Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,027
- 51,556
Mh ngoja tuone mechi zijazo kwanza. Ni mapema ku judge kwa sasa
Kumekuwa na watu waliamini kuwa pogba ndio man utd na man utd ndio pogba.
Hizi mechi mbili zimedhihirisha tofauti kabisa na inawezekana kweli jamaa ni kirusi kwa mujibu wa mou.