Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ila Chelsea na Man cty walipoanza kutumia pesa tuliamza Ku struggle
Kwanini tulistruggle hapa? tulishindwa kushindana nao kifedha kwenye soko ama? MUFC ilikuwa tayari ni well branded FC, yaani ni dream ya kila mchezaji kusema kuwa anataka kuichezea kama sio MUFC ni Madrid, imekuaje tena tukose wachezaji na kuwaona wanakwenda Man city ama Chelsea, ni kipi ambacho kimeikumba MUFC mpaka kwenye usajili ikawa inatumia hela kidogo kuliko wenzake? Kama Glazer wangekuwa wanampa hela Fergie kama vile Citeh na Chelsea walivokuwa wanapewa, amini mungu, Ligi ya uingereza ingebakia MUFC tu.
 
Huoni kama alikuwa na consistency ndani ya Ligi pekee na Kwenye michuano ya nje Mara nyingi tulikuwa underdogs?
Mimi nadhani ni sahihi kusema yeye ni kocha bora wa muda wote Kwenye EPL ila sio duniani.,(mawazo yangu)
MUFC walikuwa underdogs kwenye UCL????!! uko serious kabisa? Hivi unawajua lakini ma Giants kwenye UCL?
 
Kwanini tulistruggle hapa? tulishindwa kushindana nao kifedha kwenye soko ama? MUFC ilikuwa tayari ni well branded FC, yaani ni dream ya kila mchezaji kusema kuwa anataka kuichezea kama sio MUFC ni Madrid, imekuaje tena tukose wachezaji na kuwaona wanakwenda Man city ama Chelsea, ni kipi ambacho kimeikumba MUFC mpaka kwenye usajili ikawa inatumia hela kidogo kuliko wenzake? Kama Glazer wangekuwa wanampa hela Fergie kama vile Citeh na Chelsea walivokuwa wanapewa, amini mungu, Ligi ya uingereza ingebakia MUFC tu.
Point ila soko liliharibiwa sana na psg na man city chelsea hawakuwa wakitoa mpunga sana watafuta vipaji wao wa chelsea walikuwa vizur sana

Usajili wa robinho na lucas moura ulianza kutungisha soko.
 
Point ila soko liliharibiwa sana na psg na man city chelsea hawakuwa wakitoa mpunga sana watafuta vipaji wao wa chelsea walikuwa vizur sana

Usajili wa robinho na lucas moura ulianza kutungisha soko.
Oil Money imeharibu mpira sana.... kwanza hizi timu 2 kiukweli zina run kwenye deficit tu, ila wanarekebisha hio deficit kwa kucheza mchezo mchafu, na siri zimevuja. Mpira umeharibika kwa kweli siku izi.
 
Semi Finalists Records za Makocha katika UCL

1. SAF (Manchester Utd) ana mara 7

2. Mourinho (Porto, Chelsea, Inter, Madrid) ana mara 7

3. Van Gaal - LVG ( Ajax, Barca, Bayern) ana mara 5

4. Marcelo Lipi (Juventus) ana mara 5

5. Miguel Munoz (Madrid) ana mara 5

Mkuu Johnmweusi bado una swali
Tukiangalia Kwa kulinganisha na makocha wengine directly ni kweli kuna vitu atawazidi.

Makocha wote anao shindanishwa nao hapa utaona either wali hama hama timu au timu walizo kuwepo (kama Lippi) hawakukaa muda mrefu au kuna vipindi walikuwa hawana timu

Ila tukiangalia Kwenye angle ambayo Mimi niliiweka Kwenye swali la kwanza kwamba nusu fainali 7 Kwenye msimu 26 akiwa timu Moja(hii ndio point yangu kubwa na naona ilibidi tuwe na hiyo advantage) maana yake kuna misimu 19 hatukufika nusu fainali acha kuchukua kombe au kufika fainali. Na katika hizo nusu fainali 7 tuna fainali 4.(ambayo hiyo ndio Mimi naweza kuiita mafanikio).

