Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu hapo mm namuona douglas costa timu yetu inamhitaj sana mtu kama huyo kiungo kama cha kante tupate na mtu kama tobby aisee ntakuwa mjanja sana
  1. eneo la defense ni lazima tufanye biashara mpya ila itapendeza asivuke miaka 27 kama tutatumia zaidi ya paundi millioni 50
  2. tukipata winga wawili upande wa kulia itakuwa raha zaidi ndio maana nikamtaja doglas costa na julian draxler au mfano wa marco reus. unajua mechi ni nyingi sana na mourinho si muumini mkubwa sana wa kuwapa nafasi joel gomez na tahit chong kwa msimu mmoja.
  3. unapokuwa na thiago alcantara na pogba eneo la mbele halafu nyuma wakalindwa na fred yule tunayemsubiri pia si mbaya sana bila ya kusahau andreas perreira yupo ndio maana sioni umuhimu wa kutafuta namba 6 mpya labda awe na tabia kama za sergio bosquets na michael carrick.
  4. tukipata wachezaji wa pembeni mahodari huyu romelu lukaku atafunga na malalamiko juu yake yatapungua
ukipata nafasi isome hii taarifa halafu unipe mtazamo wako je jose mourinho yupo sahihi au ni mwendelezo wa blah blah zake?
nimeamua kuweka vyanzo tofauti.
kwa ufupi
jose anasema miaka ya zamani ilikuwa ni rahisi kupata mchezaji ukilinganisha na kipindi hiki na akatolea mfano dili la michael carrick na berbatov kwenda man utd.
jose anasema ni ngumu kwa sasa kumng'oa mchezaji kama harry kane ndani ya tottenham hotspurs kwa sababu soka limebadilika na united wanapaswa wabadilike hizi ni nyakati za crazy numbers.
unauzia mpaka second choise kwa fedha nyingi.
 
nayafahamu yote hayo ila mimi sipo huko kabisa kwenye vyanzo vya fedha fundi wangu.
hahahahaaahahahahaaahahahahaaa
mwenzio anapotumia paundi millioni 32 kwa usajili wa robinho mwaka 2008 hutakiwi kulalamika sana wakati wewe uliwahi kutumia paundi millioni 31 kwa usajili wa beki tena mwaka 2002.
hao man city fedha waliotumia wao kwa miaka 6 hii ukilinganisha na sisi tofauti si kubwa sana ila bado wametuacha umbali mrefu ndani ya uwanja.
ndio maana nikamalizia kusema tatizo si kutumia sana bali tatizo ni kutumia halafu matunda yakawa madogo na ndio tatizo letu nyakati hizi.
Mourinho jana amesema kitu ambacho mimi naona ni hoja ya msingi sana. Kwanza amekubali kuwa United wanapaswa kuonesha kiwango kikubwa kuliko hichi wanachoonesha sasa lakini

Amesema si sahihi kutaka Man Utd iwe kama ilivyokuwa miaka ya huko nyuma kwa kuwa sasa mazingira ni tofauti.

Amesema kwa kipindi cha nyuma timu "ndogo" zilikuwa almost were begging for their players to be bought by big clubs, lakini kwa sasa na zenyewe zimekuwa very powerful kwenye bargaining, kwenye kubaki na wachezaji wao na kwenye kununua wachezaji wazuri.

Akasema, mfano miaka ya 2000 United walimnunua Michael (promising midfielder and a player in English World Cup Squad) Berbatov (Spurs top scorer for 2 consecutive seasons). Akauliza je sasa hivi unaweza kwenda spurs kumnunua Kane, kisha Alli au Soni au Ericksen?

(Hapa nasema mimi sasa). Kwa hiyo tukubaliane pia kuwa kuimarika kwa hizi timu nyingine kumeleta changamoto kwa ma giant clubs kama United.
 
hahahahahahahahaaaa usajili wa lucas moura umenikumbusha mbali sana.
sir alex ferguson alichukia sana baada ya waarabu wa PSG kumpokonya tonge mdommoni.
nayafahamu yote hayo brother ila tunavuta muda wa kuangalia timu yetu hivyo basi mijadala kama hii inapendeza ikiwepo.
I find it quite amazing that a club can pay 45million euros for a 19-year-old boy," said the Scot.
Lucas Moura PSG deal angers Sir Alex Ferguson


kuna dalili yoyote ya diogo dalot kupewa nafasi leo?
Dogo yupo kwenye squad iliyosafiri, sasa sijui kama atacheza.

