VirjiNitajie beki za kati EPL zinazomzidi kiwango Laporte leo hii
VirjiNitajie beki za kati EPL zinazomzidi kiwango Laporte leo hii
Atacheza FredPogba injured
Atacheza Fred
Augue pole
Hahahaha liverpool bana foward hatar kwa kuwa wanacheza na manchester united
Kufungwa tunaweza,ila sio mkono mkuu...Hili game lijalo tunahitaji kila kitu, ufundi, bahati na mikosi kwa majirani. Kushinda ni muhimu. Wachezaji wakilegea tunapigwa mkono.
Hii takataka? Huyu uingereza umembakiza hapo hana ubavu wa kuwatia bench mahrez na sane.Dogo form hatari now mpaka karushwa mshahara wa pauni laki tatu kwa wikiView attachment 928140
Hii takataka? Huyu uingereza umembakiza hapo hana ubavu wa kuwatia bench mahrez na sane.
MfumoHuyu dogo anajituma sana kipaji kweli kinaweza kuwa shida, lakini msimu uliopita alifunga magoli kumi na nane ya ligi yaani mtu anaetokea pembeni aliemzidi magoli ni Salah peke yake na Centre forward watatu tu (Kane,Aguero na Vardy).
Mkuu takwimu hazidanganyi guardiola sio boya first eleven yake sterling kwanzaHii takataka? Huyu uingereza umembakiza hapo hana ubavu wa kuwatia bench mahrez na sane.
Kabebwa sana anakosa goli ngapi? Shida moja dogo akikaa banch timu inakuwa haina mwingireza muangalie national teamMkuu takwimu hazidanganyi guardiola sio boya first eleven yake sterling kwanza
Hamshindi kabisa Antonio Conte, mzee MsubaNimemiss vituko vya mourinho aka special one kipindi akiwa anashinda tuuuuu huwa anakuaga na mzuka anaeweza rukia viti
Hamshindi kabisa Antonio Conte, mzee Msuba
Kwani ulitakajeHao kwny avatar yako ni mashabiki wenzetu?
Ebu kuwa kam mtu anayeengalia mechi zote sio za timu yako utakuwa mshabiki mzur na s mahabaKabebwa sana anakosa goli ngapi? Shida moja dogo akikaa banch timu inakuwa haina mwingireza muangalie national team
Mzee hii ya kwamba naangalia mech yetu umeitoa wapi? Kwamba steling amzidi sane kwa ubora?Ebu kuwa kam mtu anayeengalia mechi zote sio za timu yako utakuwa mshabiki mzur na s mahaba
Ww ndio unayeanzisha ya sane jamaa anaongelea ubora wake katika kumalizia na hata idadi ya goal zipo waz kwa nn tunakuwa wagumu kukubali hata km ana ubovu lakin hauonekan kwa anachokifanuaMzee hii ya kwamba naangalia mech yetu umeitoa wapi? Kwamba steling amzidi sane kwa ubora?
Ni waz unatzama game zako tu vs sterlingWw ndio unayeanzisha ya sane jamaa anaongelea ubora wake katika kumalizia na hata idadi ya goal zipo waz kwa nn tunakuwa wagumu kukubali hata km ana ubovu lakin hauonekan kwa anachokifanua