Manchester United (Red Devils) | Special Thread

IMG_20181111_103235.JPG
 
De Gea

Young Lindelof Smalling Shaw

Herrera Matic Pogba

Rashford Sanchez Martial

Super subs: Juan Mata Garcia,Fellaini,Fred.

√ Japo Matic hachezi vizuri,kwa sasa hana mbadala,tena ukiangalia na tempo ya gemu kama ya leo.

√ Rashford over Mata sababu Mendy speed hana na ana poor marking,so Rashford eneo hilo ni mzuri zaidi.

GGMU
 
Toa Sanches weka Likaku
 
Kwingine nakubaliana na wewe lakini kwa Rashford kuanza mbele ya Lingard natofautiana na wewe

Rashford aanze benchi, aingie baadae kulingana na trend ya mchezo
 
Lingard yupi??..huyuhuyu aliyetoka injury na kucheza gemu ya Juve kwa kiwango cha chini kabisa na Jose akamtoa kipindi cha pili??!!
 
Hivi hamna beki mwingine isipokuwa Lindelof na Smalling?

Lindelof huwa namfananisha na Christensen wa Chelsea.
Mkuu On Baily's day Smalling huwezi mtaka

On Jones Day, Smalling utamuona takataka

Lakini Smalling all days are his. Yani ana consistence, mzuri mipira ya juu,lakini pia kwenye attacking especially kwenye mipira iliyokufa anaisaidia timu.

Mapungufu makubwa ya Smalling ni ball control
 
Lingard yupi??..huyuhuyu aliyetoka injury na kucheza gemu ya Juve kwa kiwango cha chini kabisa na Jose akamtoa kipindi cha pili??!!
Lingard bado yupo vizuri zaidi ya dogo Rashford

Movement zake uwanjani zinawapa space akina Sanchez et. al.

Lakini pia ni mchafuaji wa mipango ya mpinzani (kwa City ndio atafaa zaidi sababu wanaabudu kumiliki mpira)

Dogo Rashford anacheza vizuri akitokea sub. Halafu united huwa hawachezi vizuri siku Dogo Martial na Rash wakianza pamoja, kwanza wote wachoyo na utoto juu
 
Back
Top Bottom