Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ile mechi walio haribu ni Gundogan na Silva ambao waliwaste chance kubwa nyingi sana sasa nyinyi mkatokea kwenye setpieces kama jana. Lau kama Gundogan na Silva wasingewaste nafasi za magoli vile mlikuwa mle tano hivi for sure. Nadhani hiyo ndio sababu Pep kaamua kumdrop Gundogan from Squad na kuwa replaced na Bernado Silva ambae ni finish master, Bernado ni one chance one goal.Kazi mnayo, David Silva yupo kucreate chances halafu wauaji wanamalizia(Sane, Sterling, Bernado)
Yaan unashusha sana thamani ya mpira,jitahidi kukwepa hii ngeli inayoanza na "nge" unapotoa mawazo yako
 
Ile mechi walio haribu ni Gundogan na Silva ambao waliwaste chance kubwa nyingi sana sasa nyinyi mkatokea kwenye setpieces kama jana. Lau kama Gundogan na Silva wasingewaste nafasi za magoli vile mlikuwa mle tano hivi for sure. Nadhani hiyo ndio sababu Pep kaamua kumdrop Gundogan from Squad na kuwa replaced na Bernado Silva ambae ni finish master, Bernado ni one chance one goal.Kazi mnayo, David Silva yupo kucreate chances halafu wauaji wanamalizia(Sane, Sterling, Bernado)
Hizi hadithi km "isingekuwa" ni irrelevant. Kuna siku utasema km msingekuwa na kipa gorini mngefungwa
 
Jamaa anastress zake huyo kufungwa hatukatai inawezekana ila yeye anataka kuhalisha tunafungwa

United toka asepe sir alex tumekuwa underdog tunaonekana hivyo lakin si uhalisia wa uwanjani
Hawakutarajia kama tutapindua meza kibabe jana. Si ndio huyu alikuja humu kuponda Sanchez kucheza tisa utafikiri ndio mara ya kwanza.
 
10672bff-bb3d-4b2e-aaba-660bfad52590.jpg
 
Kutamba kwa foward sio kigezo cha kushinda unataka kutuambia wewe (liverpool ) na red star nani alikuwa na foward line nzuri?


Kocha hakuwa serious na upangaji wa kikosi, ni kama City wakaweka brahim, delph na Zinchenko kiungo basi lazima wapoteane
 
Ashley Young ni mchezaji Muhimu sana pale Man u kwa sasa.
1 Moja yeye ba smalling na Valencia ndiyo wanaoijua Man u kuliko mchezaji mwingine yeyote ndiyo maana umeona amepewa arm band na mechi zote ambazo amekuwa captain tumeshinda except mechi na Chelsea.

2 ndiye mchezaji pekee anayeweza kucheza zaidi ya position nne kwenyr kikosi na bado akaoffer Kitu uwanjani mfano.
Anacheza fullbacks zote, anaweza cheza wing ya kushoto na kulia, na anaweza cheza kama inside ten
Hivi unafikiri Galeth southgate alikuwa mjinga kumtumia Young world cup ?

3 anapace na anauwezo wa kufunga na kutengeneza nafasi za magoli,

4 ni mpambanaji kweli kweli toka Valencia akae bench huyu jamaa anacheza kulia wakati yeye hucheza left back au wing ya kushoto

5 team bado haina mbadala wake kwa sasa ndiyo maana wanaendelea kumpa mkataba.

Ungesema kuhusu.
Valencia
Lukaku
Darmian
Phil Jones
na fellain ningekuelewa siyo kwa Ashley Young

Ni sawa unachokizungumza brother hao wote wapo Manchester united kwa muda mrefu ukilinganisha na wachezaji wengine waliopo lakini kwa viwango vyao wanavyovionyesha uwanjani kwa sasa umefika muda muafaka wa klabu kutafuta damu mpya zitakazorudisha heshima ya manchester united ambayo imeshapoteya kwa miaka 6 hii iliopita. Naomba uwe mkweli hivi kati ya hao wote watatu (smalling, young, valencia) ni yupi kati yao mwenye uwezo wa kucheza real madrid, barcelona, juventus,chelsea, manchester city na hata liverpool kwenye kikosi cha kwanza?

kwa kiasi kikubwa tabia hii ya kuwashikilia wachezaji ambao uwezo wao unaonekana dhahiri umepungua lakini klabu ikaendelea kuwapa mikataba mipya kwa hoja ya uzoefu walionao imechangia kwa kiasi kikubwa kutufikisha nyakati ngumu hizi na bahati mbaya ugonjwa huu ulikuwepo tokea nyakati za ferguson. Tukiangalia upande wa pili hivi kuna mchezaji anayeifahamu chelsea kuliko john terry lakini mbona ilipofika muda klabu iliona ni bora iachane naye na watafute wachezaji wapya watakaoendeleza harakati za ushindani sasa kwa nini kwetu sisi inakuwa ni vigumu?

