tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,189
- 29,748
Aondoke huyu Jose,hana loloteJosé ni kocha aliyepitwa na wakati mkuu,sijui umechelewa kuliona hili?
Anabaki kulaumu wachezaji ambao kocha mwenzake akiwapata atafanya maajabu,Mtu una Bailly na Rojo halafu unalialia huna CB,au hao ni wacheza golf?😀😀😀
Jose ameanza kushindwa mwanzo wa msimu baada ya kuwafanya walinzi wetu wa kati wasijiamini kutokana na malalamiko yake.
Tubaki na José tuendelee kubahatisha.