United is Herrera
Herrera is United
Bado naendelea kusema
Pogba ndio tatizo pale United
Nimesema sana humu ndan, Pogba ndio tatizo kwenye tim yetu
Au Paulo ni kirusi kweli?
Kuna wakati huwa nafikiria Pogba akae bench wachez Matic, Fred na Herera
Herrera hawezi kumuweka benchi Pogba, Hererra sijawahi kuwa convinced kuwa ni mbunifu. Ubunifu ni jambo la msingi sana kwa viungo, Pogba anawaweka benchi watu sababu ni mbunifu, anaweza kufunga akipata nafasi, kwa mashuti mazuri sijamuona mchezaji wa Old Traford anaemfikia kitu ambacho majority ya viungo hata wazuri duniani hawana kipawa hiki kwenye kushoot
MASAMILAKwasasa naona Matic ndio wa kukaa bench mkuu.
Nimesema sana humu ndan, Pogba ndio tatizo kwenye tim yetu
Umepita muda mrefu sana tumekosa raha kama hizi. Pass za goli la Lukaku ndiyo inatakiwa siku zote. Mata anachezesha timu vizuri. Thanks to Man Utd boys.
Dalot dogo mreno fundi mnooohuyu dogo wa kireno namba 20 ndio usajili bora wa Mou toka aje Manchester United
Kumbuka next ni LiverpoolSubirini tuone kama hii spirit itaendelea nxt game