Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Haya mkuu nikusahihishe umeona mahojiano ya Mancini kuhusu hii Red Card umeona wamemuuliza amejibu nini??sisi wa mtaani ndio tunasema Red Card fatilia alafu tuambie amesemaje walivyomuuliza kuhusu hiyo Red Card
Yap nimeona.....Ulitaka aseme Man wamebebwa ili alimwe fine na kufungiwa?(Udikteta wa FA)......

All in all hongereni kwa ushindi...Na vipi kuhusu Handball ya Phil Jones dakika ya 82?
 
Achana nao mbona Wolfs walicheza nusu na kudraw? Tena kwa red card ya makasa hawasemi?
Teh teh.......Ukweli unauma eeh!!!!

Mnapoambiwa ukweli mnakuwa wakali!!!!....

Utatoa mifano yote leo......Hongera kwa ushindi though....
 
Paul-Scholes-Manchester-United-vs-Manchester-_2699861.jpg
 
Yap nimeona.....Ulitaka aseme Man wamebebwa ili alimwe fine na kufungiwa?(Udikteta wa FA)......

All in all hongereni kwa ushindi...Na vipi kuhusu Handball ya Phil Jones dakika ya 82?

Mkuu hiyo pia sio Red Card aliweka mwili mpira ukapita miguu ukaja kugonga kwenye mikono so it means hakukusudia si ndio??hakushika kwa makusudi, ila asante sana mkuu ndio hivyo tumeenda next step....
 
Leo tunamshukuru refa kwa kutubeba na mbeleko ya chuma mwanzo mpaka mwisho, maana aibu ya kufungwa tatu ingetukumba tena.
 
Mkuuu vipi ile game tuliyocheza nao home kwetu wakatufunga mbona hamkusema kwamba wamebebwa ni United tu??

Mkuu, mimi mara nyingi refa akitoa maamuzi ya utata huwa nakubali hata kama maamuzi yameisaidia timu yangu kwa vile napenda soka; sio kila saa kuweka ushabiki mbele, tujaribu kulinda mchezo wenyewe pia. Refa kachemka kubali , na sio peke yake inatokea mara nyingi tu.
 
Nope.......Mimi nilitaka mshinde(sio kwa kubebwa), ndio maana hata kwenye post yangu ya kwanza hapa leo nimeandika 'Kila la heri Man Utd' na si 'Kila la heri Man City'

Aminia mkuu na tupo pamoja ila naona wanasema kwamba wata appeal hiyo Red Card
 
Mkuu, mimi mara nyingi refa akitoa maamuzi ya utata huwa nakubali hata kama maamuzi yameisaidia timu yangu kwa vile napenda soka; sio kila saa kuweka ushabiki mbele, tujaribu kulinda mchezo wenyewe pia. Refa kachemka kubali , na sio peke yake inatokea mara nyingi tu.

Sawa mkuu nimekuelewa sio ushabiki mbele,je ule mpira ulikuwa ni wa bahati mbaya au makusudi maana wanatoa penalt kwa mpira wa kudhamilia au ambao unaonekana ulipenda kushika au sio na sio bahati mbaya so ule wa jones tuweke kwenye group gani??
 
[h=2]"WAYNE ROONEY bagged a brace as Manchester United survived a second-half comeback to dump rivals Manchester City out of the FA Cup.[/h]
Rooney put United 1-0 up early on with a terrific header and a minute later City were down to 10 men when Vincent Kompany was sent off for a challenge on Nani.It was a bad decision by referee Chris Foy but United didn't care as they took a 3-0 lead into half-time thanks to Danny Welbeck's acrobatic effort and Rooney heading in the rebound from his missed penalty."


"A minute later, City were in disarray as Kompany was given a straight red by Foy for his two-footed challenge on Nani.
The Belgian's challenge seemed a fair one as he got the ball but off he went - leaving City a man short and Kompany heading for a four-game suspension."

Man City 2 Man Utd 3 | The Sun |Sport|Football
 
Achana nao mbona Wolfs walicheza nusu na kudraw? Tena kwa red card ya makasa hawasemi?

Ndio hivyo mkuu ila game toka mwanzo tuliicheza vizuri sana,sasa kama ni wachezaji wazuri basi wange droo maana red card wamepata dakika ya 12 tu so sijui why hawajashinda,
 
Jambo la msingi ni kuwa kwenye soka pesa is not everything...........ManCity wasifikiri pesa ndio mpira........na wataendelea kupoteza games kwenye EPL........watch

The Gunners wana matatizo ya pumzii............wanacheza vizuri sana isipokuwa hawawezi ku-maintain ule uchezaji wao......

Wacha1
umemuona rafiki yako Scholes karudi?

Juzi niliangalia mechi ya ManU and ManCity (enzi za akina Cantona, Steve Bruce, Cole and the like).......imagine SAF alikuwa Manager kipindi kile hadi leo.........wale walikuwa Red Devils kweli kweli..........

Anyway.........Mashetani hongereni kwa ushindi wa leo ......noisy neighbours walikuwa wanalia uwanjani leo........
 
Njooni ata kesho, tena na mje na huyu refa na Howard Webb awe mshika kibendera. Kichapo tutawapa tu ha ha ha,

Hahahahha sawa bana tunakuja soon na yule Martesackeer wenu atatupa njia nzuri sana,hahah haya mkuu bora game imeisha vizuri na hamna walioumia so next game ya premiere league tunaenda kuwafunga kwao City
 
Kama ulikua unaombea mpira uishe baada ya goal la pili ujue timu yako mbovu! That 2nd half was like 2 hours to you guys. Hamtafika mbali kwa mwendo huu! Kimoyomoyo mnanielewa ila for the sake of kujipa moyo endeleeni kutokwa povu hapa!
 
Kompany atakosa mechi nne zinazokuja za ligi kuu. Kuna uwezekano wakapoteza points, kwani hakuna Yaya Toure , Kolo Toure na Kompany.
Hapana mkuu atakosa mechi tatu, Carling Cup semi-final with Liverpool,Premier League games against Wigan na Tottenham,endapo ata appeal na kushindwa hapo atakosa mechi nne.
 
Haya mkuu nikusahihishe umeona mahojiano ya Mancini kuhusu hii Red Card umeona wamemuuliza amejibu nini??sisi wa mtaani ndio tunasema Red Card fatilia alafu tuambie amesemaje walivyomuuliza kuhusu hiyo Red Card
Kama sio Red card kwa nini anataka ku appeal?

 
Back
Top Bottom