Unasema timu haijapata mbadala wa ashley young ndio maana wanaendelea kumpa mkataba mpya, kwa ufahamu wangu mdogo kuna njia kuu mbili za kupata mbadala wa mchezaji unayetarajia kumuondoa nazo ni kutumia academy player kama walivyofanya liverpool walipoamua kumpa nafasi alexander arnold awe mlinzi wao wa kulia au kufanya usajili wa mchezaji kutoka klabu nyengine kama wanavyofanya klabu nyengine, kwa mfano ukitaka kujua jinsi gani soka linabadilika wakati manchester united tunaendelea kuwapa mikataba mipya jamii ya wachezaji kama valencia na young upande wa pili majirani zetu wanamuondoa alexander kolarov ambaye ana uwezo wa kucheza kwenye timu yetu na wanamsajili kyle walker kwa 50 millioni pounds. kitendo cha ashley young na valencia kurudishwa eneo la ulinzi ni uthibitisho tosha wa kushuka kwa viwango vyao kwa sababu wote hao wamesajiliwa kama ni wachezaji wa mbele.

kuitwa kwa ashley young kwenye timu ya taifa hususani ya Uingereza haina maana yeyote kiupande wangu kwa sababu ukimuondoa harry kane na kyle walker hakuna muingereza yeyote mwenye uwezo wa kujumuishwa kwenye kikosi cha wachezaji 50 wa timu za taifa kama vile france, germany, brazil na hata spain hii ya kipumbavu inayothubutu kumweka benchi azpilliqueta mbele ya nacho wa real madrid.

tulishafanya makosa na hatupaswi kuendelea kufanya tena makosa, ni kama masaa 24 yaliopita tulianza kushuhudia waarabu wa etihad wakimsajili robinho, santa cruz, phillips ndani ya klabu yao hatimaye mashabiki na viongozi wa manchester tukajiaminisha ya kwamba klabu haijengwi kwa nguvu ya fedha pekee na pia manchester city hawana uwezo wa kutawala jiji la manchester.
wakaleta wachezaji waliokuwa na uwezo wa kucheza kwenye kikosi chetu kama vile yaya toure, silva, dzeko, kolarov, zabaletta, aguero n.k na sisi tukaendeleza utamaduni wetu wa kuwapa nafasi wachezaji ambao walishaonyesha dalili ya kuwa wa kawaida kiviwango, kwa mfano fletcher, oshea, brown, smalling, jones, buttner na cha kushangaza zaidi tukakataa kulipa paundi milioni 33 kwa ajili ya usajili wa sneijder na luka modric na hatimaye tukamrudisha paul scholes kwa mwaka mmoja.
wakatupiga goli 6 uwanjani kwetu lakini bado tukaendelea kusinzia na kujifanya kama matokeo hayajatuharibia heshima yetu hatimaye leo hii manchester city wamekuwa ni bora mbele yetu.

Naamini kwa anayeangalia mpira kwa jicho la tatu basi atakuwa ameshaiona hali halisi ya timu yetu ilivyo kupitia mechi mbili zetu za juventus. Ed woodward anapaswa kuacha tabia za kifala na ujuaji mwingi kwenye kuiendesha klabu, tunahitaji damu mpya zaidi ya nne ili tuweze kupambana nao kibabe juventus na wababe wengine. Kwa muda mrefu nilishindwa kumuelewa mourinho nadhani umefika muda wa kumtafuta bwana polepole wa thread hii ili niunge mkono juhudi za jose mourinho za kuirudisha manchester united kwenye soka la ushidani haijalishi kwa soka la Chato FC na dau langu ni konki konki konki zaidi ya mange.

jose mourinho hajawahi kuwa mnafiki kwenye maisha yake ya soka na hatokuwa mnafiki kwenye maisha yake yote ya soka ndio maana anatwambia live ya kwamba manchester united tuna wachezaji wa kawaida sana japokuwa inakuwa vigumu kumuelewa.

mkuu kuna jambo umesahau kwa bahati mbaya baada ya kuandika ya kwamba hatujawahi kufungwa mechi alizocheza ashley young kama mlinzi wa kulia msimu huu, na pia ashley young amefunga magoli 13 tu kwenye mechi 158 za manchester united, ina maana anazidiwa hata na sergio ramos wa real madrid.

1541697609473.png
 
Naona lindelof anaadapt kadiri cku zinavyozid kwenda . Ubora wake unaonekana
Lindelof vs Juventus
1. Amekoa mipira 8 ya hatari, idadi kubwa kuliko beki yeyote wa manchester united
2. Pasi asilimia 89 zaidi kuliko beki yeyote wa Manchester United.
3. Tackling 2 zaidi kuliko beki yeyote wa Manchester United.
 
Life is made of histories, hiyo mechi ngumu sana. Sio mtu kukaa kabana pua na kuongea kuwa hatafungwa na City nje ndani, CB wa city wako form ya juu now, Forward zao zote ni moto kuliko forward za timu yoyote pale England
CB wa city kina nani hao wako form??.

Laporte na Stones au...utakuwa hujui unachokizungumza...
 
Back
Top Bottom