eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Kwani nyie mnakombe mnalopigania msimu huuHilo nalo kombe la kulizingatia??
Kwani nyie mnakombe mnalopigania msimu huuHilo nalo kombe la kulizingatia??
UEFA,EPL,FA Cup..Kwani nyie mnakombe mnalopigania msimu huu
Mna mpango wa kubeba hata mojawapoUEFA,EPL,FA Cup..
Naamini hivyo...Mna mpango wa kubeba hata mojawapo
Mkuu diego maradona kacheza mpira wa kiwango cha dunia cha ajabu alifukuzwa kazi ya ukocha nchi za kiarabu
Sio kwa lukaku sasa kumfundisha finishing rashfodMkuu diego maradona kacheza mpira wa kiwango cha dunia cha ajabu alifukuzwa kazi ya ukocha nchi za kiarabu
Kuucheza au kuujua mpira na kufundisha ni vitu viwili tofaut
Mkuu sasa mourinho kacheza wapi mpira?Sio kwa lukaku sasa kumfundisha finishing rashfod
Siku hizi bei za wachezaj hazielewek kila mmoja anavyolipuka tu kufuatana na mahitaj yake mfano barcelona kwa marcom ile ni bei halisi? Zaman kabla ya uhamisho wa christiano ronaldo ukitajiwa bei huwa inaenda sawa na kiwango cha mpira chukulia mfano dembele pesa iliyompeleka barca uje pogba to manchester united james rodriguez to madrid lukaku na morata inahitaj uwe na akili kutambua la sivyo kila kauli ukiichukulia juu juu utakimbilia kila jukwaa kishabikiShaktar won a lottery. Mbuzi kwenye gunia, kumbe fisi.![]()
Mou hajacheza mpira ila kasoma sayansi ya Moira darasaniMkuu sasa mourinho kacheza wapi mpira?
Sasa lukaku anaucheza inaweza kuwa akili yake inataka kufanya jambo la maana mwili na uwezo hana.Mou hajacheza mpira ila kasoma sayansi ya Moira darasani
Usiniambie mimi mkuu. Hiyo ni nukuu ya watu wa Shaktar sijaandika mimi.Siku hizi bei za wachezaj hazielewek kila mmoja anavyolipuka tu kufuatana na mahitaj yake mfano barcelona kwa marcom ile ni bei halisi? Zaman kabla ya uhamisho wa christiano ronaldo ukitajiwa bei huwa inaenda sawa na kiwango cha mpira chukulia mfano dembele pesa iliyompeleka barca uje pogba to manchester united james rodriguez to madrid lukaku na morata inahitaj uwe na akili kutambua la sivyo kila kauli ukiichukulia juu juu utakimbilia kila jukwaa kishabiki
Yes indeedSasa lukaku anaucheza inaweza kuwa akili yake inataka kufanya jambo la maana mwili na uwezo hana.
Ndo mana nikasema soko la sasa halina uhalisia wa viwango vya sasa hata ukisoma sir alex kitabu chake anasema tuliwaambia madrid hela ndefu kwa christiano wakiamini madrid watashindwa walitoa hela madrid kisha wakajipongeza sir alex na divid gill kwq kupiga hela kumbe walikuwa wrongUsiniambie mimi mkuu. Hiyo ni nukuu ya watu wa Shaktar sijaandika mimi.
Anyways nijuavyo mimi hamna team inayotupa pesa hovyo kwa mchezaji bila ku consider ROI kulingana na potential ya mchezaji husika. Ukiokota galasa ndio hivyo tena.
Hivi kumbe kocha huwa anafundisha washambuliaji where to place the ballMkuu sasa mourinho kacheza wapi mpira?
Sometime mkuuHivi kumbe kocha huwa anafundisha washambuliaji where to place the ball