Kwa tafsiri yangu naona tulitisha UEFA kwa misimu minne ndani ya miaka 27 ya Ferguson.
 
Tofauti na makocha wengine. Historia ya Fergie na Man utd ni ngumu kuvitenganisha. Au labda niiweke hivi. Man utd ya Ferguson ilikuwa inapata shida pale inapo kutana na wakubwa wenzie Kwenye Uefa.
Kwanza sijakuelewa unaizungumzia Manchester United au SAF ?
Na pia unapomfanyia kocha/klabu assesment lazima uwe na reference point ya kumlinganisha nao (mention walichoshinda kwa kipindi hicho) then linganisha.
 
Tofauti na makocha wengine. Historia ya Fergie na Man utd ni ngumu kuvitenganisha. Au labda niiweke hivi. Man utd ya Ferguson ilikuwa inapata shida pale inapo kutana na wakubwa wenzie Kwenye Uefa.
Why unashindwa kutoa reference point (hao makocha wengine ni wakina nani/hao wakubwa wengine ungewataja labda tungeelewana ) ?

Real Madrid ndio giants kwenye champions league lakini kipindi cha SAF wamechukua ubingwa mara mbili tu sawa na Manchester United chini ya SAF,Liverpool walichukua ubingwa mara moja.Na alifungwa fainali mbili na Barcelona (possible thegreatest team of all time)

Champions league inashirikisha zaidi ya timu 32 lakini bingwa ni timu moja tu ,hii haimaniishi kwamba hizo timu nyingine zilizoshiriki ni mbovu
 
According to Sky Sports and CalcioMercato, Man United and Real Madrid could swap goalkeepers. De Gea will go to Real Madrid with Courtois coming to Man United. De Gea will be a free agent in summer and he still hasn't signed a new deal.
 
Mkuu labda nirudi Kwenye swali langu la kwanza kabisa halafu twendelee mbele. Niliuliza hivi, Ferguson kukaa miaka 27 na kutupatia UEFA 2 je ni mafanikio? Nilikuwa nahusianisha muda alio kaaa vs mataji na sio vs makocha wengine. Au niseme Manchester ya Fergie vs timu nyingine. Nadhani utakubaliana na Mimi Kuwa kati ya vitu vilivyo saidia Fergie kubeba EPL nyingi ni pamoja na kudumu muda mrefu kwenye timu moja(uzoefu).

Kiini cha swali langu ni kwamba, kwanini hakuweza Ku replicate alicho kifanya Kwenye EPL akakifanya Kwenye UEFA? (Sidhani kama EPL ilikuwa rahisi).

Na hapo Kwenye Madrid kuchukua ndoo mbili sawa na sisi ni kweli. Tofauti yetu na wao sisi ndio kipindi ambacho tunahesabia tulikuwa Kwenye peak wakati wenzetu ndio kipindi wanacho hesabu walikuwa wameyumba.

Note: sisemi Fergie alikuwa kocha mbovu au alikuwa mzuri. wala sisemi kulikuwa na makocha wanao mzidi(wanaweza wakawepo au wasiwepo).

Namaanisha Kwa muda alio kaa man utd kulikuwa na uwezekano wa kufanya makubwa Kwenye UEFA kuliko alicho kifanya ila nadhani either tuli ridhika na mafanikio ya EPL pekee tulajisahau uef auu EPL ndio ilikuwa kipao mbele kabla ya UEFA.
 
United wame-activate one year extension kwenye mkataba wa De Gea na mazungumzo ya kuongeza mkataba yanaendelea (De Gea will not be free agent next summer)
 
MUFC walikuwa underdogs kwenye UCL????!! uko serious kabisa? Hivi unawajua lakini ma Giants kwenye UCL?
Mkuu Kwa sample ya Matokeo haya, tutasema hatukuwa underdogs mbele ya wakubwa wenzetu?
02/03 Madrid alitutoa
03/04 katuoa Porto
4/5 katutoa Ac Milan
5/6 tumetoka Makundi
6/7 tulifika nusu tukatolewa na Ac milan
7/8 mabingwa.
8/9 tulifika fainali ila njiani tulikutana na kina arsenal na porto,
9/10 tumetoa Ac Milan iliyo choka tumetolewa na Beyern
10/11 Tumetoa Chelsea,schalke tumepigwa Na barca
11/12 Makundi.