Ila kuna uwezekano wa kucheza kwa sababu Valencia na Damian ni majeruhi, japo Young na Shaw wapo for selection
 
Wengi hawatambui hilo huyo jamaa kaisimamisha barca wanampaga sifa pep ambae kaikuta misingi imewekwa na huyo mholanzi.
Wengi kwenye vibanda umiza wanaswmaga eti Pep ndio ameanzisha tiki taka pale barca

Wanasahau founder mwenyewe ni Johan Cruyff kuanzia miaka ya themanini mwishoni mpaka 1996, then Waholanzi wenzake LVG na Rijkaard wakaziendeleza ndio Pep na makocha wengine ulaya waka kopi
 
  1. eneo la defense ni lazima tufanye biashara mpya ila itapendeza asivuke miaka 27 kama tutatumia zaidi ya paundi millioni 50
  2. tukipata winga wawili upande wa kulia itakuwa raha zaidi ndio maana nikamtaja doglas costa na julian draxler au mfano wa marco reus. unajua mechi ni nyingi sana na mourinho si muumini mkubwa sana wa kuwapa nafasi joel gomez na tahit chong kwa msimu mmoja.
  3. unapokuwa na thiago alcantara na pogba eneo la mbele halafu nyuma wakalindwa na fred yule tunayemsubiri pia si mbaya sana bila ya kusahau andreas perreira yupo ndio maana sioni umuhimu wa kutafuta namba 6 mpya labda awe na tabia kama za sergio bosquets na michael carrick.
  4. tukipata wachezaji wa pembeni mahodari huyu romelu lukaku atafunga na malalamiko juu yake yatapungua
ukipata nafasi isome hii taarifa halafu unipe mtazamo wako je jose mourinho yupo sahihi au ni mwendelezo wa blah blah zake?
nimeamua kuweka vyanzo tofauti.
kwa ufupi
jose anasema miaka ya zamani ilikuwa ni rahisi kupata mchezaji ukilinganisha na kipindi hiki na akatolea mfano dili la michael carrick na berbatov kwenda man utd.
jose anasema ni ngumu kwa sasa kumng'oa mchezaji kama harry kane ndani ya tottenham hotspurs kwa sababu soka limebadilika na united wanapaswa wabadilike hizi ni nyakati za crazy numbers.
unauzia mpaka second choise kwa fedha nyingi.
Mkuu huoni kama Alcantara tayari tunaye (Pereira) na Draxler (Lingard). Reus ni zinga la mchezaji tatizo ana pancha sana
 
Mkuu nimekuelewa Sanaaa. Umechambua vizuri Sanaa.

Japo hapo mwishoni daah!! naomba nikanushe kabisaaa. SIJATUMWA NA MOU. Hahahahaaa.

Pia ningependa kusikia maoni yako juu ya heshima anayo pewa Fergie kulinganisha na mafanikio yake nje ya mipaka ya uingereza
hahahahaaaaaa kwenye hii mechi mimi sihusiki.
lakini kwa tulipotoka na mpaka alipotufikisha ferguson michuano ya ulaya basi ni vizuri kumpa heshima kwa 78% kwa maoni yangu.
  1. laiti kama angelitukuta tupo vizuri kama real madrid halafu akatupa makombe 2 kwa miaka 20 tungelipaswa kumlaumu.
  2. laiti kama angelikuta tupo kama AC MILAN iliojaza mafundi wengi kama Carlo Ancelotti, Frank Rijkaard, Ruud Gulitt, Marco Van Basten na Roberto Donadoni kwa sauti ya yule mpenzi wa ac milan ndani ya JF na akaishia kutupa makombe 2 basi asingestahili heshima kubwa.
  3. laiti kama angelitukuta tuna msingi mzuri wa academy kama ilivyokuwa AJAX ya uholanzi yenye kluivert, van der sar, frank deboer, kanu n.k halafu kwenye medani ya soka akatupoteza basi heshima yake isingelipaswa kuwa kubwa.
lakini ametukuta tupo ovyo sana kibajeti na hata kimsingi ndio maana alifika hata miaka 5 baadhi ya nyakati bila ya kutinga nusu fainali. Kwa timu iliopoteza muelekeo kwa soka la zamani haikuwa ajabu kuchelewa kupata mafanikio kwa sababu ile hatua mpya unayoianza wewe ya kujenga msingi wa mafanikio basi mwenzio kama ajax, ac milan, real madrid unakuta alikwisha ipita kitambo ndio maana ilikuwa ni vigumu kuwashawishi best player kuja manchester united nyakati za mwanzoni.
tofauti na nyakati hizi ambapo leo hii kama blackburn rovers watapata fedha za kutosha basi watarudisha tena heshima yao ya 94.

