Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bora mngeenda europa maana kwa uwezo ambao timu inaonesha haiwezi kuifunga timu yoyote itakayokutana nayo UEFA. Inatembea kwa shida.
Kumfananisha morinho na gadiola ni kufanya matusi ya soka
Listi ya makocha bora kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita hadi sasa hivi wa kwanza ni Anceloti na 2 ni Jose Mourinho "SPECIAL ONE"

Kilaza wako na baguzi la rangi liko nafasi ya 10.

Google ulete mrejesho wako hapa na hicho kilaza chako kilichoikuta Man City ikiwa

1. Ilishawahi kubeba kombe la EPL

2. litoka kushiriki UEFA robo fainali alipotolewa na Real Madrid.

3. Alipewa pesa kwa kufumua kikosi chote kwa kununua wachezaji 11 msimu wa kwanza.

4. Alipoingia choo cha kike kuona kipa aliyemsajili katika wale wachezaji 11 ndani ya Man City akitokea Bayern Munich hafai ilimbidi amuuze tena na kusajili tena kipa mwingine.

5. Msimu wa pili alisajili tena wachezaji wengine 9 akiondoa akina Zaballeta, Mangala, Kolarov, Dzeko, na wengineo kibao ndipo akachukua EPL kikombe.

6. Kasajili tena wachezaji wa4 baada ya kuchukua kukombe cha EPL.

7. Jana tena kachezea kichapo na hafikagi popote katika UEFA ndiyomaana Bayern Munich ilimtimua sababu lengo la ile timu ni kunyakua kombe la Wanaume "UEFA" wala si vikombe vya ligi kuu ambavyo ameshachukua mfululizo sana hadi kachokwa navyo.

8. Kama anajiamini ni kocha bora asiende katika klabu kubwa zenye pesa za kutosha bali aanzie kufundisha timu ndogo zinazocheza ligi daraja la pill na azipandishe daraja la ligi kuu kisha atwae kombe kama alivyofanya Ranieri akiwa na Leicester City siyo kuzurura zurura tu katika timu ambazo tayari kashazikuta ziko "on fire " kama alivyoikutaga Barcelona ya akina Eto'o na Ronaldinho Gaucho ikiwa tayari imeshakuwa vizuri baada ya kunolewa na Rijkaard.

9. Akiacha ubaguzi wa rangi kama alivyokuwa akiwabagua akina Samwel Eto'o na Yaya Toure nitakuwa wa mwisho duniani kumuamini kuwa ni kocha bora.

10. Ukocha bora hupimwa na mafanikio tokana na mafanikio ya makombe mbali mbali ambayo Kocha kashatwaa akiwa na timu mbali mbali duniani au kuikuza kiuchumi kama Arsene Wenger alivyoikuza Arsenal ndiyomaana yuko namba 4 katika hiyo listi ya Makocha bora duniani kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita hadi sasa hivi.

11. Mourinho tayari kashamchapa Gudiolar mbali sana maana kashajitwalia vikombe vya ligi kuu na vya wafalme kama "FA" mbali mbali zaidi ya14 akiwa Portal FC(Portugal), Chelsea(England), Intermillan(Italy), Real Madrid(Hispania), Chelsea tena(England) na Man U(Engaland) duniani akiongoza kuliko kocha yeyote yule.
Mbali na hayo anafungamana na Gudiolar katika kombe la UEFA kwa kuchukua mara mbili zote japo tena Mourinho CV yake ni bora zaidi sababu katwa katika nchi 2 tofauti sawa na Ancelot aliyetwaa mara 2 akiwa na AC Millan pa1 na Real Madrid huku Gudiolar akitwaa katika nchi 1 pekee(Barcelona - Hispania).

So Gudiolar bado ni mtoto sana kwa Mourinho ingawa sasa hivi anaonekana kapotea lakini tatizo la Man U ni kubwa ma si la Mourinho pekee, ndiyomaana kila Man U ichezapo Mashabiki huonesha bango kwa tajiri wa timu "Edwood Ward" badala ya kumzomea Mourinho kwa akili zako fupi zinavyoona.
 
Kuna factor nyingi zinazopelekea kocha kufukuzwa umewahi kuona uwanjani mashabiki walionunua tiket wamebeba mabango ya mourinho out? Kwa nini jibu ni moja tu mchawi ni ed
Na Glazers family
 
Na Glazers family
Hawa wameua club cha marekani huko kutoka kushindania makombe hadi comercial club wanapiga hela tu hata ukisikiliza hadith zao na edward woodward ni kuingua top 4 tu kulinda mkataba wa adidas wanahitaj kocha mvujisha siri kama mourinho anakusemelea mbele za media na mashabiki angesema atulie vile hajapewa mahitaj yake wangeshamnyanyulia mambango mashabik ya mourinho out aliwawahi vizur sana kutupa habar

Hata van gaal aliwah kusema sisi ni comercial club ila hatukuupata ukweli
 
Tena anaongelea investment ili ionekane timu inahitaji kununua Kama psg.....angekuwa anajielewa angenunua wachezaji wazuri sana kwa bei ndogo akawachanganya na accademy players
Barcelona iliwanunua akina Suarez, Cotinho, Aturo Vidal kwa bei ndogo?