Timu kubwa nzuri tuliyo wahi itoa Kwenye muda huo ni BARCA tu. (Kama kuna nyingine nikubmbushe)
 
Mkuu labda nirudi Kwenye swali langu la kwanza kabisa halafu twendelee mbele. Niliuliza hivi, Ferguson kukaa miaka 27 na kutupatia UEFA 2 je ni mafanikio? Nilikuwa nahusianisha muda alio kaaa vs mataji na sio vs makocha wengine. Au niseme Manchester ya Fergie vs timu nyingine. Nadhani utakubaliana na Mimi Kuwa kati ya vitu vilivyo saidia Fergie kubeba EPL nyingi ni pamoja na kudumu muda mrefu kwenye timu moja(uzoefu).

Kiini cha swali langu ni kwamba, kwanini hakuweza Ku replicate alicho kifanya Kwenye EPL akakifanya Kwenye UEFA? (Sidhani kama EPL ilikuwa rahisi).

Na hapo Kwenye Madrid kuchukua ndoo mbili sawa na sisi ni kweli. Tofauti yetu na wao sisi ndio kipindi ambacho tunahesabia tulikuwa Kwenye peak wakati wenzetu ndio kipindi wanacho hesabu walikuwa wameyumba.

Note: sisemi Fergie alikuwa kocha mbovu au alikuwa mzuri. wala sisemi kulikuwa na makocha wanao mzidi(wanaweza wakawepo au wasiwepo).

Namaanisha Kwa muda alio kaa man utd kulikuwa na uwezekano wa kufanya makubwa Kwenye UEFA kuliko alicho kifanya ila nadhani either tuli ridhika na mafanikio ya EPL pekee tulajisahau uef auu EPL ndio ilikuwa kipao mbele kabla ya UEFA.

Do you know kuwa wakati SAF anaichukua timu kuna kipindi ilitaka kushuka daraja ?
Aliikuta mid table team na ilimchukua almost miaka 6 kuchukua ubingwa wake wa kwanza,aliifanya kazi kubwa na kuipeleka daraja lingine kabisa

Post zilizopita nimekwambia domestic competition ni tofauti kabisa na Champions league inafikia wakati lazima uweke priority kwenye sehemu moja otherwise utakosa vyote na ili ucheze champions league lazima ufanya vizuri kwenye domestic league
Ndio maana ni makocha/timu chache zilizoweza kupata mafanikio kwenye michuano yote kwa wakati mmoja .Real Madrid licha kuchukua ubingwa wa champions league mara 4 ndani ya miaka 10 iliyopita but wamechukua La Liga mara 2 tu while Barca wamechukua mara 8 La Liga na 3 UCL then angalia Juventus wanavyochukua ubingwa wao lakini wanastruggle ulaya
 
Mbona naona kama tunaongea kauli moja yenye maneno tofauti?
Sikatai tumefanya vizuri EPL na hata UEFA hatujafanya vibaya ila pia hatujafanya vizuri to the maximum. Kweli Babu alikuwa miongoni mwa makocha bora. Ila legacy yake ipo Kwenye ligi kuliko UEFA. Alicho kifanya Kwenye ligi hakuna Aliye wahi kukifanya mpaka saizi. Ila Kwenye UEFA amefanya kitu ambacho either yupo sawa au amezidiwa na makocha wengine.

Ndio maana kuna post nilisema nakubali Kuwa yeye alikuwa kocha bora Kwenye EPL ila Kwenye UEFA alikuwa sio kocha Mwenye mafanikio ya kutisha.

