radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
2-3 ilikuwaje?Hapo kwenye kufunga maana city kosa uruhusu goli mbil hapo utajuata
2-3 ilikuwaje?Hapo kwenye kufunga maana city kosa uruhusu goli mbil hapo utajuata
2-3 ilikuwaje?
Pointless na yale magoli lukaku aliyokuwa anawababulizia nyuma wakina smalling kisha otamend anafunga ilikuwaje?Ile mechi walio haribu ni Gundogan na Silva ambao waliwaste chance kubwa nyingi sana sasa nyinyi mkatokea kwenye setpieces kama jana. Lau kama Gundogan na Silva wasingewaste nafasi za magoli vile mlikuwa mle tano hivi for sure. Nadhani hiyo ndio sababu Pep kaamua kumdrop Gundogan from Squad na kuwa replaced na Bernado Silva ambae ni finish master, Bernado ni one chance one goal.Kazi mnayo, David Silva yupo kucreate chances halafu wauaji wanamalizia(Sane, Sterling, Bernado)
Et mlikuwa mle tano? Yani uzungumzia vitu vya kufikirika na kusadikika.Ile mechi walio haribu ni Gundogan na Silva ambao waliwaste chance kubwa nyingi sana sasa nyinyi mkatokea kwenye setpieces kama jana. Lau kama Gundogan na Silva wasingewaste nafasi za magoli vile mlikuwa mle tano hivi for sure. Nadhani hiyo ndio sababu Pep kaamua kumdrop Gundogan from Squad na kuwa replaced na Bernado Silva ambae ni finish master, Bernado ni one chance one goal.Kazi mnayo, David Silva yupo kucreate chances halafu wauaji wanamalizia(Sane, Sterling, Bernado)
Pointless na yale magoli lukaku aliyokuwa anawababulizia nyuma wakina smalling kisha otamend anafunga ilikuwaje?
Kuna muda muwe mnaacha wivu mpira ni mchezo wa makosa naona hutambui hilo
Sijaona point yako mpira ni mipango na mbinu mwingine anachukua point kwa penat tu baki na hayo ma story yako sijui gundogan sijui strikerNafasi za kufunga zinatengenezwa mkubwa, Striker anakua takataka kama ni too much wasting of chances
Sijaona point yako mpira ni mipango na mbinu mwingine anachukua point kwa penat tu baki na hayo ma story yako sijui gundogan sijui striker
Nani ka kwambia city hawez kushinda? Unatengeneza ki topic chako sasa wewe ndo nakuona unabana pua unalialia tu hapa kama timu yako huimanini utegemea ww mshabik wa liverpool ndo utuongoze? Mlishindwa nini kushinda kwa red star belgrade kama mwaujua mpir?Life is made of histories, hiyo mechi ngumu sana. Sio mtu kukaa kabana pua na kuongea kuwa hatafungwa na City nje ndani, CB wa city wako form ya juu now, Forward zao zote ni moto kuliko forward za timu yoyote pale England
Hizo foward hazikucheza mechi ya wolves?Life is made of histories, hiyo mechi ngumu sana. Sio mtu kukaa kabana pua na kuongea kuwa hatafungwa na City nje ndani, CB wa city wako form ya juu now, Forward zao zote ni moto kuliko forward za timu yoyote pale England
Hizo foward hazikucheza mechi ya wolves?
Kabla ya dkk 90 jana kuna mtu alitegemea ManU angeshinda ilhali tulifungwa old trafford??Life is made of histories, hiyo mechi ngumu sana. Sio mtu kukaa kabana pua na kuongea kuwa hatafungwa na City nje ndani, CB wa city wako form ya juu now, Forward zao zote ni moto kuliko forward za timu yoyote pale England
Life is made of histories, hiyo mechi ngumu sana. Sio mtu kukaa kabana pua na kuongea kuwa hatafungwa na City nje ndani, CB wa city wako form ya juu now, Forward zao zote ni moto kuliko forward za timu yoyote pale England
Hahahaha liverpool bana foward hatar kwa kuwa wanacheza na manchester unitedHiyo fixture ya Wolves ilikuwa mechi ya pili sijui, mkubwa ligi imeshachanganya right now Sterling na Sane ni forwards ambao wako kwenye form ya hatari sana
Kabla ya dkk 90 jana kuna mtu alitegemea ManU angeshinda ilhali tulifungwa old trafford??
Kwa kiwango bora kabisa cha Juve sasahivi baada ya Ronaldo kufunga kuna mtu aliamini comeback ingetokea??
Subiri jpili basi, city atapigwa straight na wala hakutakua na comeback tena.
Jamaa anastress zake huyo kufungwa hatukatai inawezekana ila yeye anataka kuhalisha tunafungwaHazard ni mchezaji hatari lakini alitulizwa akatulia kama hayupo.
Mpira ni mbinu.
Ukiniuliza Man city ya msimu uliopita na hii ya msimu huu ni ipi inatisha nitakujibu ya msimu uliopita ilikuwa haishikiki,tuliichapa kwao vizuri tu.
Wengi tuliamini Chelsea na Juve watatudhalilisha,nini kimetokea?
Hivi unazungumzia CB za City,za Juve uliziona?
City wapo vizuri lakini unawaelezea kinazi mno.
Hazard ni mchezaji hatari lakini alitulizwa akatulia kama hayupo.
Mpira ni mbinu.
Ukiniuliza Man city ya msimu uliopita na hii ya msimu huu ni ipi inatisha nitakujibu ya msimu uliopita ilikuwa haishikiki,tuliichapa kwao vizuri tu.
Wengi tuliamini Chelsea na Juve watatudhalilisha,nini kimetokea?
Hivi unazungumzia CB za City,za Juve uliziona?
City wapo vizuri lakini unawaelezea kinazi mno.
Hahahaha liverpool bana foward hatar kwa kuwa wanacheza na manchester united