Dunia ya sasa ni pesa ndugu bila hilo umepotea kabisa.
 
Hao wachezaji uliowataja unadhani watachukua muda gani pale epl mpaka kukupa ubingwa wa ligi kuu
Wakiwa tayari kwa level za top players, Barca, Juve, United, Madrid watakuja kugonga mlango kuwahitaji na wale wanaoporwa watajipa moyo kwa kusema tume make mpunga kwa kuuza wachezaji, wakati kisoka wanarudi nyuma
 
Majirani wa Mjini kati wapo darajani leo. Kwa jinsi walivyo watoto wa kishua, Watavunja daraja huko.
Aisee naona walivunja hilo daraja jana, hongera sana kwa kuvunja daraja ndani ya Stamford Bridge kwa timu isiyo na beki wa uhakika wala strikers
 
Listi ya makocha bora kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita hadi sasa hivi wa kwanza ni Anceloti na 2 ni Jose Mourinho "SPECIAL ONE"

Kilaza wako na baguzi la rangi liko nafasi ya 10.

Google ulete mrejesho wako hapa na hicho kilaza chako kilichoikuta Man City ikiwa

1. Ilishawahi kubeba kombe la EPL

2. litoka kushiriki UEFA robo fainali alipotolewa na Real Madrid.

3. Alipewa pesa kwa kufumua kikosi chote kwa kununua wachezaji 11 msimu wa kwanza.

4. Alipoingia choo cha kike kuona kipa aliyemsajili katika wale wachezaji 11 ndani ya Man City akitokea Bayern Munich hafai ilimbidi amuuze tena na kusajili tena kipa mwingine.

5. Msimu wa pili alisajili tena wachezaji wengine 9 akiondoa akina Zaballeta, Mangala, Kolarov, Dzeko, na wengineo kibao ndipo akachukua EPL kikombe.

6. Kasajili tena wachezaji wa4 baada ya kuchukua kukombe cha EPL.

7. Jana tena kachezea kichapo na hafikagi popote katika UEFA ndiyomaana Bayern Munich ilimtimua sababu lengo la ile timu ni kunyakua kombe la Wanaume "UEFA" wala si vikombe vya ligi kuu ambavyo ameshachukua mfululizo sana hadi kachokwa navyo.

8. Kama anajiamini ni kocha bora asiende katika klabu kubwa zenye pesa za kutosha bali aanzie kufundisha timu ndogo zinazocheza ligi daraja la pill na azipandishe daraja la ligi kuu kisha atwae kombe kama alivyofanya Ranieri akiwa na Leicester City siyo kuzurura zurura tu katika timu ambazo tayari kashazikuta ziko "on fire " kama alivyoikutaga Barcelona ya akina Eto'o na Ronaldinho Gaucho ikiwa tayari imeshakuwa vizuri baada ya kunolewa na Rijkaard.

9. Akiacha ubaguzi wa rangi kama alivyokuwa akiwabagua akina Samwel Eto'o na Yaya Toure nitakuwa wa mwisho duniani kumuamini kuwa ni kocha bora.

10. Ukocha bora hupimwa na mafanikio tokana na mafanikio ya makombe mbali mbali ambayo Kocha kashatwaa akiwa na timu mbali mbali duniani au kuikuza kiuchumi kama Arsene Wenger alivyoikuza Arsenal ndiyomaana yuko namba 4 katika hiyo listi ya Makocha bora duniani kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita hadi sasa hivi.

11. Mourinho tayari kashamchapa Gudiolar mbali sana maana kashajitwalia vikombe vya ligi kuu na vya wafalme kama "FA" mbali mbali zaidi ya14 akiwa Portal FC(Portugal), Chelsea(England), Intermillan(Italy), Real Madrid(Hispania), Chelsea tena(England) na Man U(Engaland) duniani akiongoza kuliko kocha yeyote yule.
Mbali na hayo anafungamana na Gudiolar katika kombe la UEFA kwa kuchukua mara mbili zote japo tena Mourinho CV yake ni bora zaidi sababu katwa katika nchi 2 tofauti sawa na Ancelot aliyetwaa mara 2 akiwa na AC Millan pa1 na Real Madrid huku Gudiolar akitwaa katika nchi 1 pekee(Barcelona - Hispania).

So Gudiolar bado ni mtoto sana kwa Mourinho ingawa sasa hivi anaonekana kapotea lakini tatizo la Man U ni kubwa ma si la Mourinho pekee, ndiyomaana kila Man U ichezapo Mashabiki huonesha bango kwa tajiri wa timu "Edwood Ward" badala ya kumzomea Mourinho kwa akili zako fupi zinavyoona.
I told them so
 
Huu unafki ni wa kiwango cha Leonel Messi
Kilichobaki kwa sasa ni kuhakikisha liverpool hashindi. Unajua Man u hajashinda big match hata moja! Na hii sio kawaida kwa Mou kumaliza raund ya kwanza bila kushinda dhid ya giant team.

Hivyo ni fursa ya pekee kwa Mou kuhàkikisha kwamba hatuangushi..
 
Sawa mkuu tutajitahidi tukupigie hao liver pale anfield
 
Back
Top Bottom