Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Zile goli mbili tumejichoma wenyewe

Sijamuelewa mourinho kabisa yani martial na mata wanakaake bench? Daaaa au anatafuta njia ya kufukizwa una valencia mechi ngumu anakaa benchi inanipa wasiwasi kuna litu anatafuta sio bure
Liongelee hata hilo.moja ulilopata mzee. Napo mnahatisho
 
Tunaharibu kabisa kiwango cha de gea hadi kaanza kushindanishwa na wakina alison daa so sad
 
Zile goli mbili tumejichoma wenyewe

Sijamuelewa mourinho kabisa yani martial na mata wanakaake bench? Daaaa au anatafuta njia ya kufukizwa una valencia mechi ngumu anakaa benchi inanipa wasiwasi kuna litu anatafuta sio bure
José ni kocha aliyepitwa na wakati mkuu,sijui umechelewa kuliona hili?

Anabaki kulaumu wachezaji ambao kocha mwenzake akiwapata atafanya maajabu,Mtu una Bailly na Rojo halafu unalialia huna CB,au hao ni wacheza golf?😀😀😀

Jose ameanza kushindwa mwanzo wa msimu baada ya kuwafanya walinzi wetu wa kati wasijiamini kutokana na malalamiko yake.

Tubaki na José tuendelee kubahatisha.
 
Unajaza mijitu kibao nyuma matokeo yake ni two deflection goals, yaani Morinho kajaza vyuma tupu hamna grisi hata kama Liverpool angemtoa Kipa still bado Man wasingekuwa na madhara, ila poleni sana majirani mchawi wenu Morinho.
 
José ni kocha aliyepitwa na wakati mkuu,sijui umechelewa kuliona hili?

Anabaki kulaumu wachezaji ambao kocha mwenzake akiwapata atafanya maajabu,Mtu una Bailly na Rojo halafu unalialia huna CB,au hao ni wacheza golf?😀😀😀

Jose ameanza kushindwa mwanzo wa msimu baada ya kuwafanya walinzi wetu wa kati wasijiamini kutokana na malalamiko yake.

Tubaki na José tuendelee kubahatisha.
Mata na martial sio wa kukaa bench hata kwa pogba kama yule fabinho anacheza hao wanashindwaje? Uje keita hana maajabu kabaki kuvuruga players tu
 
IMG_4751.JPG

IMG_4750.JPG
 
Msiba huu ni mkubwa sana ,daktari morinyo kasababosha yote haya poleni sana napenda kutoa rambirambi zangu
 
Polepole ndugu Kushindwa kuipa matokeo man u hakuondoa ubora wa Jose ,kocha bora anapimwa kwa vikombe morihno ni world class ,mpe heshima yake
Mimi hilo nililisema zamani ila kwa sasa sisemi ili kila mtu ajionee.

Tatizo humu mashabiki wana mahaba na Mourinho pale anaposhinda watu wanamtetea kama anaonewa. Ila akifungwa wanaanza tena.

Mourinho hata ashinde mechi 500 mfululizo ni kocha mbovu kuliko hata Maralia Hamsini.
 
Back
Top Bottom