Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
kwa Herrera sawa Young kwa mechi ya leo sawa the rest katafute mechi zao uangalie upyaKuna Herrera, kuna Matic, Lindelof, Smalling, Young, Shaw e.t.c
kwa Herrera sawa Young kwa mechi ya leo sawa the rest katafute mechi zao uangalie upyaKuna Herrera, kuna Matic, Lindelof, Smalling, Young, Shaw e.t.c
Poleni sana wakuu kuna siku niliwaambia Matatizo ya Manchester United ni kocha Mourinho hata Tactical display za kuipeleka United top level na sio usajili kama anavyodai yeye hata wakimletea Messi ,Dybala, Salah kama Tactics za kocha ni mbovu ni kazi bure.
Ajabu sana hii wakat van gaal alimtumia lingard kama 7unajua leo diogo dalot kachezeshwa namba 7, kituko zaidi anamtoa dalot anamuingiza fellaini wakati nje yupo mata na martial.
mpira wa kutegemea watu warefu wasiokuwa na uwezo wa kutembea na mpira mita 10 umepitwa na wakati.
fabinho, widjnaldum, keita, robertson hawa jamaa leo hii wametudhalilisha mpaka naona aibu kurudi kuangalia kipindi cha pili.
yaani manchester united siku hizi imekuwa ni kawaida kucheza dakika 30 bila ya kupiga shuti golini, inafika wakati kama mechi siajiona mwanzo basi sihangaiki kwenda youtube kuangalia highlights najua ni empty set.
Wakat msimu uliopita hizo ndo goli aliruhusu mashindano yoteYaani De Gea mechi 17 kapigwa goli 29!
United mechi 17 goal difference zero (0), yaani SIFURI!!!
Endeeni kumtunza Mourinho, we need him.
Mourihno sometimes naona kama ni mtu anayebahatisha tu..game plan zake recently ni za ovyo ovyo sana...Matic anaonekana kabisa miguu imekuwa mizito lakini bado kocha ana stick naye tu..Manchester united vs Arsenal man united vs liverpool
kumbe arsenal na liverpool ni sawa sawa kwa akili za mourinho.
- De Gea = degea
- Dalot = dalot
- Bailly = bailly
- Rojo = young
- Smalling = lindelof
- Darmian = darmian
- Herrera = herrera
- Matic = matic
- Martial = lukaku
- Lingard = lingard
- Rashford = rashford
liverpool wana wachezaji 9 ambao wana uwezo wa kutembea na mpira ila ukija kwetu sisi utafikiri mpira umetiwa kwenye maji ya moto, unacheza na watu wafupi wanaokimbia kama wamefungwa mota eti unamuingiza fellaini na matic wacheze pamoja.
game plan za kocha ni ovyo ovyo ovyo.
Binafsi nimekata tamaa kwa upangaji ule wa timu hadi wakina fabinho wanang'aa dhahiri hamna kocha hana mbinu kila mmoja tulipokuwa tukiangalia mpira alishangaa sana 4 playars wa maana wapo benchtunakumbushana jamani leo ni jumatatu tulivu lakini huenda ikageuka na kuwa jumatatu yenye machungu.
kama kuna mdau anayeamini porto na dortmund ni wepesi anahitajika kurudi nyuma na avute kumbukumbu mechi dhidi ya sevilla msimu uliopita.
- barcelona
- real madrid
- bayern munich
- man city
- dortmund
- fc porto
- psg
- juventus.
hivi kuna timu isiyotaka kupangiwa na manchester hii yenye goal 0 kwenye mechi 17?
msimu uliopita tulishindwa kuimaliza game nyumbani kwetu na msimu huu tunatakiwa tukamalize gemu ugenini.
Giza kali mno ntaendelea kusema lingard hana hadhi hata kukanyaga nyasi za old traford shenzi kabisa angekuwa bongo tungemuita mchawiKumekucha.
Siku nyingine tena, ngoja tusubiri tuone kitakachojiri siku za mbele maana kwa siku hizi naona giza
Ta ta ta.......tu hiyoEngineer soooomaaaaaaa hiyoooooo![]()
![]()
Team work mkuu sasa lingard unategemea ataunganisha timu?Ni aibu kumgegemea lukaku akupe matokeo
Ndo mana pep anafukuza vi academy hivi ukiviendekeza unavuna mabua kajitu hakawezi hata kutengeneza nafas wala ku drible kakifunga leo goli hadi mwakan mwez wa 3 kanapangwa kisa kanakimbiakimbia akimbie na jana
Rashford namuona kabisa kila mech anajaribu kuleta kitu tofaut ana drible anakimbia anatengeneza nafasi anaweza kumtoka bek haka hata kukakingia kifua rahisi lakin kale ka ku dab na kushek hovyo sana

Manchester united vs Arsenal man united vs liverpool
kumbe arsenal na liverpool ni sawa sawa kwa akili za mourinho.
- De Gea = degea
- Dalot = dalot
- Bailly = bailly
- Rojo = young
- Smalling = lindelof
- Darmian = darmian
- Herrera = herrera
- Matic = matic
- Martial = lukaku
- Lingard = lingard
- Rashford = rashford
liverpool wana wachezaji 9 ambao wana uwezo wa kutembea na mpira ila ukija kwetu sisi utafikiri mpira umetiwa kwenye maji ya moto, unacheza na watu wafupi wanaokimbia kama wamefungwa mota eti unamuingiza fellaini na matic wacheze pamoja.
game plan za kocha ni ovyo ovyo ovyo.