Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Arsenal unatakiwa ukubali kwamba nyinyi ni timu ndogo dhid ya Man united..

Man u ikiwa na kiwango bora kabisa unaweza pigwa ata tano..
Umefufuka baada ya kumuotea city?

Manyumbu next week anasokomezwa huko mkian,

Ww jipendekeze kwa manyumbu , unataka wampige liver wakat unajua hawana huo ubavu,

Chelsik ndio timu ndogo, ni timu ya 2004
 
Subiri utaona ujinga wa José kwenye kupanga timu,Fellain atacheza mwanzo mwisho pale na lukaku mzee wa kuokoa mipira.
Kile kikosi mlichopanga dhidi ya Chelsea naona kitafaa kabisa kukata moto wa Liverpool...
N.B kama Lukaku asipocheza mtashinda.
 
Next game man inacheza liverpool na ikiwa watashinda ama kupata sare basi ujue lazima muingie top 4 otherwise msahau.
 
Umefufuka baada ya kumuotea city?

Manyumbu next week anasokomezwa huko mkian,

Ww jipendekeze kwa manyumbu , unataka wampige liver wakat unajua hawana huo ubavu,

Chelsik ndio timu ndogo, ni timu ya 2004
Man city ilikuwa ni uhakika lazima afe...

Chelsea huwa tunafanya vitu visivyo tarajiwa..

Sasa wewe Arsenal una mpango gani msimu huu, maana ulitegemea City akubebe...
 
Listi ya makocha bora kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita hadi sasa hivi wa kwanza ni Anceloti na 2 ni Jose Mourinho "SPECIAL ONE"

Kilaza wako na baguzi la rangi liko nafasi ya 10.

Google ulete mrejesho wako hapa na hicho kilaza chako kilichoikuta Man City ikiwa

1. Ilishawahi kubeba kombe la EPL

2. litoka kushiriki UEFA robo fainali alipotolewa na Real Madrid.

3. Alipewa pesa kwa kufumua kikosi chote kwa kununua wachezaji 11 msimu wa kwanza.

4. Alipoingia choo cha kike kuona kipa aliyemsajili katika wale wachezaji 11 ndani ya Man City akitokea Bayern Munich hafai ilimbidi amuuze tena na kusajili tena kipa mwingine.

5. Msimu wa pili alisajili tena wachezaji wengine 9 akiondoa akina Zaballeta, Mangala, Kolarov, Dzeko, na wengineo kibao ndipo akachukua EPL kikombe.

6. Kasajili tena wachezaji wa4 baada ya kuchukua kukombe cha EPL.

7. Jana tena kachezea kichapo na hafikagi popote katika UEFA ndiyomaana Bayern Munich ilimtimua sababu lengo la ile timu ni kunyakua kombe la Wanaume "UEFA" wala si vikombe vya ligi kuu ambavyo ameshachukua mfululizo sana hadi kachokwa navyo.

8. Kama anajiamini ni kocha bora asiende katika klabu kubwa zenye pesa za kutosha bali aanzie kufundisha timu ndogo zinazocheza ligi daraja la pill na azipandishe daraja la ligi kuu kisha atwae kombe kama alivyofanya Ranieri akiwa na Leicester City siyo kuzurura zurura tu katika timu ambazo tayari kashazikuta ziko "on fire " kama alivyoikutaga Barcelona ya akina Eto'o na Ronaldinho Gaucho ikiwa tayari imeshakuwa vizuri baada ya kunolewa na Rijkaard.

9. Akiacha ubaguzi wa rangi kama alivyokuwa akiwabagua akina Samwel Eto'o na Yaya Toure nitakuwa wa mwisho duniani kumuamini kuwa ni kocha bora.

10. Ukocha bora hupimwa na mafanikio tokana na mafanikio ya makombe mbali mbali ambayo Kocha kashatwaa akiwa na timu mbali mbali duniani au kuikuza kiuchumi kama Arsene Wenger alivyoikuza Arsenal ndiyomaana yuko namba 4 katika hiyo listi ya Makocha bora duniani kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita hadi sasa hivi.

11. Mourinho tayari kashamchapa Gudiolar mbali sana maana kashajitwalia vikombe vya ligi kuu na vya wafalme kama "FA" mbali mbali zaidi ya14 akiwa Portal FC(Portugal), Chelsea(England), Intermillan(Italy), Real Madrid(Hispania), Chelsea tena(England) na Man U(Engaland) duniani akiongoza kuliko kocha yeyote yule.
Mbali na hayo anafungamana na Gudiolar katika kombe la UEFA kwa kuchukua mara mbili zote japo tena Mourinho CV yake ni bora zaidi sababu katwa katika nchi 2 tofauti sawa na Ancelot aliyetwaa mara 2 akiwa na AC Millan pa1 na Real Madrid huku Gudiolar akitwaa katika nchi 1 pekee(Barcelona - Hispania).

So Gudiolar bado ni mtoto sana kwa Mourinho ingawa sasa hivi anaonekana kapotea lakini tatizo la Man U ni kubwa ma si la Mourinho pekee, ndiyomaana kila Man U ichezapo Mashabiki huonesha bango kwa tajiri wa timu "Edwood Ward" badala ya kumzomea Mourinho kwa akili zako fupi zinavyoona.

Point namba nane Mimi ndiyo hoja yangu, japokuwa haina mashiko sana sababu kwenye maisha watu wengi tunapenda urahisi kwa mfano, hata mashekhe na mapadri wanajua huko peponi wanapokuamini kutakuwa na urahisi yaani raha
Yote kwa yote kwangu Mimi Jose ni bora hata kabla ya yeye kuja Man united .
 
I told them so
Yani kuna Watu, vijitu, mawatu, mijitu na viatu duniani.

Jamaa kwa chuki zake alizonazo kwa Mourinho ni 1 kwa 1 yuko katika kundi la mawatu, maana analazimisha nyeupe kuwa nyeusi.

Haha hahaaa...inachekesha kweli kuona kitu zima linvyohangaika kuupindisha ukweli kuonekana ni uwongo.
 
Man city ilikuwa ni uhakika lazima afe...

Chelsea huwa tunafanya vitu visivyo tarajiwa..

Sasa wewe Arsenal una mpango gani msimu huu, maana ulitegemea City akubebe...
Simtegemei city,

Ww utadakwa tu, siomumeona hata wolves alichokufanya,

Mm mashukuru umempiga city, kuendelea kulinda unbeaten ya EPL ya Arsenal

Liver sina shaka naye atagongwa tu ,

Wewe subir utakuja emirates, kuna watoto hapa kat watakuvuta shat, ww sina hofu kabisa na ww,

Huyo nyumbu unayemuombea amfunge liver unapoteza muda,

Manyumbu hawana uwezo huo hasa pale Anfiled,

Mou anaenda kupaki bas, atakula za kutosha ,kama huamin tubeti

Mou alishazoea anapaki bas anavizia, safar hii liver wana beki ,

Atapigwa kipigo cha mbwa koko
 
Huyo dogo huwa sisi tunampuuza hamna anaejishughulisha nae hapa
Huna akili na hujui mpira nilishakwambia

Leo unasifia kesho unaponda ,hueleweki unasimamia nn

Umempiga fulham bas tayar ushaona una timu ya kumpiga liver

Ww mwaka huu nafas yako ni ya 10
 
Wakuu nawakaribisheni ANFIELD weekend

Game itanoga sanaa hii
Kila timu inahofu



Hakika nyinyi ndio mnaideserve katka EPL kutusumbua maana ni giant club
 
Back
Top Bottom