Ndio maana nilikwambia utaje hao makocha wanaotisha lakini hujawataja.

Then wewe unaona kufundisha timu moja kwa muda mrefu ni advantage jiulize kwa nini makocha siku hizi hata wakipata mafanikio kwenye timu mmoja wanakimbia baada ya muda mfupi?
 
nilivyomuelewa muheshimiwa john mweusi
naamini sote tunakubaliana ya kwamba kwenye miaka 26 ya utawala wa sir alex ferguson ni miaka 21 ndio ilikuwa ni miaka yake ya mafanikio makubwa ndani ya klabu ya manchester united ndani ya uwanja na nje ya uwanja (mafanikio ya kibiashara).
muheshimiwa johnmweusi hoja zake ni hizi hapa kwa nilivyomfahamu mimi kiupande wangu kwa kutumia GPA ya 50 ya chuo kikuu cha romelu lukaku

ndani ya miaka 21 ya mafanikio yake sir alex ferguson alifanikiwa kubeba makombe 13 ya ligi kuu ya uingereza na ndani ya miaka 21 ya michuano ya ligi ya mabingwa alifanikiwa kubeba makombe 2.
  • kwa takwimu hizo je inastahili kwa sir alex ferguson kupewa heshima ya kocha bora wa bara la ulaya kwa muda wote?
  • au anapaswa tu kupewa heshima ya kocha bora wa nchi zinazounga United Kingdom kwa muda wote
  • je kwa takwimu hizi za ligi ya mabingwa bwana john mweusi anauliza inawezekana timu yetu ilikuwa dhaifu sana pindi inapokutana na wababe wengineo wa ulaya ndio maana tuliishia kubeba makombe 2 kwa miaka 20?
  • je inawezekana ni media za kiingereza ndio zinatujaza pumzi na ujinga kwa kutuaminisha ya kwamba fergie alikuwa ni genius na hatatokea kama yeye barani ulaya (naamini ndivyo anavyowaza john mweusi jamani sio mimi)
hahahahahahahahhaaaaa hii vita ya hoja ilioanza tokea jana humu ndani inaweza kutuletea ugomvi wa ndugu ila acha kwanza nimtetee johnmweusi halafu baadae nitaangalia upepo unavyovuma, baadae nitajigeuza kinyonga nimrushie mvua ya mapovu brother john mweusi
Great Thinker anayeitwa Mc cane ameweka takwimu zinazoonyesha makocha waliofika nusu fainali mara nyingi kwenye michuano ya ligi ya mabingwa ambapo sir alex ferguson ndani ya miaka 20 amefika nusu fainali mara 7.
  1. 1997: United lose 2-0 to Borussia Dortmund on aggregate : inamaana hapa ilimchukua ferguson miaka 5 kufuzu nusu final ya ligi ya mabingwa na wakati huo huo kama sijakosea alishabeba makombe 4 ya ligi ya uingereza kutoka 1992.
  2. 1999: United beat Juventus 4-3 on aggregate : ina maana tulikaa miaka 2 ndio tukafuzu nusu final na kufanikiwa kubeba ubingwa. kwa hesabu za kitoto ilimchukua miaka 7 sir alex ferguson kubeba ubingwa wake wa kwanza wa ulaya.2002:
  3. United lose to Bayer Leverkusen on away goals (3-3 on aggregate) : baada ya kubeba ubingwa tulikaa miaka 4 ndio tukafuzu nusu final, wakati huo huo kama nipo sahihi sir alex alikuwa anashinda ubingwa wake wa 8 nchini uingereza. Ina maana ndani ya miaka 11 fergie ameshashinda makombe 8 ya uingereza na kombe 1 la ulaya. bayern leverkusern anafungwa fainali na real madrid kwa bao la fundi zidane, aigoooo ina maana balaa la zidane na galaticos wenziwe lilipaswa litukute sisi.
  4. 2007: United lose 5-3 to AC Milan on aggregate: hapa tulikaa miaka 5 ndio tukafika nusu fainal, na alifikisha ubingwa wake wa 9 wa uingereza kwa miaka 15.
  5. 2008: United beat Barcelona 1-0 on aggregate.= tukawafunga chelsea fainali
  6. 2009: United beat Arsenal 4-1 on aggregate = tukafungwa na barcelona fainali
  7. 2011: united beat schalke 6-1 on agregate. = tukafungwa na barcelona fainali
kwa wastani kwa kila baada ya miaka 10 sir alex ferguson ndio alibeba ubingwa wa UEFA.(1998 na 2008)
10 + 10 + 6 = 26 years akiwa madarakani.​
kuna nukuu moja niliwahi kuisikia kupitia radio kifua cha mtu (stori za kibanda cha kahawa na siasa) inadai ya kwamba shujaa wa ukweli ni yule anayerudi vitani akiwa hai haijalishi hata kama hajamtoa uhai adui yeyote na si yule anayetoa uhai mamia ya maadui na baadae akafariki vitani.
kwa kuwa nimeamua kumtetea johnmweusi muda huu basi kwa takwimu hizi za nusu fainali tu kwa maoni yangu bwana john hoja yake ni ya msingi ya kwamba timu yetu baadhi ya vipindi ilikuwa inazidiwa na wababe wengine wa ulaya hivyo basi ni sahihi kumpa heshima ferguson ya ukocha bora wa uingereza na si ukocha bora wa ulaya nzima kwa mawazo yake lakini (najitoa kwenye timu yake).

