Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Mechi imeisha mkuu tumewatoa out hawa watu
Kwa msaada mzito wa refa.
Mechi imeisha mkuu tumewatoa out hawa watu
Man City wamecheza mpira mzuri sana 2nd Half......Sema Refa hakuwa upande wao,kawaminya sana Man City...
Hongereni sana Man Utd
hongereni kwa kubebwa
Eti man u wamebebwa, wacha nicheke mie heheheeeee. Lakini all in all wabebwe wasibebwe city are out.
Man City wamecheza mpira mzuri sana 2nd Half......Sema Refa hakuwa upande wao,kawaminya sana Man City...
Hongereni sana Man Utd
Hata Red Card ya Kompany inaonekana Refa alikurupuka.....Mkuu sio hivyo bana mlitaka tu tusishinde hamna cha kuwaminya mbona siku ya United hakukuwa cha kuwaminya United ndio mpira huo
Kompany atakosa mechi nne zinazokuja za ligi kuu. Kuna uwezekano wakapoteza points, kwani hakuna Yaya Toure , Kolo Toure na Kompany.
Nope.......Mimi nilitaka mshinde(sio kwa kubebwa), ndio maana hata kwenye post yangu ya kwanza hapa leo nimeandika 'Kila la heri Man Utd' na si 'Kila la heri Man City'Mkuu sio hivyo bana mlitaka tu tusishinde hamna cha kuwaminya mbona siku ya United hakukuwa cha kuwaminya United ndio mpira huo
Hata Red Card ya Kompany inaonekana Refa alikurupuka.....
Haya mkuu nikusahihishe umeona mahojiano ya Mancini kuhusu hii Red Card umeona wamemuuliza amejibu nini??sisi wa mtaani ndio tunasema Red Card fatilia alafu tuambie amesemaje walivyomuuliza kuhusu hiyo Red Card
Refa aliamua kubeba tu leo, jamaa bado maiti hawa.