mwisho wa msimu mtashirikiana na manure wenzio kuibeba namba 7Matokeo ya jana ni big failure kwa arsenal kwa sababu nilizotoa awali. Nimesema current form ya United hairidhishi, hali ya majeruhi ya United na current form ya arsenal ambayo ni nzuri kwa sasa
Usibadili hoja yangu kumaanisha kuwa ninapoongelea form ya united, kwamba ninamaanisha kwa msimu huu mzima au miaka hii miwili. Current fomu inaweza kuwa kwa mechi 3,5,10 za hivi karibuni. Kwa hiyo fomu inaweza kubadilika muda wowote
Ingekuwa ninaongelea fomu za mwaka uliopita au miwili iliyopita, Arsenal amenyanyasika sana kwa United.
Kwa hiyo Man Utd haijawahi kushusha kipimo chake cha mafanikio kama unavyotamani iwe. Man Utd amezoea kuchukua Club World Cup, UCL, EPL n.k na hiyo ndio standard yake, that is where it belong regardless of the recent obstacles.
Tangu aondoke Ferguson wapenzi wa Manure kila Fan wa timu hiyo anajifanya mchumbuzi wa soka. The bottom line is that the team does not perform well at least for now. Zingine zote mbwembwe tu.mwisho wa msimu mtashirikiana na manure wenzio kuibeba namba 7
Nimeongelea historia kama kukupa mfano wa kukuelekeza ninapoongelea current form ninamaanisha nini. Anyway, pia kuongelea historia ya mafanikio ni jambo la kawaida, je unaweza kuikataa hadhi ya Juventus, AC Milan, Inter Milan sababu kwa sasa hawafanyi vizuri sana (kwenye UCL na domestic competition)? Jibu ni NOPE.
Mkuu hata jana ni past, lakini leo upo bize kuongelea yaliyotokea jana... Huwezi kutenganisha mpira na past/historia, wake up broo. LAKINI SITASHANGAA WEWE KUKATAA KUZUNGUMZIA HISTORIA YA MAFANIKIO SABABU, YOU HAVE NONE, I repeat Arsena8 have no history to be proud of, that is why u are hiding on the present which is not even great for u. SASA UTAONGELEA NINI IF YOU DONT HAVE IMPORTANT HISTORY?
Man Utd amechukua kombe la UCL miaka 10 iliyopita aonekana amepata mafanikio zamani, kwamba ni wa level za chini, hiyo hoja nyepesi imenifanya niwaze je Bayern mara ya mwisho kuchukua hilo kombe ni lini, vipi yeye ni timu kubwa? Vipi kuhusu Juve? Wait a minute, Arsenal8 mara mwisho kuchukua ilikuwa lini? On their dream may be.
Hoja ya majeruhi imejikita kwenye idadi ya majeruhi lakini wanaocheza katika nafasi hiyo hiyo moja. Unazuga hujaelewa ila ulielewa, anyway ngoja nikueleweshe. United walikuwa na feet defenders 3, yaani Rojo (ambaye hii jana ilikuwa ni match yake ya kwanza kwa msimu huu), Mateo Darmian na Dalot, wote hawa ni second choices may be third choices kwa United. Mabeki wote waliobaki walikuwa majeruhi na wale waliocheza kama, Smalling, Bailly na Valencia (aliyekuwa benchi) walijitolea kucheza through pain, sijui kama unanielewa hapa.
Kusema Arsenal ni level za Liver, Man City, Chelsea na kwamba ipo mbele ya Man Utd is funny, ucheshi ambao kwa miaka mingi Arsenal wamekuwa wakijichekesha. Ki ukweli Arsenal ni timu ambayo nimekuwa nikiionea huruma miaka nenda rudi, can u sympathise with a rival, no we only sympathize with little ones,week ones,poor ones,victim ones..... And that's who you are brother.
Mimi nimeona mara 2 United akichukua UCL, na hata ingekuwa mara 1 sio mbaya. Can you remind me the last time you saw Arsenal winning it? I bet it was in your dream. I feel for u mkuu, I real do.
Arsena8 utashirikiana na wenzio kusindikiza top 4mwisho wa msimu mtashirikiana na manure wenzio kuibeba namba 7
Inaonekana wewe ni mgumu sana kuelewa, kutokuelewa kwako kuhusu neno current form ndio kulisababisha nikupe mifano ya mafanikio ya kihistoria ambayo nayo huwezi kuyadharau kwenye soka, mfano United haijafanya vizuri sana kwenye post SAF era but its brand is still top than even City, Chelsea na timu nyingine kubwa (sorry sijaitaja Asrsena8 coz haipo kwenye hiyo category) kwa sababu ya history, kwa sababu ya past.Naona unatengeneza hoja kama za kocha wenu Mourihno...Kuongelea una EPL Titles tatu kujibu swali la kwanini Timu inacheza hovyo..unaulizwa swali hili unajibu Past groly...
Hakuna history kwenye soka Bob kuna performance kila siku..now timu bora duniani ni Belgium sio France yenye world cup title..
Msome Sarri hapa;
Sarri: "City are in another category. They're not in our category. We've to play and to fight to be in the top four I think.
Anakubali City sio level ya Chelsea..Mimi ni nani nisiyejua mpira nipinge?
Sijaona akisema City haina CL Title.
Natengeneza hoja kama za kocha wangu? wewe je, unatengeneza hoja kama za Sarri au Savage mkuu?Naona unatengeneza hoja kama za kocha wenu Mourihno...Kuongelea una EPL Titles tatu kujibu swali la kwanini Timu inacheza hovyo..unaulizwa swali hili unajibu Past groly...
Hakuna history kwenye soka Bob kuna performance kila siku..now timu bora duniani ni Belgium sio France yenye world cup title..
Msome Sarri hapa;
Sarri: "City are in another category. They're not in our category. We've to play and to fight to be in the top four I think.
Anakubali City sio level ya Chelsea..Mimi ni nani nisiyejua mpira nipinge?
Sijaona akisema City haina CL Title.
Lukaku nae yumoHarry Kane has been ranked as the world's best striker in this year's @espnfc 100.View attachment 958633


kumbe tuna mtu paleSisi shida na kiungo wa kuunganisha timu kazi ambayo pogba kashindwa mbona belgium linatupia?Lukaku nae yumokumbe tuna mtu pale
Lukaku ndani..aiseeHarry Kane has been ranked as the world's best striker in this year's @espnfc 100.View attachment 958633
Kuna mahali naona tunafeli hasa upande wa viungoLukaku ndani..aisee
Swali la kujiuliza, mbona National team anafanya vyema?Lukaku ndani..aisee
aiseeeeeHarry Kane has been ranked as the world's best striker in this year's @espnfc 100.View attachment 958633
Mafanikio sawaJose Mourinho vs Pep Guardiola tangu August 2016:
:
Usajili wa wachezaji:
Mourinho - 11
Guardiola - 22
:
Makombe waliyoshinda:
Mourinho - 3
Guardiola - 3
:
Fedha walizotumia:
Mourinho - £302m
Guardiola - £599m