Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Hambebeki? mnataka kumpotezea kibarua chake refa sasa, manake lazima ajaribu kuwaokoa tena.
So far mechi imebadilika ila lazima goli lipatikane lingine
Scholes ni kiungo mzuri, lakini high risk, na Ferguson anamzimia sana, aljiuzulu Premiership peke yake?
Mi naona Nasri ndiye mzigo kwa man city! Anapoteza sana pasi. Angebaki Silva hali ingekuwa imeshabadilikaBado tena kam foul Nasri laikini wapi.
Man City wamefunga la pili, Aguiero...Hivyo man city 3 man u 3Mi naona Nasri ndiye mzigo kwa man city! Anapoteza sana pasi. Angebaki Silva hali ingekuwa imeshabadilika
Hivi Man C wako kumi tu?
Ngoma yao ngumu, sitashangaa Van Der Sar akirudi pia.
Wako 10....Nahodha wao Vincent Kompany katolewa nje dakika za mwanzo za 1st Half...Hivi Man C wako kumi tu?
Mbona Jones kazuia kwa mkono??????????
Mbona ameonekana ameuzuia mpira kwa mkono wake wa kulia?????Jamaa wana bahati refa ajatoa penati.
Kashika bana...Hata kwenye Replay wameonesha Phil Jones kazuia mpira kwa mkono....Duh!huyo c kashika au mi cjaona vizuri?