Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
[emoji23] [emoji23] [emoji23] lukaku ni striker matata sana.Nasema "sitaki kumuona lukaku uwanjani leo"....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] lukaku ni striker matata sana.Nasema "sitaki kumuona lukaku uwanjani leo"....
Leo tunawala hao jamaa ili watu wasituzoeee ningependa juu kumuona martial na rashdi.Roho itauma sana maana mchezo wa leo ni muhimu sana.
[emoji3][emoji3]..acha masihara mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] lukaku ni striker matata sana.
Sasa lukaku asipocheza premier ataenda kucheza game za wapi tue na imani nae tu[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3]..acha masihara mkuu
Sasa lukaku asipocheza premier ataenda kucheza game za wapi tue na imani nae tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwaio bora tuanze na rashidi tuhamishie imani kwake au sio.Kuna FA cup..atacheza hizo mechi
Kwaio bora tuanze na rashidi tuhamishie imani kwake au sio.
Leo tunawala hao jamaa ili watu wasituzoeee ningependa juu kumuona martial na rashdi.
Tumekuwa makunguru a.k.a waoga tunapocheza na timu kubwa hatuchezi kabisa mpiraKwanini city asifungike??
Umechaanza uchawi kwenye uzi wetu...In Bournemouth we trust
In Bournemouth we trust
Lukaku atakuepo na kuna uwezekno akaanza pia.Nimesikia Lukaku hatokuwepo,sijui kama ni kweli. Itapendeza.
Lukaku atakuepo na kuna uwezekno akaanza pia.
Nasema "sitaki kumuona lukaku uwanjani leo"....
15:30 EAT...tisa unusu mkuuMechi SAA ngapi ?
We mchawiIn Bournemouth we trust
That's cool...View attachment 920088