Tatizo kubwa la United ni kocha.
JM tuliemzoea si huyu alie hapa. Hakuna la maana analofanya.
Kama mmemchoka mrudisheni nyumbani chelsea hajaua huyooo.Mo out
Hajawahi sema yeye ndo chanzo cha kufungwa hata baada ya kumuanzisha Fellaini game ya city alisingizia eti tumechoka.....Mourinho akishindwa kupata matokeo anawalaumu tu wachezaji je yeye hawezi kuwa sababu ya kukosekana kwa matokeo hayo??
Anasema kuna wachezaji hawachezi kwa moyo..inaweza ikawa kweli ndio ila kusema hivyo publically inaonyesha jinsi gani jamaa yupoyupo tu pale united..
Mkuu United hakuna mchezaji Mbovu hilo tushaliona kitambo.Mourihno anawaharibu wachezaji wake kwa kuwabwatukia hadharani.
Sijafurahishwa na matokeo lakini leo nimefurahishwa sana na spirit ya Lindelof. Huyu akipata mtu makini wa kusimama naye ni kisiki!
Spurs under Pochettino:Hajawahi sema yeye ndo chanzo cha kufungwa hata baada ya kumuanzisha Fellaini game ya city alisingizia eti tumechoka.....
Sijui board inawaza nini ila msimu ujao naona tunaenda Europa... Pia tunashindwa kuonesha movement za kutafuta goli sisi tukianza kurukaruka basi ndo dakika zote... Mou anatuongezea mzigo tu, tuchukue kocha mwingine apewe uhuru na director asimamie vizuri usajili na mikataba plus academy players....
Spent £0 in the summer
Won 3-0 at Old Trafford
Ended Chelsea's unbeaten run
9 points ahead of Man Utd
More goals scored than Utd, fewer conceded
Sissoko playing like Pogba
Pogba playing like SissokoMourinho sometime huwa anajichanganya sanaMourinho akishindwa kupata matokeo anawalaumu tu wachezaji je yeye hawezi kuwa sababu ya kukosekana kwa matokeo hayo??
Anasema kuna wachezaji hawachezi kwa moyo..inaweza ikawa kweli ndio ila kusema hivyo publically inaonyesha jinsi gani jamaa yupoyupo tu pale united..
Kweli mkuu..hivi huwa anashindwa kukaa nao chini na kuwaeleza hayo anayoyasemaga kwenye media??..Mourinho sometime huwa anajichanganya sana
Kama juzi ameongea kwenye chombo cha habari kwamba kina Lingard, Shaw, Rashford na Martial wana utoto
Hii ina discourage wachezaji, na kufanya wasicheze kwa moyo huo anaoutaka yeye
Hapo ndio ujue morinho ni fakaKweli mkuu..hivi huwa anashindwa kukaa nao chini na kuwaeleza hayo anayoyasemaga kwenye media??..
Man management yake ni tatizo. Watoto kama wale wanahitaji love na sio public criticismKweli mkuu..hivi huwa anashindwa kukaa nao chini na kuwaeleza hayo anayoyasemaga kwenye media??..
Kweli mkuu tunakazi kubwa mno ya kurudi juu maana jose anaturudisha tulipotoka under David moyesSpurs under Pochettino:
Spent £0 in the summer
Won 3-0 at Old Trafford
Ended Chelsea's unbeaten run
9 points ahead of Man Utd
More goals scored than Utd, fewer conceded
Sissoko playing like Pogba
Pogba playing like Sissoko
Kwa hizi fact naona hata kocha kikwazo.
Mechi ya jana kanishangaza sana kumuacha fred nje ni kumdharau jamaa hata dalot yaani palace tunawaogopa? Sijui valencia anatatizo nae pia,,, Mi naona mourinho anatafuta sababu za kufukuzwa kwa sasaKweli mkuu tunakazi kubwa mno ya kurudi juu maana jose anaturudisha tulipotoka under David moyes
Spurs under Pochettino:
Spent £0 in the summer
Won 3-0 at Old Trafford
Ended Chelsea's unbeaten run
9 points ahead of Man Utd
More goals scored than Utd, fewer conceded
Sissoko playing like Pogba
Pogba playing like Sissoko
Kwa hizi fact naona hata kocha kikwazo.
Avumilie tu tunaenda kwa tathmini
Man u haitaweza kufika hata EUROPA . kwa mchezo niliyouona janaHajawahi sema yeye ndo chanzo cha kufungwa hata baada ya kumuanzisha Fellaini game ya city alisingizia eti tumechoka.....
Sijui board inawaza nini ila msimu ujao naona tunaenda Europa... Pia tunashindwa kuonesha movement za kutafuta goli sisi tukianza kurukaruka basi ndo dakika zote... Mou anatuongezea mzigo tu, tuchukue kocha mwingine apewe uhuru na director asimamie vizuri usajili na mikataba plus academy players....
Spurs under Pochettino:
Spent £0 in the summer
Won 3-0 at Old Trafford
Ended Chelsea's unbeaten run
9 points ahead of Man Utd
More goals scored than Utd, fewer conceded
Sissoko playing like Pogba
Pogba playing like Sissoko
Kwa hizi fact naona hata kocha kikwazo.

