Kanuna yaani anaona haiwezekani yeye kukaa benchNimeona kama mshikaji anaona aibu pale jukwaani
Kidudu ntu!View attachment 960671
Dogo diego dalot kapiga cross nyingi sana ila daah mourinho sometimes tunamuonea sanaNimeona kama mshikaji anaona aibu pale jukwaani
Paul Ince comments about Pogba:Kanuna yaani anaona haiwezekani yeye kukaa bench
Herrera ni mchezaji mwenye DNA ya Manchester United sometimes anacheza vibaya lakini spirit yake ya kuipigania timu unaiona
Some player wakiwekwa benchi kesho lazima magazeti yaandike but Mata na Herrera hata wakipigwa benchi huwezi kuwasikia wanalialia kwenye mitandao
Kanuna yaani anaona haiwezekani yeye kukaa bench
Mtazamo wangu. Ujio wa Sanchez, Pogba hakufurahia.Pogba na Sanchez ni aina ya wachezaji wanaojiskia sana,yani wanajiona wakubwa kuliko timu,Sanchez amesumbua sana pale Arsenal. Niliona sehemu Walcott akimsema kuhusu tabia yake ya kujiona
Mwana ana mambo ya kizamani kweliKidudu ntu!View attachment 960671
Chelsea wanaweza kula hata mkonoMajirani wa Mjini kati wapo darajani leo. Kwa jinsi walivyo watoto wa kishua, Watavunja daraja huko.
Mkono upi uo?Chelsea wanaweza kula hata mkono






