Jambo la msingi ni kuwa kwenye soka pesa is not everything...........ManCity wasifikiri pesa ndio mpira........na wataendelea kupoteza games kwenye EPL........watch
The Gunners wana matatizo ya pumzii............wanacheza vizuri sana isipokuwa hawawezi ku-maintain ule uchezaji wao......
Wacha1
umemuona rafiki yako Scholes karudi?
Juzi niliangalia mechi ya ManU and ManCity (enzi za akina Cantona, Steve Bruce, Cole and the like).......imagine SAF alikuwa Manager kipindi kile hadi leo.........wale walikuwa Red Devils kweli kweli..........
Anyway.........Mashetani hongereni kwa ushindi wa leo ......noisy neighbours walikuwa wanalia uwanjani leo........