funguo za kabati lenye barua bado anagwaya gwaya
Itakuwa raha sanaThe Glazers are actively trying to sell the club at the moment. [@Malachians] #MUFC