Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mwenendo wa timu unaleta hasira hadi kwa board..... Kwanza timu haioneshi uwezo wowote au kuleta hatari kwa wapinzani tunategemea bahati tu kushinda game nyingi......kuna wanaosema Mou hakupewa wachezaji wake.... Hebu tutajieni wachezaji wake ni wakina nani?? Maana ukiangalia uchezaji wetu hata tungepata beki 2 bado tungefungwa tu.....haiwezekani unaruhusu timu pinzani itengeneze nafasi kwa kujilalia langoni kwako ukadhani hakutatokea error yoyote kutoka kwa mabeki.....Tukiangalia Barça yule pique sio beki mzuri wala nini ila mpaka kumfikia pique inakuwa kazi maana Barça mda mwingi wanaandama lango la wapinzani.....

Mimi nadhani.... Managerial change ni muhimu Mwisho wa msimu.... But kumuondoa Kocha pekee sio suluhisho....tulete sport director, tucreate mfumo mpya wa scouts.... Tuwanyime mkataba hao kina young sijui Jones mara Fellaini wote tusiwape mkataba...... Tununue wachezaji 6 tu kocha mpya akipewa first target wake.... tutafika mbali sana..... Mbona Van gal na hiki kikosi alikuwa anafnya vijana wacheze mpira mwingi na hizi beki hazikuwa mbovu kama Sasa.....

Mourinho ni kocha Mzuri ila sio kwa Manchester United timu yetu inaenda kupotea tunaona inaumiza sana
 
Mwenendo wa timu inaleta hasira hadi kwa board..... Kwanza timu haioneshi uwezo wowote au kuleta hatari kwa wapinzani tunategemea bahati tu kushinda game nyingi......kuna wanaosema Mou hakupewa wachezaji wake.... Hebu tutajieni wachezaji wake ni wakina nani?? Maana ukiangalia uchezaji wetu hata tungepata beki 2 bado tungefungwa tu.....haiwezekani unaruhusu timu pinzani itengeneze nafasi kwa kujilalia langoni kwako ukadhani hakutatokea error yoyote..... Barça yule pique sio beki mzuri wala nini ila mpaka kumfikia pique inakuwa kazi maana Barça mda mwingi wanaandama lango la wapinzani.....

Mimi nadhani.... Managerial change ni muhimu Mwisho wa msimu.... But kumuondoa Kocha pekee sio suluhisho....tulete sport director, tucreate mfumo mpya wa scouts.... Tuwanyime mkataba hao kina young sijui Jones mara Fellaini wote tusiwape mkataba...... Tununue wachezaji 6 tu kocha mpya akipewa first target wake.... tutafika mbali sana..... Mbona Van gal na hiki kikosi alikuwa anafnya vijana wacheze mpira mwingi na hizi beki hazikuwa mbovu kama Sasa.....

Mourinho ni kocha Mzuri ila sio kwa Manchester United timu yetu inaenda kupotea tunaona inaumiza sana
Waambie Board ifanye maamuzi kama ya Realmadrid
 
😀😱

Hapo right back hamna kitu, wasajili tu. MUFC ina hela kuliko Barca halafu Full back Young na Valencia

Barca wanasajili kila msimu usajili wa maana sana

Ona wenzenu huko wanavyojianda
Screenshot_20181114-194932.png
a kubeba silaha mpya january
 
Hahaha kosa la Mourinho lipi mkuu? Wacgezaj waliopo wabovu hawaendan na brand ya Man U.

Rashford, Young, etc hawa walitakiwa wawe huko Aston Villa au Burnley na sio Man U, yani pale wachezaj wa maana wachache Degea, Pogba, Fred na Martial wengine wote hamna kitu
Hahaha mkuu labda haujanijua vizuri..

Mimi ni mwana-manchester united mpinzani wa huyo kocha. Kama ukicheki comments zangu zote nimetanabaisha na kujieleza kwa kina kuhusu hilo.

Nasema tena, Manchester UNITED ina matatizo mengi mno. Ila tatizo kubwa ni uwepo wa huyo mndengereko wa kizungu (Mourinho). Mtapata tabu sana mpaka mtakapokuja kujua mchawi wa hii timu ni Mou.

Cheki game na city hata ile Football Playing display ya team haioneshi kuwa kuna kocha anaefundisha soka.
 
Back
Top Bottom