kumsifia mtu aliyefika nusu final mara saba na kubeba makombe 2 kwa miaka 20 ni sawa sawa na kumsifia mwanajeshi aliyeua wapinzani wake trillion 1.5 halafu akauliwa na jeshi mzembe anayeitwa CAG wa nchini Auditing.

anavyoamini john mweusi ni kwamba ingelikuwa sahihi kwa sir alex kupewa heshima kubwa kama angelitupa angalau makombe 5-7 ya ligi ya mabingwa kwa miaka 20 na si makombe 2 kwa miaka 20.

kwa umri wangu sikubahatika kuiona manchester united mwishoni mwa karne ya 20 lakini nilifanikiwa kuiona manchester united mwanzoni mwa karne ya 21 na siku ya leo nategemea kwa idhini ya Mungu huenda nikaiangalia mechi yetu ya leo dhidi southampton kama nitarudi nyumbani salama.
Baadhi ya mambo yaliosababisha bwana ferguson kushindwa kubeba ndoo za uefa zaidi ya mbili kwa uelewa wangu mdogo kwa kutumia GPA ya 50 ni:-
  1. kukosekana kwa ushindani ndani ya ligi ya uingereza kwa miaka takribani 14: haileti maana hata kidogo timu inabeba makombe 4 kwa miaka 5 nchini uingereza halafu inashindwa kufuzu nusu fainali ya ligi ya mabingwa kwa miaka 5 baadae tuseme ligi ilikuwa ni bora na kivyovyote tutakuwa tunakosea, kwa uoni wangu timu zilizokuwa nje ya uingereza inaonyesha dhahiri zilijaza wachezaji bora zaidi yetu kwa vipindi tofauti ndio maana tulikuwa tunapata tabu lakini tukirudi uingereza tulikuwa tunasumbua sana. unateswa na bayern leverkusen, dortmund, porto na nyenginezo ambazo zimewahi kututoa hatua ya 16 bora na mara tatu hatua ya makundi chini ya alex ferguson.
  2. kukosekana kwa makocha wanaokwenda na nyakati: makocha kama arsene wenger na wengineo ndio walitufanya na sisi kwa muda mrefu tubweteke na kujisahau kama kuna ligi inayozikutanisha timu ngumu kama bayern munich, barcelona, madrid, ac milan ya ancelotti, juventus ya marcelo lippi n.k. fikiria bwana wenger na wenzake wanamuachia ferguson abebe ubingwa mara 7 kwenye miaka 10 kivyovyote vile hali hii ilichangia kumfanya ferguson ajisahau kwa sababu alijiamisha tayari ana timu kubwa yenye uwezo wa kusimama na yeyote yule duniani kumbe ni kinyume chake. kama mzee wenger na wenzake wangelileta ushindani wa ukweli kuanzia matumizi ya fedha na umakini kwenye kufanya biashara za usajili basi ligi ingelizidi kuvutia na kuondoa gape la ubora kati ya timu kama ilivyo miaka 15 hii. fikiria mzee wenger anamsajili pascal cygan, kolo toure n.k unafikiri kwa usajili huu mzee fergie atawaacha ndugu zake wa kiingereza na wanawe wapendwa kama chadwick, brown, silvestre kwenye timu yake?
