Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ww ndio unayeanzisha ya sane jamaa anaongelea ubora wake katika kumalizia na hata idadi ya goal zipo waz kwa nn tunakuwa wagumu kukubali hata km ana ubovu lakin hauonekan kwa anachokifanua
Chansi anapata ngapi? Hivi kwa mfumo wa city nani anashindwa kufunga goli kama anaaminiwa kuingia kwenye 18 kufuatana na maelezo ya pep? Huyo anaenda kufunga anabutua nyasi????
 
Lukaku amtazame Rondon anavyotumia limwili lake kulazimisha magoli na afanye hivyo kesho.
 
Chansi anapata ngapi? Hivi kwa mfumo wa city nani anashindwa kufunga goli kama anaaminiwa kuingia kwenye 18 kufuatana na maelezo ya pep? Huyo anaenda kufunga anabutua nyasi????
jiulize mbona hafanyiw sub na kesho yupo first kaza ubish jad yako im cfc fan kwenye ikwl nakaa ht km n timu yangu
 
kivyenu maan hamna backup ya uhakika s kma city's
Umekuja sasa nliposema mfumo ulikuwa unapayuka nini? Martial na sanchez sio back up ya lukaku?

Dogo sterling katoka kwenye ligi ana goli 18 kaenda kombe la dunia hata goli la offside hana katika mech 42 za timu ya taifa ana goli 4 mkiambiwa vitu msiwe mnakurupukia nilikuwa naenda na nyie taratibu tu yule kupata namba city ni utaifa pep hana namna lazima amtengenezee mazingira
 
Ebu ambavyo una mhb na si mshabiki mzur kwel backup yenu n sawa n cty ambayo ukitoa bado umeingiza yule x2
 
Hah kombe l dunia unapimia mchezaj wap mes de gea salah n.k kwenye world cup
 
Nini hiki umeandika? Kuna mahali pameandikwa city na united zinafanana back up? Unatengeneza ki topic chako
 
Uli ucheze timu ya taifa lazima kwenye club uwe bora makali yako yanatakiwa kuhamia kule

Salah unajua kabisa kaenda mgonjwa wa bega kacheza akiwa hovyo hujui???? Na bado katupia goli 2

Mess katupia goli 3

De gea bek zote zimemuangusha

Haya sterlinga kafunga mangapi?
 
Naona kuanzia watu wengi unawatolea mifano via united utadhan imekamilika mzee badilika ushabiki wa jiv sio kisa tu ni mpinzan wako kakuzid kitu baaas unamkazia kwamapungufu machach waz kwamba kabisa makocha wanaona mbali kwamba mtu anatoshea mfumo wake n dhahir akibak anasaidia ushind si lazima afunge ila ana press
 
Ni lazima afunge ila assist mbili kwa kane zilitoka wap nenda google njoo ba attachment
 
Naona kuanzia watu wengi unawatolea mifano via united utadhan imekamilika mzee badilika ushabiki wa jiv sio kisa tu ni mpinzan wako kakuzid kitu baaas unamkazia kwamapungufu machach waz kwamba kabisa makocha wanaona mbali kwamba mtu anatoshea mfumo wake n dhahir akibak anasaidia ushind si lazima afunge ila ana press
Nani kakwambia timu imekamilika bado unatengeneza vi topic vyako mjadala ulikuwa sane na sterling sijui hayo mengine unayatoa wap mbona unahangaika? Vingine unvyoandika hata sivielewi

Mwanzo nimekwambia mfumo unarud mulemule ila sterling ni mchezaj wa kawaida sana
 
Back
Top Bottom