gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,210
- 2,837
Na mata kaonesha nia ya kuondokaInadaiwa Unai anamhitaji Mata. Nitahuzunika sana akiachiwa.
Na mata kaonesha nia ya kuondokaInadaiwa Unai anamhitaji Mata. Nitahuzunika sana akiachiwa.
Mkuu Cc man utd for the current situation hatuwezi kumfunga man city this is untold truthNi mapema sana kuiona united haiwezi Pata matokeo kwa timu kubwa
Unai anamtaka mata n' dizaini kama mata na yy anaonesha km yupo tayari let's hope may be unai is not that seriousMost United goals and Assists since Sir Alex left:
Goals
54 - Wayne Rooney
41 - Anthony Martial
41 - Juan Mata
Assists:
44 - Wayne Rooney
34 - Juan Mata
26 - Anthony Martial
Unai anamtaka mata n' dizaini kama mata na yy anaonesha km yupo tayari let's hope may be unai is not that serious
Mimi naamini kocha kwa upande wa ufungaji huwa anafundisha utengenezaji wa nafasi suala la kupeleka mpira nyavuni inabaki ni kipaji cha mchezajiSometime mkuu
Huwa wanafundishwa mkuu nilimuona hazard ktk clip moja akielekezwa na henryMimi naamini kocha kwa upande wa ufungaji huwa anafundisha utengenezaji wa nafasi suala la kupeleka mpira nyavuni inabaki ni kipaji cha mchezaji
Sawa mkuu lakini hili la lukaku kumfundisha rashfod finishing bado ina ukakasiHuwa wanafundishwa mkuu nilimuona hazard ktk clip moja akielekezwa na henry
Mkuu kuna muda akili inataka ila uwezo huna hilo ndilo lukaku analo si kwamba hawez kumfundisha rashford lukaku ana uzoef wa kutosha.Sawa mkuu lakini hili la lukaku kumfundisha rashfod finishing bado ina ukakasi
everlenk je?Nipo mkuu
Kwanini city asifungike??Mkuu Cc man utd for the current situation hatuwezi kumfunga man city this is untold truth
Ulaya kila kitu kinafundishwa.Mimi naamini kocha kwa upande wa ufungaji huwa anafundisha utengenezaji wa nafasi suala la kupeleka mpira nyavuni inabaki ni kipaji cha mchezaji
Naweza hata kuliaKesho usishangae tukafungwa kiurahisi

"Tony martial scores again" wazungu wanamkubali sana huyu kijana...Tony Martial mzee wa angle ndo ninaemsubiri hapa![]()
Martial FC"Tony martial scores again" wazungu wanamkubali sana huyu kijana...
Kesho usishangae tukafungwa kiurahisi