Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Welbek nje kiungo Anderson in, naona fergusiona ameona aulinde hayo hilo goli moja.

Mchezo wa kuhangaika kulinda goli badala ya kujilinda na kushambulia kwa nguvu kupata mengine si mzuri.
 
Man U wameamua kukep the ball na kugongeana pasi tu ili kupast time.
Naona Hagreaves anataka kuingia for Man C, for Samri Nasri,huyu alikuwa Man U before akawa nje for injuriies for quit sometimes.
 
Man City wamenyimwa penalti, ni kweli refa kadhamiria amasn man u wanshinde by any means...

Washika vibendera nao wako wapi?

Siku hizi si kuna wale walioko nyuma goli kabisa?
 
Man U wameamua kukep the ball na kugongeana pasi tu ili kupast time.
Naona Hagreaves anataka kuingia for Man C, for Samri Nasri,huyu alikuwa Man U before akawa nje for injuriies for quit sometimes.

Mkuu game yako hipo nyuma naona.
 
Mpira umeisha wakuu vipi meonaje leo powa kabsa au??
 
Back
Top Bottom