Hahahaha, Sane amesajiliwa akiwa starter pale Schalke, hivi Tuchel anaweza kupewa credit za kumtoa kinda Mbape?Amemsajili sane akiwa mdogo akaona kipaji chake akampa nafasi akamwamini hadi sasa dogo ni miongoni mwa wachezaji tegemeo Wa city. Amekuwa akimpa vidakika kadhaa Phil Phoden ambaye ni kinda. Mfano sisi Angel Gomes au Tahit Chong wangekuwa wanapewa hata vidakika vya kudanganyishia
Ila mwezi huu tuwaelewe tu makocha, kwani team selection zinaweza kuwa za ajabu sanaHiyo midfield na beki ya kati vipi wazeeView attachment 952651
Kwani Martial hakuwa starter Monaco? Mbona tunashindwa kumuendeleza?Hahahaha, Sane amesajiliwa akiwa starter pale Schalke, hivi Tuchel anaweza kupewa credit za kumtoa kinda Mbape?
Embu tuendelee kuangaza, tunaweza kupata kinda aliyetolewa na the might Pep
Na kikubwa hapa si lazima awaibue yeye ila ana uwezo Wa kuwaamini na kuwafanya wachezaji wachanga wajiamini na waone wana thamani na mwisho wakafanya kile alichokitarajiaHahahaha, Sane amesajiliwa akiwa starter pale Schalke, hivi Tuchel anaweza kupewa credit za kumtoa kinda Mbape?
Embu tuendelee kuangaza, tunaweza kupata kinda aliyetolewa na the might Pep
Wakuu kwa line up hii unaona jinsi gani mou asivyopendelea wachezaji wenye miili midogo eneo la ulinzi na kiungo. Herrera ni muanga wa hilo na a
Hatushindwi kumuendeleza, ni mmoja ya wachezaji wamecheza mechi nyingi msimu huu lakini hakuna chochote alichofanya.Kwani Martial hakuwa starter Monaco? Mbona tunashindwa kumuendeleza?