utamshawishije roberto baggio aiache AC milan au inter milan mbele ya manchester united iliobeba ubingwa mara ya mwisho 1966? .
utamshawishije ronaldo aiache inter milan mbele ya manchester united kipindi hicho?


pia fikiria ndio kwanza unapandisha zao la academy tena waingereza kina nicky butt, beckham, neville brother, scholes halafu unawapambanisha na mabingwa waliobobea kiuwezo kama milan, munich, ajax, madrid inakuwa ni vigumu kuvunja ngome za wababe hawa kwa sababu tayari walishajaza wachezaji bora zaidi yetu sisi ambao ndio kwanza tunaanza kujenga msingi.
kwa ufupi kutoka 1992 hadi 1999 siwezi kumlaumu ferguson hata kidogo kwa sababu ndio alikuwa anatumia nguvu kubwa kwa mali ghafi ndogo kuturudisha kwenye ushindani.
ila kuanzia 2000 hadi 2012 hadithi yetu itaendelea siku nyengine.
hahahahahahahaaa sidanganyiki na mitego yao uchwara.
1543674056958.png
 
"I don’t believe in curses," Mourinho stressed. "When we speak about Alexis, I think you should ask why every time a player is not playing in Manchester United, there is always a rumour, and sometimes more than a rumour, because a rumour is easily news.

"There is always a problem. The player didn’t behave. Disciplinary problem. Problem with the manager. The manager had a fight with the player. It’s only here.

"In Chelsea when Willian doesn’t play there is no problem with Willian and [Maurizio] Sarri. In Man City, when Gabriel Jesus is not playing for weeks, there is never a problem. It is just a normal decision. When Fabinho and [Naby] Keita don’t play at Liverpool, they love Jurgen [Klopp] and Jurgen loves them and there is no problem.



"In here, when Paul is on the bench, it’s because there is a disciplinary issue. When Alexis is not playing, he had a fight with the manager. Here is the only club where every day the manager has problems with the players. Every time. The player cannot have a free life, a free development with ups and downs.

"The manager cannot choose, the manager cannot coach. The manager cannot speak about the player. It’s the only club. You make this club amazing because we are different from everybody. You make me feel very, very special because I am the one who is different from everybody else.

"I cannot say I am not happy about a player missing a chance. The next day, some friends send me an image of Ronaldo missing a chance, and Sir Alex speaking in beautiful Scottish and that moment killed Ronaldo’s career. Since that moment, Ronaldo was never a player again. Some guys, they make me feel really different, let’s say that.

"But speaking about Alexis - a frustrating season. It’s a season where he is not playing a lot, where he had small injuries, where he now has a big injury. He scored a fantastically important goal against Newcastle, and then after that he had the opportunity to play two good matches against Juventus and Bournemouth. Good dynamics, good movement, good participation.

"Now small injury in the national team, comes back, big injury now. I don’t like and don’t believe in the word curse but I have to admit it was probably a very unlucky six months, and we expect the new year brings better things for him."
 
Mkuu kwanza inabidi uelewe tu hiyo advantage ya kufundisha miaka yote hiyo 26, ni yeye ndio ameitengeneza ..... Kwa hiyo haikushushwa tu kutoka Mbinguni.

