nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 6,479
- 11,169
hongereni wakuu.
Juzi kuna mtu alikuwa analalamika kwa nini Valencia kawekwa benchi amechezeshwa huyo dogoHuyu bwana mdogo Dolot anapiga mitungi ya hela
Haya nipe matokeo sasa ngapi ngap???hongereni wakuu.
4-1Haya nipe matokeo sasa ngapi ngap???
Herrera ni mchezaji mwenye DNA ya Manchester United sometimes anacheza vibaya lakini spirit yake ya kuipigania timu unaiona
Pogba ana mambo mengi sana ya kujifunza toka kwa Herrera.
Safi sana
Hao jamaa huwa wapo humble sanaHerrera ni mchezaji mwenye DNA ya Manchester United sometimes anacheza vibaya lakini spirit yake ya kuipigania timu unaiona
Some player wakiwekwa benchi kesho lazima magazeti yaandike but Mata na Herrera hata wakipigwa benchi huwezi kuwasikia wanalialia kwenye mitandao
Yule babu apumzike tu hata kunyumbulika hawezi kifupi ile ni Hardware hamna kitu mule, Dalot is the right manJuzi kuna mtu alikuwa analalamika kwa nini Valencia kawekwa benchi amechezeshwa huyo dogo
Kiukweli pia media zinatuaribia timu yetu sana, media Zina hujuma za wazi wazi kabisaHerrera ni mchezaji mwenye DNA ya Manchester United sometimes anacheza vibaya lakini spirit yake ya kuipigania timu unaiona
Some player wakiwekwa benchi kesho lazima magazeti yaandike but Mata na Herrera hata wakipigwa benchi huwezi kuwasikia wanalialia kwenye mitandao
kwani paul scholes na rio ferdinand wanasemaje kuhusiana na ander herrera?Herrera ni mchezaji mwenye DNA ya Manchester United sometimes anacheza vibaya lakini spirit yake ya kuipigania timu unaiona
Some player wakiwekwa benchi kesho lazima magazeti yaandike but Mata na Herrera hata wakipigwa benchi huwezi kuwasikia wanalialia kwenye mitandao
Sure. Huwa wananikera japokuwa hiyo ni kwa sababu ya ukubwa wa brand ya United.Kiukweli pia media zinatuaribia timu yetu sana, media Zina hujuma za wazi wazi kabisa
Hayo ndiyo matatizo ya MouUtashangaa zaidi mechi ijayo Mata anasugua bench au hayupo kabisa kwenye kikosi.
Maajabu ya José.
Software ni muhimu sana kwenye Timu, nafikiri hata kwenye maisha piahkwani paul scholes na rio ferdinand wanasemaje kuhusiana na ander herrera?
mkuu hivi yard 40 ni umbali mkubwa sana?
nimesikia stori eti andres iniesta pia hafikishi yard 40 pasi zake.
mechi ya southampton na arsenal tulimuhitaji juan mata kuliko ................
ulishawahi kumuona guardiola akimweka nje bila ya sababu ya msingi david silva?
teh teh teh teh
POGBA AONDOKE TU
Kidudu ntu!POGBA AONDOKE TU