  3. falsafa ya ujengaji wa timu: nilipokuwa namjibu great thinker anayeitwa fuentte kuhusiana na nguvu ya man city inayoendelea kukuwa kwa kasi nilizungumzia ishu hii ya ujengaji wa timu wa ferguson ambao alitumia academy kwa mfano vijana kama brown,oshea, scholes n.k. alinunua wachezaji waliokwisha tengenezwa kwa gharama za juu kama ferdinand, nistelrooy, andy cole, dwight yorke n.k. mwisho alisajili wachezaji ambao ilibidi kwanza waje wawekwe sawa kwa mfano heinze, alan smith, ronaldo, vidic, miller (RIP) n.k. kivyovyote timu kama hii itakuwa na aina tatu ya wachezaji ambao ni wenye viwango vikubwa kama andy cole, giggs, nistelrooy n.k , wastani kama vile ronaldo na rooney mwanzoni na pia wenye viwango vidogo kama silvestre, brown, oshea n.k.
  • ndio maana baadhi ya nyakati ilituchukua miaka mingi kufika nusu final ligi ya mabingwa kwa sababu wakati wewe unamsubiri chadwick, silvestre, brown, fletcher, beckham wakuze viwango vyao mpinzani wako anavunja benki anamsajili figo, zidane, ronaldo delima, rivaldo, pirlo, roberto baggio, fernando redondo n.k. kivyovyote utahitaji bahati nasibu kumshinda mpinzani wako. Ukweli mwengine ni kwamba ilikuwa ni ngumu kuwakuta average player kwenye timu za AC Milan, barcelona. madrid, bayern miaka ya mwanzoni.
  • lakini ukiangalia kuanzia mwaka 2007 hadi 2010 kipindi hiki matunda ya uvumilivu yalitufanya tuwe na timu nzuri sana ndio maana tulicheza nusu final mara tatu, muunganiko wa wachezaji kama rooney, ronaldo, tevez, giggs na wengineo waliokwisha kuiva ulitufanya tuwe bora barani ulaya. Kosa kubwa alilolifanya fergie na hili nitamlaumu ni kurudia mara kwa mara kufanya biashara za average player baada ya kuwaruhusu wachezaji bora kuondoka au pindi waliposhuka viwango. kwa mfano huwezi kuwaruhusu ronaldo na tevez waondoke kwa msimu mmoja halafu unamsajili antonio valencia na michael owen kwa pamoja eti hawa baadae waje waifunge barcelona ya david villa, pedro na mtakatifu messi.
johnmweusi muache sir alex ferguson apumzike au umetumwa na mjomba wako jose mourinho ututoe kwenye mstari wa kuhoji ubora wake?
kama umetumwa mwambie watu wa JF hawadanganyiki na tunamsubiri usiku wa leo akajilinde tena na wabovu southampton na hatimaye tucheze dakika 20 bila shots iliyolenga goli la adui.
tukishafunga goli la krosi aendelee kumsifu the lord marouanne fellaini ndicho alichobakisha.
1543664835132.png

1543665047504.png
naruhusu kukosolewa ndio raha ya mjadala
 
Back
Top Bottom