Yeye amekuwa kocha kwa miaka 26 pale United consecutively, he hao wengine (kama Lipi) kwanini hawakuwa makocha mfululizo, je walikosa timu na kama walikosa timu kwanini, kocha bora huwa anakosa timu kwa muda mrefu? Kama sio bora kwa kiwango hicho, basi sio bora, waache waendelee kuwa nyuma ya SAF kwenye mafanikio ambaye ni bora.

Hao wengine hawakuweza kukaa timu moja kwa sababu mbalimbali, lakini kubwa ikiwa hawakuwa na consistence kwenye mafanikio kwa miaka mingi na mwisho wa siku kutimuliwa. SAF alikuwa ana consistence ya mafanikio na hata yeye angekuwa hapati mafanikio pale United angetimuliwa mapema na asingedumu kwa hiyo miaka 26.

Jambo lingine naona wewe umeweka standards kubwa sana (KIPIMO CHAKO CHA MAFANIKIO NI KIKUBWA SANA). Yaani ili kocha ahesabike amefanikiwa UCL inabidi awe angalau amefika fainali, knock out stage, robo fainali na nusu fainali unaona kwamba hayo sio mafanikio.

Embu tufanye Kipimo chako cha mafanikio ni kuingia fainali ((ambacho mimi naona si kipimo sahihi). Yeye kwa miaka 26, amefika fainali mara 4, embu nitajie makocha waliowahi kufika fainali angalau mara 5 (maana mara 4 si mafanikio). Tuanzie hapo ili tujue kuna makocha wangapi wenye mafanikio katika UCL. Baada ya hapo tukubaliane kama idadi hiyo tu ndio makocha wenye mafanikio UCL.
Kumbukumbu zangu zinaniambia huenda wakawa wawili tu yeye na kocha mmoja wa Madrid wa enzi hizo.
Kwahiyo bado Ferguson anakuwa top manager pia kwenye UCL kwa kipimo cha kufika finals tu
 
Mkuu hiyo bei ilikuwa inaweza kutolewa na timu zenye daraja la juu

Hata ulikuwa ukiangalia uwezo wao kisoka ulikuwa sawa na bei mfano hao wote walifika nusu fainali ligi ya mabingwa kwa kipindi kile ulikuwa unaona viwango halisi kabisa

Sasa kwa mfano lucas moura anatoka brazil moja kwa moja kwa paund million 35 ilikuwa halali? Hiyo psg walilipa wakat uhalisia wake alikuwa na thamani ya 25 hizo ndo mmevutana na mawakala ikafika 25
Moura alinunuliwa kwa 45 Ferguson aliweka 35 tu
 
hahahahahahahahaaaa usajili wa lucas moura umenikumbusha mbali sana.
sir alex ferguson alichukia sana baada ya waarabu wa PSG kumpokonya tonge mdommoni.
nayafahamu yote hayo brother ila tunavuta muda wa kuangalia timu yetu hivyo basi mijadala kama hii inapendeza ikiwepo.
I find it quite amazing that a club can pay 45million euros for a 19-year-old boy," said the Scot.
Lucas Moura PSG deal angers Sir Alex Ferguson


kuna dalili yoyote ya diogo dalot kupewa nafasi leo?
Leo anacheza
 
Mkuu hapo mm namuona douglas costa timu yetu inamhitaj sana mtu kama huyo kiungo kama cha kante tupate na mtu kama tobby aisee ntakuwa mjanja sana
Ukiniambia Mimi nitamchagua Marcus Reus anamadhara uwanjani kuliko Julian Draxler Douglas Costa hawezi English Football wachezaji wakilatin wanasota sana kwenye soka la uingereza hivyo Douglass anaweza asiclick
 
Mourinho: “I was not happy a player (Rashford) missed a chance, that’s all. The next day a friend sent a clip of Ronaldo missing a chance and Alex Ferguson shouting at him in beautiful Scottish. That moment killed Ronaldo’s career. He was never the same player after that.” #mufc
46080337_2328198267194542_3013790380599247113_n.jpeg
 
Mourinho: “I was not happy a player (Rashford) missed a chance, that’s all. The next day a friend sent a clip of Ronaldo missing a chance and Alex Ferguson shouting at him in beautiful Scottish. That moment killed Ronaldo’s career. He was never the same player after that.” #mufc View attachment 952589
Kuna muda mourinho wamuonea
 
