Ko Cha anamlalamikia refa kabla Mpira haujachezwa. Hajiamini, kisa mzawa wa mtaa karibu na man utd . Pep nilimuona Hana akili. Refa akajikuta anapiga firimbi za hovyo hovyoKwa video itaeleweka zaidiView attachment 933391
We huko Tandahimba unasema hivyo, ngoja tuone na ma-legendary wa soccer wanasemaje View attachment 934689
Mkuu jenga hoja kwanini Pep, mimi nimetoa sababu zangu
- Maradona Ni Nani....wadhabiki morinho michosho. Better than pep wapi??
Samahan mkuu Kama approach Niliyotumia ni mbaya. Lakini mkuu pep ni kitu kingine kwangu mm. Na Pep angepata wachezaji walioachwa na kocha yyt Kati ya walioondoka OT-Old Trafford wangefanya wonders.Mkuu jenga hoja kwanini Pep, mimi nimetoa sababu zangu
Uyu jamaa amenyoa baada ya gemu ya city au!Bro fella new lookView attachment 935865
Mimi mwenyewe najiuliza sana sijui anakwama wapiLingad alifunga goli zuri sana. Mou anakwama wapi?
Ndio hivyoUyu jamaa amenyoa baada ya gemu ya city au!
tatizo la Mou mfumo anaotumia unakwamisha wachezaji wengi.Mimi mwenyewe najiuliza sana sijui anakwama wapi
Kweli nilimuona rashford mech ya city hakuwa na furaha anakimbia kama hatakitatizo la Mou mfumo anaotumia unakwamisha wachezaji wengi.
Man u ina wachezaji wazuri lakini Mou mfumo wake wa kukaba sana haufai kwa mchezaji kama rashford..Kweli nilimuona rashford mech ya city hakuwa na furaha anakimbia kama hataki
Amezingua kinoma.Ndio hivyo
Kichwa si chake.Amezingua kinoma.
Mkuu usijali. Tujadili tuSamahan mkuu Kama approach Niliyotumia ni mbaya. Lakini mkuu pep ni kitu kingine kwangu mm. Na Pep angepata wachezaji walioachwa na kocha yyt Kati ya walioondoka OT-Old Trafford wangefanya wonders.
Nataka nikuonyeshe namna pep angemtumia de Maria, namna pep angemtumia kagawa, na wachezaji wengi wengi waliopitia utd. Naamini uhusiano mzur Kati ya manager na wachezaji ndio moyo wa ushindi.
Mpira umebadilika zamani majukumu ya kukaba yalikuwa ni ya beki na kiungo mkabaji tu, lakini kwa sasa hata namba 9 anakaba (angalia mfano zinapotokea set pieces)Man u ina wachezaji wazuri lakini Mou mfumo wake wa kukaba sana haufai kwa mchezaji kama rashford..