severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Ha ha ha boya weweHodi humu ndani...nimeleta sanda kwa ajili ya mazishi.
Ha ha ha boya weweHodi humu ndani...nimeleta sanda kwa ajili ya mazishi.
Na ile ndo wanaita bahati kwenye mpira. Kwa sababu ukiangalia tena ile mechi utaona kuna magoli ya wazi kabisa washambuliaji Wa Bayern walibaki na kipa wakawa wanakosa,hyo siyo sababu ya kina terry kuweza kuzuia dk 90. Kumbuka dk kama ya 80+ Bayern wakapata na penati roben akakosa.Tatizo la kocha kuwaza ulinzi tu,msimu wake wa kwanza na wapili timu ilikuwa na tatizo dogo tu,tatizo lilikuwa kwenye kumalizia.
Kama unakumbuka msimu wa kwanza MUFC ilikuwa inatengeneza nafasi nyingi sana ila tatizo lilikuwa kwenye umaliziaje. Sasa sijui alikuwa anatafuta CB kwaajili ya kumalizia?
Huyu jamaa ni wakutimulia mbali tu😀😀 hata apewe akina Toby ataharibu tu. Hakuna beki anayeweza kuzuia dakika 90. Waliweza hivyo akina John Terry tu dhidi ya Munich😀😀😀
Hapo kwa giggs dhidi ya lukaku nimecheka sana. Duuu ila watu wamechafukwa wanaropoka tu sahziG.Neville: The board are so naive, giving him (Mourinho) a new contract. Manchester United need to reset. It’s not just the manager, it’s deeper than that. They lost control of the football club when they gave him a contract extension 18 months in.
Gary Neville on Man Utd defence. Like spaghetti bolognese, all over the place.
Gary Neville: The board are incompetent and they simply can’t handle a football club, it’s about time someone who understands football is appointed.
I mean if you’re Paul Pogba watching Matic, Herrera, Fellaini, Fred played the other night, not one of them can pass a football! - Gary Neville.
Roy Keane: If you came down from the moon you would think Manchester United were an average Premier League team. You can’t be too critical. You hope to have a decent run in the cups. Back to the 1980s.
Keane: I’d love to know what the atmosphere is like at the training ground. Is it a happy camp? When you look at their body language, I don’t get the impression they enjoy playing for United. Some of them look disinterested. Is that coming from the manager?
Roy Keane: The recruitment over the last few years at Man Utd has been bad.
Keane on Pogba: Come the summer, you move him on, it’s no big deal, he’s left United before.
Ryan Giggs: We used to have centre-forwards like Cantona who would turn bad balls into good balls. Now we have centre-forwards like Lukaku who turn good balls into bad balls.
Jamie Carragher: When they both came to the league, everyone was talking about the Pep and Jose rivalry. It’s got to the point where nobody even talks about it and that says everything about the situation. #mufc
Huyu Mzee asiwe anaenda uwanjani kuangalia man u dhidi ya timu kubwaSir alex na david gill.View attachment 970362
Kwisha habari yetu. Tuombe tutolewe kistaarabu tusitolewe kwa aibu tu!
Hawezi Fanya kazi na Mwl Wa sasaHuyu baba wa kulia huku arudi tu jamani
Doh! Haya sisi tuendelee tu kuiunga mkono timu muda ukifika basi tutapata farajaKwa taarifa zilizopo hawana mpango wa kumfuta kazi bodi itawajibika kumpatia pesa zaidi wataanza mwez wa kwanza na dirisha kubwa
Hama tu team sio ukoo huoManchester United kwa sasa hatuna ubavu wa kupambana na timu yoyote ile iliyoingia 16 bora UEFA!
Ukweli mchungu wenye kuuma.


Hama tu team sio ukoo huo![]()
aahhaahhaaa! Nacheka nikiwa naumia sana.*Just as the game was going well on 1-1*
*Mourinho decided to introduce the tallest man to use his head* *and settle the tie*
*Klop got angry and brought in the shortest man in premier league and the rest was history*
Akiwa Belgium ni team ndogo? mbona ndio top scorer wa team ya taifaHilo tatizo la ball control alikuwa nalo kubwa tu ni hivi hivi, ila kule alikuwa haonekani kwa sababu alikuwa timu ndogo kuliko man u na demand ya matokeo kule siyo kubwa kama alipo sasa. Kule hata angekosea vipi bado namba yake ilikuwepo tu. Hata wakati anaenda man u kitu mojawapo alichoongelewa na wachambuzi ni poor first touch. Wakashauri afanyie kazi hyo ila naona imeshindikana
*Just as the game was going well on 1-1*
*Mourinho decided to introduce the tallest man to use his head* *and settle the tie*
*Klop got angry and brought in the shortest man in premier league and the rest was history*


hatari sanaHii timu ni mbovu sana
Tatizo wakimfukuza sahzi mkataba unataka alipwe £24 mil. Na akishindwa kuingia top 4 man u wakimfukuza watatakiwa wampe £18 mil. Kwa hyo nadhani wanazitolea macho hizo paundi mil. 6Naskia atafukuzwa mwezi wa 4 au wa 3 mwishoni pale timu itakapoonekana haiwezi kufuzu UEFA.
Kama watangulizi wake walivyofanyiwa,Moyes na Van gal.
..........................................................
Huu ni uamuzi wa kipumbavu zaidi,tungeleta kocha mpya mapema anaweza kuturudisha big 4,mechi bado nyingi.
Huyu mbwa Mourinho hana jipya pale .....
Wachezaji wake Smalling,Matic,Lukaku na Fellaini.
Angalia main strikers Wa Belgium ni kina nani halafu ndio utajua jamaa pale front yeye bado ni mfalme. Halafu bado narudi pale pale demand ya matokeo ya Belgium huwezi fananisha na ujerumani,Brazil,Argentina hata na uingereza wenyewe. Huko ukizingua wanakuzingua. Sasa Belgium hata akizingua nani Wa kumtisha aliyepo benchi?Akiwa Belgium ni team ndogo? mbona ndio top scorer wa team ya taifa
Ka sasa huwezi kupata kocha mpya wa kuipeleka United mbele, labda uwe unataka kubadili tu sura ya kocha ambapo baadae utataka naye afukuzwe (Nadhani utakubaliana na mimi muda wa majaribio ya makocha umekwisha sasa)Naskia atafukuzwa mwezi wa 4 au wa 3 mwishoni pale timu itakapoonekana haiwezi kufuzu UEFA.
Kama watangulizi wake walivyofanyiwa,Moyes na Van gal.
..........................................................
Huu ni uamuzi wa kipumbavu zaidi,tungeleta kocha mpya mapema anaweza kuturudisha big 4,mechi bado nyingi.
Huyu mbwa Mourinho hana jipya pale .....
Wachezaji wake Smalling,Matic,Lukaku na Fellaini.