De Gea ame-extend mkataba kwa mwaka 1 mpaka 2020 wakati majadiliano ya mkataba wa muda mrefu yakiendelea.
Degea HAJA-EXTEND..ni Club ndo huwa inaoption ya kuExtend mkataba kwa mwaka mmoja zaidi kama wanamuhitaji mchezaji na hataki kusain mkataba mpya..
Refer ur reference vizuri mkuu
 
Sina imani na lingard hata kidogo mchezaj gani hawez kuwatoka mabek akizingirwa bora hata rashford
Moja kati ya vipaji vya Lingard si kupiga chenga

But trust me, ni mchezaji muhimu sana kwenye kutengeneza space kwa wengine, kwenye kupiga mipira nje ya kumi na nane

Kiufupi ni mchezaji ambaye kama ni beki hutapenda kum mark coz hatulii sehemu moja uwanjani

Pia team ni player (sio mbinafsi, siku hizi wamebaki wachache mno), na anajua defensive duties anapopewa majukumu
 
nilivyomuelewa muheshimiwa john mweusi
naamini sote tunakubaliana ya kwamba kwenye miaka 26 ya utawala wa sir alex ferguson ni miaka 21 ndio ilikuwa ni miaka yake ya mafanikio makubwa ndani ya klabu ya manchester united ndani ya uwanja na nje ya uwanja (mafanikio ya kibiashara).
muheshimiwa johnmweusi hoja zake ni hizi hapa kwa nilivyomfahamu mimi kiupande wangu kwa kutumia GPA ya 50 ya chuo kikuu cha romelu lukaku

ndani ya miaka 21 ya mafanikio yake sir alex ferguson alifanikiwa kubeba makombe 13 ya ligi kuu ya uingereza na ndani ya miaka 21 ya michuano ya ligi ya mabingwa alifanikiwa kubeba makombe 2.
  • kwa takwimu hizo je inastahili kwa sir alex ferguson kupewa heshima ya kocha bora wa bara la ulaya kwa muda wote?
  • au anapaswa tu kupewa heshima ya kocha bora wa nchi zinazounga United Kingdom kwa muda wote
  • je kwa takwimu hizi za ligi ya mabingwa bwana john mweusi anauliza inawezekana timu yetu ilikuwa dhaifu sana pindi inapokutana na wababe wengineo wa ulaya ndio maana tuliishia kubeba makombe 2 kwa miaka 20?
  • je inawezekana ni media za kiingereza ndio zinatujaza pumzi na ujinga kwa kutuaminisha ya kwamba fergie alikuwa ni genius na hatatokea kama yeye barani ulaya (naamini ndivyo anavyowaza john mweusi jamani sio mimi)
hahahahahahahahhaaaaa hii vita ya hoja ilioanza tokea jana humu ndani inaweza kutuletea ugomvi wa ndugu ila acha kwanza nimtetee johnmweusi halafu baadae nitaangalia upepo unavyovuma, baadae nitajigeuza kinyonga nimrushie mvua ya mapovu brother john mweusi
Great Thinker anayeitwa Mc cane ameweka takwimu zinazoonyesha makocha waliofika nusu fainali mara nyingi kwenye michuano ya ligi ya mabingwa ambapo sir alex ferguson ndani ya miaka 20 amefika nusu fainali mara 7.
  1. 1997: United lose 2-0 to Borussia Dortmund on aggregate : inamaana hapa ilimchukua ferguson miaka 5 kufuzu nusu final ya ligi ya mabingwa na wakati huo huo kama sijakosea alishabeba makombe 4 ya ligi ya uingereza kutoka 1992.
  2. 1999: United beat Juventus 4-3 on aggregate : ina maana tulikaa miaka 2 ndio tukafuzu nusu final na kufanikiwa kubeba ubingwa. kwa hesabu za kitoto ilimchukua miaka 7 sir alex ferguson kubeba ubingwa wake wa kwanza wa ulaya.2002:
  3. United lose to Bayer Leverkusen on away goals (3-3 on aggregate) : baada ya kubeba ubingwa tulikaa miaka 4 ndio tukafuzu nusu final, wakati huo huo kama nipo sahihi sir alex alikuwa anashinda ubingwa wake wa 8 nchini uingereza. Ina maana ndani ya miaka 11 fergie ameshashinda makombe 8 ya uingereza na kombe 1 la ulaya. bayern leverkusern anafungwa fainali na real madrid kwa bao la fundi zidane, aigoooo ina maana balaa la zidane na galaticos wenziwe lilipaswa litukute sisi.
  4. 2007: United lose 5-3 to AC Milan on aggregate: hapa tulikaa miaka 5 ndio tukafika nusu fainal, na alifikisha ubingwa wake wa 9 wa uingereza kwa miaka 15.
  5. 2008: United beat Barcelona 1-0 on aggregate.= tukawafunga chelsea fainali
  6. 2009: United beat Arsenal 4-1 on aggregate = tukafungwa na barcelona fainali
  7. 2011: united beat schalke 6-1 on agregate. = tukafungwa na barcelona fainali
kwa wastani kwa kila baada ya miaka 10 sir alex ferguson ndio alibeba ubingwa wa UEFA.(1998 na 2008)
10 + 10 + 6 = 26 years akiwa madarakani.​
kuna nukuu moja niliwahi kuisikia kupitia radio kifua cha mtu (stori za kibanda cha kahawa na siasa) inadai ya kwamba shujaa wa ukweli ni yule anayerudi vitani akiwa hai haijalishi hata kama hajamtoa uhai adui yeyote na si yule anayetoa uhai mamia ya maadui na baadae akafariki vitani.
kwa kuwa nimeamua kumtetea johnmweusi muda huu basi kwa takwimu hizi za nusu fainali tu kwa maoni yangu bwana john hoja yake ni ya msingi ya kwamba timu yetu baadhi ya vipindi ilikuwa inazidiwa na wababe wengine wa ulaya hivyo basi ni sahihi kumpa heshima ferguson ya ukocha bora wa uingereza na si ukocha bora wa ulaya nzima kwa mawazo yake lakini (najitoa kwenye timu yake).

