severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Kocha huyu hatufai
Ndugu hata Huyo Pogba aondoke tu,hajitumi
Narudia tena kusema mtu wa kumtoa pale kati ni Matic na hakuwa pogba.
Mimi hilo nililisema zamani ila kwa sasa sisemi ili kila mtu ajionee.Kocha huyu hatufai
Ndugu pogba na kocha wote ni matatizo wanapaswa wondoke
Bora tufungwe hivi hivi maana tukishinda kibahati bahati kama kawaida yetu basi kuna mtu ataendelea kutuaminisha Pogba ndio tatizo.
Game haijaisha mkuuHaya subiri
Ndugu pogba na kocha wote ni matatizo wanapaswa wondoke
Huyo Mzee Fargason ndio mchawi wampige ban kuja uwanjan.
game ambazo Fargason hayupo uwanjan huwa tunashinda.



Acha mzee wa watu.ED naye ni mjinga tu, muda wote huo huwezi kumkumbatia kocha mjinga huyo.Ed kakasirika.Naona amerusha mkono kihasira. Mourinho is near done.
Yeah zaidi ya magoli ambayo yalitokana reflections hajafanya lingine la ajabu. Anyway unaweza kusema ndicho alichosajiliwa.Unasema??????????
NimemuonaEd kakasirika.Naona amerusha mkono kihasira. Mourinho is near done.
Zile goli mbili tumejichoma wenyeweYeah zaidi ya magoli ambayo yalitokana reflections hajafanya lingine la ajabu. Anyway unaweza kusema ndicho alichosajiliwa.
Hivi vipigo walah tunajitafutiaIlikuwa asubuhi Ikawa jioni, Man U defeat is history, now let us contemplate about what is ahead
Bado?Game haijaisha mkuu
