Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu dogo sio kumwacha
FB_IMG_1544081696522.jpeg
 
Martial na rashford kuna kitu wanaanza kukionesha ukomavu umeanza
 
Kweli wewe huna akili kabisa bichwa box hivi Unai huu ndo msimu wa Kwanza na impact yake inaonekana wewe unaongea nini?ilikuwa ngumu sana kwa mrithi wa Wenger kupatikana hasa wa kuja na results kama hizi hakuna aliyetegemea kama Arsenal itakuwa namna hii kabisa tena Mechi 20 hajafungwa na kikubwa zaidi kacheza na Magiant jpili na jtano na ameondoka na points 4 Kati ya 6 Si kitu cha masihara kabisa tena kocha mpya kabisa ambaye hajui chochote kuhusu EPL
Atakijua tu, hata Conte alikuja hivihivi.
 
Kwanza mkuu kusema alikuwa uwanjani kwa hiyo ana upper hand kwenye hoja zake ni kutoelewa mambo. Nadhani anayeangalia TV anaona angle zote na ufasaha zaidi kuliko huyo aliyepo uwanjani. Ni rahisi hata kupitwa na matukio mengine lakini si sisi tunaoangalia TV.

Mwanzo ulisema united hakutengeneza nafasi, sasa hivi umekuja na hoja ya hawakutengeneza nafasi wazi. Unajikanganya mkuu. Hoja yangu inasimama, United walitengeneza nafasi.

Swali la kizushi, hivi arsenal walitengeneza clear chances kwenye mechi ya jana? maana hata magoli yenyewe yalipatikana kutokana na makosa ya wachezaji wa United na si umahiri wa wachezaji wa arsenal.

Je Martial hakuwa threat going foward? Vipi kuhusu Rashford?

Man Utd kwa hali aliyokuwa nayo (majeruhi na form na kikosi walichokipanga na matazamio mliokuwa nayo arsenal) is a big failure for u Arsenal
hayo ni maneno ya kujifariji tu majeruhi gani uliyokuwa naayo wewe?kuna timu ambayo haina majeruhi?huo ni utetezi dhaifu sana tukisema arsenal nao imewakosa xhakaboom na ozil pale kati na kos na nacho katika backline!!!!

alafu suala lingine mpirani mchezo wa makosa unapokosea mwenzio anatumia makosa yako anapata matokeo sasa unataka kusema magoli ya manure yamepatikana kwa ubora wa fowardline yenu na sio uzembe wa mabeki wa arsenal hahahahahah ukiamua kuongelea mpira kwa haki basi punguza unaziunazi
 
Conte msimu wa kwanza kachukua epl timu aliikuta ya 8 point yako ni ipi?
Ungemuuliza tu msimu wa kwanza Unai aliifikisha wapi PSG na msimu wa pili akiwa na Neymar (£199mill player) na Mbape (Best Upcoming player in the world) katika mashindano ya UCL.

Hapo ndio tutajua kama msimu wa pili pale Arsenal pia atafanya vizuri zaidi
 
Hahahahha mkuu sikutaka kwenda huko mwache tu mtu mwenyewe ni wale wenye mihemko ya matusi hata nlipokuwa namjibu kimtindo tu
 
hayo ni maneno ya kujifariji tu majeruhi gani uliyokuwa naayo wewe?kuna timu ambayo haina majeruhi?huo ni utetezi dhaifu sana tukisema arsenal nao imewakosa xhakaboom na ozil pale kati na kos na nacho katika backline!!!!

alafu suala lingine mpirani mchezo wa makosa unapokosea mwenzio anatumia makosa yako anapata matokeo sasa unataka kusema magoli ya manure yamepatikana kwa ubora wa fowardline yenu na sio uzembe wa mabeki wa arsenal hahahahahah ukiamua kuongelea mpira kwa haki basi punguza unaziunazi
Unataka orodha ya majeruhi Utd

Lindelof
Shaw
Young (mechi 5 kadi za njano)
Smalling (Played in difficult conditions)
Sanchez
Jones

Halafu majeruhi ya United yameiathiri zaidi United sababu wachezaji wote ni wa nafasi za ulinzi kwa hiyo timu imekuwa na options chache kwenye team selection

Sawa compare athari ya majeruhi wa United na Arsenal
 
Kwanza mkuu kusema alikuwa uwanjani kwa hiyo ana upper hand kwenye hoja zake ni kutoelewa mambo. Nadhani anayeangalia TV anaona angle zote na ufasaha zaidi kuliko huyo aliyepo uwanjani. Ni rahisi hata kupitwa na matukio mengine lakini si sisi tunaoangalia TV.

Mwanzo ulisema united hakutengeneza nafasi, sasa hivi umekuja na hoja ya hawakutengeneza nafasi wazi. Unajikanganya mkuu. Hoja yangu inasimama, United walitengeneza nafasi.

Swali la kizushi, hivi arsenal walitengeneza clear chances kwenye mechi ya jana? maana hata magoli yenyewe yalipatikana kutokana na makosa ya wachezaji wa United na si umahiri wa wachezaji wa arsenal.

Je Martial hakuwa threat going foward? Vipi kuhusu Rashford?

Man Utd kwa hali aliyokuwa nayo (majeruhi na form na kikosi walichokipanga na matazamio mliokuwa nayo arsenal) is a big failure for u Arsenal

Yeah nakubaliana na hoja yako last paragraph, draw ya Jana ni big failure kwetu kulingana na kiwango tulichonacho kulingana na United.Sababu hatupo level moja kwa sasa.

Nimesema second half hamkutengeneza any Clear chance...Kama ipo sema dakika ya ngapi nicheki replay..Yes we outplayed you kwenye kiungo..Hamkuwa na ubunifu wowote katikati.We were lucky not to score 3 goal.

Mimi nimekupa comment za pundit ku-support hoja zangu likely na wewe ungeleta za mwingine aliyeangalia mpira kusupport zak😵therwise unaongea kishabiki zaidi.Pia hao pundits wamecheza mpira na wanalipwa kuongea so maoni yao yana uzito.

Martial/Rashford walikosa clear chances zp Mkuu? kama jana unaona mlicheza vizuri basi level ya United chini ya Mourihno inakatisha tamaa. Inaonekana umeridhika na kiwango mlichoonyesha Jana.
You know your status that you're not top club in EPL anymore, so you just settled for less.

Draw was fair result to United.
 
Matokeo ya jana ni big failure kwa arsenal kwa sababu nilizotoa awali. Nimesema current form ya United hairidhishi, hali ya majeruhi ya United na current form ya arsenal ambayo ni nzuri kwa sasa

Usibadili hoja yangu kumaanisha kuwa ninapoongelea form ya united, kwamba ninamaanisha kwa msimu huu mzima au miaka hii miwili. Current fomu inaweza kuwa kwa mechi 3,5,10 za hivi karibuni. Kwa hiyo fomu inaweza kubadilika muda wowote

Ingekuwa ninaongelea fomu za mwaka uliopita au miwili iliyopita, Arsenal amenyanyasika sana kwa United.

Kwa hiyo Man Utd haijawahi kushusha kipimo chake cha mafanikio kama unavyotamani iwe. Man Utd amezoea kuchukua Club World Cup, UCL, EPL n.k na hiyo ndio standard yake, that is where it belong regardless of the recent obstacles.
 
Goli zote nne wameshinda united
Aseno walikua wanazurura tu
 
Back
Top Bottom