kumsifia mtu aliyefika nusu final mara saba na kubeba makombe 2 kwa miaka 20 ni sawa sawa na kumsifia mwanajeshi aliyeua wapinzani wake trillion 1.5 halafu akauliwa na jeshi mzembe anayeitwa CAG wa nchini Auditing.

anavyoamini john mweusi ni kwamba ingelikuwa sahihi kwa sir alex kupewa heshima kubwa kama angelitupa angalau makombe 5-7 ya ligi ya mabingwa kwa miaka 20 na si makombe 2 kwa miaka 20.

kwa umri wangu sikubahatika kuiona manchester united mwishoni mwa karne ya 20 lakini nilifanikiwa kuiona manchester united mwanzoni mwa karne ya 21 na siku ya leo nategemea kwa idhini ya Mungu huenda nikaiangalia mechi yetu ya leo dhidi southampton kama nitarudi nyumbani salama.
Baadhi ya mambo yaliosababisha bwana ferguson kushindwa kubeba ndoo za uefa zaidi ya mbili kwa uelewa wangu mdogo kwa kutumia GPA ya 50 ni:-
  1. kukosekana kwa ushindani ndani ya ligi ya uingereza kwa miaka takribani 14: haileti maana hata kidogo timu inabeba makombe 4 kwa miaka 5 nchini uingereza halafu inashindwa kufuzu nusu fainali ya ligi ya mabingwa kwa miaka 5 baadae tuseme ligi ilikuwa ni bora na kivyovyote tutakuwa tunakosea, kwa uoni wangu timu zilizokuwa nje ya uingereza inaonyesha dhahiri zilijaza wachezaji bora zaidi yetu kwa vipindi tofauti ndio maana tulikuwa tunapata tabu lakini tukirudi uingereza tulikuwa tunasumbua sana. unateswa na bayern leverkusen, dortmund, porto na nyenginezo ambazo zimewahi kututoa hatua ya 16 bora na mara tatu hatua ya makundi chini ya alex ferguson.
  2. kukosekana kwa makocha wanaokwenda na nyakati: makocha kama arsene wenger na wengineo ndio walitufanya na sisi kwa muda mrefu tubweteke na kujisahau kama kuna ligi inayozikutanisha timu ngumu kama bayern munich, barcelona, madrid, ac milan ya ancelotti, juventus ya marcelo lippi n.k. fikiria bwana wenger na wenzake wanamuachia ferguson abebe ubingwa mara 7 kwenye miaka 10 kivyovyote vile hali hii ilichangia kumfanya ferguson ajisahau kwa sababu alijiamisha tayari ana timu kubwa yenye uwezo wa kusimama na yeyote yule duniani kumbe ni kinyume chake. kama mzee wenger na wenzake wangelileta ushindani wa ukweli kuanzia matumizi ya fedha na umakini kwenye kufanya biashara za usajili basi ligi ingelizidi kuvutia na kuondoa gape la ubora kati ya timu kama ilivyo miaka 15 hii. fikiria mzee wenger anamsajili pascal cygan, kolo toure n.k unafikiri kwa usajili huu mzee fergie atawaacha ndugu zake wa kiingereza na wanawe wapendwa kama chadwick, brown, silvestre kwenye timu yake?
