Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu,lukaku anahitaji kiungo kama Pogba ili amsaidie nini? Yani mtu hata kutuliza mpira kwake ni jasho na damu Pogba atamsaidia nini?kumtulizia mipira au?

Lukaku kama namba tisa anahitaji feeding ya viungo ambao ni washambulizi wasaidizi nafasi mahususi ya Pogba. Kuhusu form kweli jamaa(Lukaku) ameharibika vilivyo sasa sijui tatizo ni nini lakini Lukaku niliyemuona Everton hakuwa wa kushindwa Ball control
 
In Josee i trust, angetimiziwa mahitaji yake ndo ningelaumu.
Naheshimu maamuzi yako mkuu lakin kwa hiki cha lingard =mata fellain =fred au pogba martial nje nani anaunganisha timu? Dalot = valencia utakuwa utani

Viungo wa liverpool keita na fabinho wametuzidi nini? Na wamekamua vizur tu

Binafsi naona kocha tatizo usinaimbe ile liverpool ni kali kuishinda ile city anakula 4 walikiwa wanashambilia kama nyuki
]
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu ina changamoto kuanzia ngazi za juu mpaka chini. JM ana mbinu outdated sana lakini kwa matatizo ya united kwa sasa hata aje wenger au pep watashindwa.
 
Mkuu kuna Bernardo Silva kijana mmoja mgumu mno kudispossess lakini akitangwa na hao wawili huwa anapoteza mipira
benardo silva sampuli za mata wanakupa option nyingi sna kama unashambulia assist na magoli matic hupat

Pia matic anacheza kiungo cha kukaba kwa namba anayocheza hatakiwa kuwa mpoteza mipara muangalie fernandinho kama utapata huo ujinga au wijndam wa liverpool
 
Timu ina changamoto kuanzia ngazi za juu mpaka chini. JM ana mbinu outdated sana lakini kwa matatizo ya united kwa sasa hata aje wenger au pep watashindwa.
Hapana timu imebalansi vizur sana martial na rashford wanakupa option nzur sana ukiwa unashambulia wanaspid nyuma yao tia mata pogba na herrera kulia acheza valencia kushoto young nyuma pale smalling na bailly au rojo lukaku 9 uone kama hujapata matokeo matic yupo slow sana.
 
Manchester united vs Arsenal man united vs liverpool
  1. De Gea = degea
  2. Dalot = dalot
  3. Bailly = bailly
  4. Rojo = young
  5. Smalling = lindelof
  6. Darmian = darmian
  7. Herrera = herrera
  8. Matic = matic
  9. Martial = lukaku
  10. Lingard = lingard
  11. Rashford = rashford
kumbe arsenal na liverpool ni sawa sawa kwa akili za mourinho.
liverpool wana wachezaji 9 ambao wana uwezo wa kutembea na mpira ila ukija kwetu sisi utafikiri mpira umetiwa kwenye maji ya moto, unacheza na watu wafupi wanaokimbia kama wamefungwa mota eti unamuingiza fellaini na matic wacheze pamoja.
game plan za kocha ni ovyo ovyo ovyo.
 
Salah au mane akabane na dalot what a joke?? Valencia yupo bench
 
Poleni sana wakuu kuna siku niliwaambia Matatizo ya Manchester United ni kocha Mourinho hata Tactical display za kuipeleka United top level na sio usajili kama anavyodai yeye hata wakimletea Messi ,Dybala, Salah kama Tactics za kocha ni mbovu ni kazi bure.
 
Salah au mane akabane na dalot what a joke?? Valencia yupo bench
unajua leo diogo dalot kachezeshwa namba 7, kituko zaidi anamtoa dalot anamuingiza fellaini wakati nje yupo mata na martial.
mpira wa kutegemea watu warefu wasiokuwa na uwezo wa kutembea na mpira mita 10 umepitwa na wakati.
fabinho, widjnaldum, keita, robertson hawa jamaa leo hii wametudhalilisha mpaka naona aibu kurudi kuangalia kipindi cha pili.
yaani manchester united siku hizi imekuwa ni kawaida kucheza dakika 30 bila ya kupiga shuti golini, inafika wakati kama mechi siajiona mwanzo basi sihangaiki kwenda youtube kuangalia highlights najua ni empty set.
 
Back
Top Bottom