Matokeo ya jana ni big failure kwa arsenal kwa sababu nilizotoa awali. Nimesema current form ya United hairidhishi, hali ya majeruhi ya United na current form ya arsenal ambayo ni nzuri kwa sasa
Usibadili hoja yangu kumaanisha kuwa ninapoongelea form ya united, kwamba ninamaanisha kwa msimu huu mzima au miaka hii miwili. Current fomu inaweza kuwa kwa mechi 3,5,10 za hivi karibuni. Kwa hiyo fomu inaweza kubadilika muda wowote
Ingekuwa ninaongelea fomu za mwaka uliopita au miwili iliyopita, Arsenal amenyanyasika sana kwa United.
Kwa hiyo Man Utd haijawahi kushusha kipimo chake cha mafanikio kama unavyotamani iwe. Man Utd amezoea kuchukua Club World Cup, UCL, EPL n.k na hiyo ndio standard yake, that is where it belong regardless of the recent obstacles.
Tayari umehama muktadha wa majadiliano toka mechi ya jana umeingia kwenye Past groly ya United...Watu hawaishi Past Mkuu tunaishi leo...Unaongelea habari za Majeruhi kama Sababu? Hoja Zako dhaifu sana..
Arsenal Pia tuliwakosa, Koschiely,Ozil,Xhaka,Wellbeck,
Monreal,Cech,Mavoparos.
Upo kwenye Denial Mkuu sishangai still unaamini upo level za Top clubs this season...Last interview Mourinho aliulizwa kama atamaliza juu ya Everton..huko ndipo level zenu zilipo sasa.Mnapimwa na Everton now days not likes of Arsenal,Liver,Chelsea..
Huu ni mwaka wa 6 huna EPL ni mwaka wa 11 huna CL Halafu eti umezoea kuchukua..Inawezekana umeona Mara moja tu United akichukua CL..

