radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Binafsi sijawahi kumkubali lingard mbele ya mata na pogba mchezaj hawez kidrible wala kutoa assist anapateje namba?Ukiacha Pogba,Fred na Mata hakuna kiungo mwingine anayeweza kulink timu kutoka katikati kwenda mbele..Sasa kwa nini kocha asijaribu kupata ubora wa hawa wachezaji ambao wanaonekana wanapotential za kutosha..
Huyu Mourinho alitaka leo abahatishe ili kwenye press conference aanze kumnanga Pogba,sasa kachezea za uso..
Players with quality wanawekwa nyuma na wale wabutuaji ndo wanapewa nafasi..
Fabinho na keita wamecheza wanamaajabu gani hadi pogba na fred wakae bench au mata?
huyo Mreno aondoke aliache hili jembe.
hakuna krosi hata moja imetokea kulia dakika zote 90.