  3. falsafa ya ujengaji wa timu: nilipokuwa namjibu great thinker anayeitwa fuentte kuhusiana na nguvu ya man city inayoendelea kukuwa kwa kasi nilizungumzia ishu hii ya ujengaji wa timu wa ferguson ambao alitumia academy kwa mfano vijana kama brown,oshea, scholes n.k. alinunua wachezaji waliokwisha tengenezwa kwa gharama za juu kama ferdinand, nistelrooy, andy cole, dwight yorke n.k. mwisho alisajili wachezaji ambao ilibidi kwanza waje wawekwe sawa kwa mfano heinze, alan smith, ronaldo, vidic, miller (RIP) n.k. kivyovyote timu kama hii itakuwa na aina tatu ya wachezaji ambao ni wenye viwango vikubwa kama andy cole, giggs, nistelrooy n.k , wastani kama vile ronaldo na rooney mwanzoni na pia wenye viwango vidogo kama silvestre, brown, oshea n.k.
  • ndio maana baadhi ya nyakati ilituchukua miaka mingi kufika nusu final ligi ya mabingwa kwa sababu wakati wewe unamsubiri chadwick, silvestre, brown, fletcher, beckham wakuze viwango vyao mpinzani wako anavunja benki anamsajili figo, zidane, ronaldo delima, rivaldo, pirlo, roberto baggio, fernando redondo n.k. kivyovyote utahitaji bahati nasibu kumshinda mpinzani wako. Ukweli mwengine ni kwamba ilikuwa ni ngumu kuwakuta average player kwenye timu za AC Milan, barcelona. madrid, bayern miaka ya mwanzoni.
  • lakini ukiangalia kuanzia mwaka 2007 hadi 2010 kipindi hiki matunda ya uvumilivu yalitufanya tuwe na timu nzuri sana ndio maana tulicheza nusu final mara tatu, muunganiko wa wachezaji kama rooney, ronaldo, tevez, giggs na wengineo waliokwisha kuiva ulitufanya tuwe bora barani ulaya. Kosa kubwa alilolifanya fergie na hili nitamlaumu ni kurudia mara kwa mara kufanya biashara za average player baada ya kuwaruhusu wachezaji bora kuondoka au pindi waliposhuka viwango. kwa mfano huwezi kuwaruhusu ronaldo na tevez waondoke kwa msimu mmoja halafu unamsajili antonio valencia na michael owen kwa pamoja eti hawa baadae waje waifunge barcelona ya david villa, pedro na mtakatifu messi.
johnmweusi muache sir alex ferguson apumzike au umetumwa na mjomba wako jose mourinho ututoe kwenye mstari wa kuhoji ubora wake?
kama umetumwa mwambie watu wa JF hawadanganyiki na tunamsubiri usiku wa leo akajilinde tena na wabovu southampton na hatimaye tucheze dakika 20 bila shots iliyolenga goli la adui.
tukishafunga goli la krosi aendelee kumsifu the lord marouanne fellaini ndicho alichobakisha.
View attachment 952413
naruhusu kukosolewa ndio raha ya mjadala
Naaam. Hakuna ulichoacha mkuu Damushin
 
Back
Top Bottom